Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Hakuna dini imeenezwa kwa lazima na mapanga kama uislamu mpaka sasa bado wanaota ipo siku watapata nafasi ya kuieneza "sharia" kwa nguvu na damu..IS, Al Qaida, Al Shabaab nk
Last...
Unakosea ikiwa utauhukumu Uislam kwa vigezo vya Al Qaida.
 
Kwanini kuna madhehebu tofauti tofauti wakati Mungu ni mmoja na mtume Ni Muhammad?
 
Haya tunayapa wapi ? Tuonyeshe tukasome, maana sisi katika vitabu vyetu havionyeshi kama swahaba Bilal alikuwa Mtumwa baada ta kukombolewa.

Kingine hilo tamko la "Kama sijakosea" halibadilishi ya kuwa Swahaba Bilal hakuwa mtumwa. Hata ningekuwa nimekosea kweli, haibadilishi ya kuwa swahaba alikombolewa.

Sababu weww ni mpotoshaji jibu maswali niliyo kuuliza.
 
Ungekuwa unasoma maandiko yako ukilaza kwenye maandiko ungekutoka, mbwa mweusi muhammad alisema ni mashetani

“I asked the Muhammad (ﷺ) about the all-black dog and he said: ‘(It is) a devil.’”
Kwanza kiri ya kuwa ile hadithi haionyeshi ubaguzi na ukiri ya kuwa ulitaka kupotosha nimekuumbua, hadithi inaongelea Mbwa weusi unakuja kuitumia kwenye ushanidi wa kuonyesha ubaguzi. Kijana utakuwa na matatizo ya akili, ndiyo maana ukawa Mkristo.

Hiki kipande ulitakiwa ukiweke chote. Usahihi ni kuwa Shetani wa kijini huwa wanapenda kujigeuza sana katika umbile la Mbwa mweusi na Nyoka mweusi.

Nasubiri majibu ya maswali yangu.
 
Ali Mufuruki alijenga Msikiti mkubwa na mzuri Kunduchi hakuna Kiongozi aliyeenda kuufungua!
Ukiona hivyo badi jua hawakula hata tsh 1 ya huo msikiti...
Maana wangeusimamia ungeishia kwenye msingi tu

Ova
 
@Mohamed Said Bado nashindwa kuamini kama mtu mwenye akili kama zako uko Tayari kutetea uislamu kwenye Jambo kama hili
 
Nenda kasome kuhusu bilal ,
Jiangalie hapa rangi yako na utaenda wapi

Muhammad said: Allah created Adam when He had to create him and He struck his right shoulder and there emitted from it white offspring as if they were white ants. He struck his left shoulder and there emitted from it the black offspring as if they were charcoal. He then said (to those who had been emitted) from the right (shoulder): For Paradise and I do not mind. Then He said to those (who had been emitted) from his left shoulder: They are for Hell and I do not mind. Al-Tirmidhi Hadith - 38
 
Sasa hapo kuna uchokozi gani kama sio inferiority complex yako
 
Hiki sio kipande ni hadith nyingine kuwa makini kijana ntaacha kukufundisha
Nilitaka kukuonesha muhmamad anvyochukia rangi nyeusi mpaka kwa mbwa tena kasema mbwa wote weusi ni mashetani
I asked the Muhammad (ﷺ) about the all-black dog and he said: ‘(It is) a devil.’”
 
Kijana mambo hayaendi unavyoenda nayo hivyo.

Weka kwanza ushahidi kuhusu madai yako kwa Bilal.

Yaani, hili hujamaliza unaruka na hili, utavunjika mgongo dogo. Twende hatua kwa hatua.
 
Nani amesema ni hadithi ile ile ? Hiki ni kipande, sababu hujaonyesha mpokezi na hujaweka rejea.

Kijana Uislamu siyo kama Ukristo wa kujaza jaza makorokoro. Weka jambo kwa ukamilifu.
 
Nani amesema ni hadithi ile ile ? Hiki ni kipande, sababu hujaonyesha mpokezi na hujaweka rejea.

Kijana Uislamu siyo kama Ukristo wa kujaza jaza makorokoro. Weka jambo kwa ukamilifu.
Kwa nini mandiko yako alafu unauliza tena , inaonesha husomi
 
Kijana mambo hayaendi unavyoenda nayo hivyo.

Weka kwanza ushahidi kuhusu madai yako kwa Bilal.

Yaani, hili hujamaliza unaruka na hili, utavunjika mgongo dogo. Twende hatua kwa hatua.
La bilal nenda kasome nimemaliza kuelezea story ilivyokuwa na kuweka wazi unapotosha

Jiangalie hapa rangi yako na utaenda wapi
Muhammad said: Allah created Adam when He had to create him and He struck his right shoulder and there emitted from it white offspring as if they were white ants. He struck his left shoulder and there emitted from it the black offspring as if they were charcoal. He then said (to those who had been emitted) from the right (shoulder): For Paradise and I do not mind. Then He said to those (who had been emitted) from his left shoulder: They are for Hell and I do not mind. Al-Tirmidhi Hadith - 38
 
Deen hii wenyewe ni warabu!
Anaetaka ushahidi huu hapa!
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.
 
hadithi inayo ongelea kuuwa Mbwa, na ipo katika Mlango wa uwindaji. Sasa haoa utanyoosha maelezo.
Uwe unakumbuka kuwa muislam kunakufanya uwezo uwe mdogo sana na tunawaona mpaka madarasani
wewe hapa ulidai mbwa ipo kwenye mlango wa uwindaji nilivyo onesha uongo wako na kukwambia muhammad kasema mbwa wote weusi ni mashetani unaanza kurusha mateka, tulia dawa ukuingie
 
Nani amesema ni hadithi ile ile ? Hiki ni kipande, sababu hujaonyesha mpokezi na hujaweka rejea.

Kijana Uislamu siyo kama Ukristo wa kujaza jaza makorokoro. Weka jambo kwa ukamilifu.
Tunaendelea kijana
  • siku ya mwisho allah atawageuza watu wa mbinguni wawe weupe na wa motoni wawe weusi ,
    • 3:106 On the day (some) faces will be whitened and (some) faces will be blackened; and as for those whose faces have been blackened it will be said unto them) the angels in-charge of hell will say to them: (Disbelieved ye) in Allah (after your (profession of) belief?) in Allah. (Then taste the punishment for that ye disbelieved) in Allah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…