Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Last...Hakuna dini imeenezwa kwa lazima na mapanga kama uislamu mpaka sasa bado wanaota ipo siku watapata nafasi ya kuieneza "sharia" kwa nguvu na damu..IS, Al Qaida, Al Shabaab nk
Unakosea ikiwa utauhukumu Uislam kwa vigezo vya Al Qaida.