Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Halafu Wazungu wakimbagua Obama unalalamika

Wazee wote wa Tanzania wana asili ya nje ya Tanzania kasoro Mzee Ally Hassan Mwinyi

hata bin Mrisho ana asili ya Umanyema na ndio hilo jina limetokea

Kambarage kwa kina Kagame

Mkapa kwa kina Bakili Muluzi

JPM kwa kina Ntibantunganya

Kwani hamjui hata Mama ana asili ya Kiarabu, kwani ni siri
 
Kati ya ujinga ambao mababu zetu waliufanya ni kukubali hizi dini. Yaani ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea maana tumepoteza identity yetu kabisa. Unamkuta mhaya wa kamachumu anaishi kama mwalabu wa taleban.

Na kama hatujashituka sasa, race yetu itakuja kutoweka. Dawa ya kutokomeza huu ujinga Wa mara uislam mara ukiristo ni sasa. Turudi nyuma na tuanze upya kufuata misingi ya mababu zetu. Mamiskiti na makanisa yao tuyavunje na kuyachoma moto.
Yaani kwa Kasi hii ya kuzaana hiyo race itatowekaje? Wewe sema meza kuu huwezi onekana kwa sababu za umaskini wako..

Top ten ya matajiri Bongo hakuna Hata mweusi mmoja, sisi tunajua majungu na fitina tuu.
 
Ndugu zangu,
Mtu anapotaka kujadili jambo lolote nI vyema akafanya utafiti kwanza.
Hao ni viongozi wa Ibadh na asili yao ni Oman.

Mfano mzuri ni huu wa Greek Othodox Church (Hellenic).
Kanisa lao lipo Ali Hassan Mwinyi Road.

Itashangaza kuuliza kwa nini katika kanisa lao hakuna Waingereza.
Sasa watakao kuwa wakiswali hapo ni Waoman au Wahaya? Mkuu naona haipendezi hao representative wa hilo tukio kuwa karibu 98% wageni.

Ingekuwa msikiti wa Bohora tungeelewa maana Bohora natives wapo wachache sana. Au hawapo kabisa
 
Rangi ya mtu yeyote uzuri au ubaya wa sura hauna maana yoyote katika uislam ndo maana katika ibada wanasimama kwa kuchanganyika muhindi, muarabu, muafrika, mlemavu, mtoto, tajiri au maskini suala la kuzingatia rangi hilo ni la kwako binafsi ila katika uislam halina maana yoyote

Mpiga adhana wa kwanza katika uislam anaitwa Bilal ni mtu mweusi mwenye asili ya Ethiopia na alichaguliwa na mtume Muhammad mwenyewe kwahiyo uislam hauna suala kuthamini rangi ya ngozi wala sura hilo ni la upande wa pili ndio maana mnalitafsiri kila sehem
 
Kati ya ujinga ambao mababu zetu waliufanya ni kukubali hizi dini. Yaani ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea maana tumepoteza identity yetu kabisa. Unamkuta mhaya wa kamachumu anaishi kama mwalabu wa taleban.

Na kama hatujashituka sasa, race yetu itakuja kutoweka. Dawa ya kutokomeza huu ujinga Wa mara uislam mara ukiristo ni sasa. Turudi nyuma na tuanze upya kufuata misingi ya mababu zetu. Mamiskiti na makanisa yao tuyavunje na kuyachoma moto.
Fugo...
Nitasemea Uislam kwa kuwa ndiyo dini yangu.

Mimi babu zangu hawakulazimishwa kunga Uslam na kumuamini Mungu Mmoja.
Walingia Uislam kwa khiyari zao wenyewe na si kwa kuwa ni wajinga.

Sisi Waislam hatuna lugha hiyo yako ya kupiga vita dini.
Uzoefu unaonyesha kuwa wenye fikra hizi ukiwachunguza utawakuta ni Wakristo.

Hawa hujitoa katika Ukristo kwa sababu zao na kuanza kupiga vita dini na wakautia Uislam katika hizo chuki zao.

Kwa kawaida hawa watautukana Ukristo lakini sharti na lazima pia waubughudhi Uislam.

Huyu ndugu yetu atambue kuwa katiba ya Tanzani iko wazi kabisa kuhusu dini.

Ikiwa yeye hakuridhika na Ukristo ambayo ndiyo dini yake hana sababu ya kushambulia dini nyingine.
 
Alafu ukichunguza hizi nchi za uarabuni michango yao mingi ni miskiti na madrassa. Wazungu wao hospitali na mashule, tafakari
Uko sahihi 100% kabisa, mfano mzuri ni wale wazee wa "Vatican city" Roman Catholic/RC, KKKT na SDA/Wasabato huwa nawakubali sana kwa huduma za shule na Mahospitali wako vizuri sana tu tena si TZ pekee bali ni duniani kote.
 
Halafu Wazungu wakimbagua Obama unalalamika

Wazee wote wa Tanzania wana asili ya nje ya Tanzania kasoro Mzee Ally Hassan Mwinyi

hata bin Mrisho ana asili ya Umanyema na ndio hilo jina limetokea

Kambarage kwa kina Kagame

Mkapa kwa kina Bakili Muluzi

JPM kwa kina Ntibantunganya

Siyo kweli, hakuna raisi aliyezaliwa Tanzania, kwani ipo kuanzia mwaka 1964!
 
Uko sahihi 100% kabisa, mfano mzuri ni wale wazee wa "Vatican city" Roman Catholic/RC, KKKT na SDA/Wasabato huwa nawakubali sana kwa huduma za shule na Mahospitali wako vizuri sana tu tena si TZ pekee bali ni duniani kote.

Kwa hiyo unataka nani ajenge misikiti?
 
Honestly sina shida na hiyo picha hapo juu ila kuna vitu vimenifikirisha. Hivi hadi leo bado tuna haja ya msaada wa kanisa au Misikiti, kweli!? Kwanini isiwe shule, hospital!?

Ni kweli tunahitaji Hospitali na hata vyuo kwa elimu zetu
Ila tatizo linakuja hata wafadhili wakijenga wakatukabidhi na vifaa vyote mwanzo je? Nani ataendeleza hizo hospitali?
Wataishia kuuza vifaa hata shuka hospitali hamuwezi kuchanga achilia mbali usafi wake na huduma

Wafadhili wanakabidhi Misikiti kwa kwa waumini Hakuna kitu ndani zaidi ya maji na Umeme hapo kuendeleza sio kazi sana

Ila suala la shule hakuna kitu hapo nani atasimamia na roho zetu hizo?

Angalia makanisa wanapata wafadhili kutoka nje wanajenga au hela za michango kwa waumini lakini utachangia kila jumapili lakini ni mali ya watu kwa mgongo wa kanisa maana huwezi kupunguziwa Dawa wala Ada

Ni vizuri hivyo ila inaingia Shaka hapo kama kitega uchumi
 
Kama hadi leo hujui au huja experience faida ya kuja hizi dini Africa unapaswa kupewa pole sana
Zina faida na hasara zake.
Ila kwa ujumla, uvamizi wa watu weupe kwenye bara letu limetuharibia mfumo wa maisha yetu walioubatiza kama mfumo wa kishenzi. Waafrika hatukua na msamiati wa ukosefu wa ajira, magereza, ulawiti, umaskini, n.k
 
Huo msikiti umejengwa na watu wa Oman ndio hao waliopo kwenye picha
Nadhani ingekua haki Kama na waliojengewa wakawa na wawakilishi japo watano.
Au sheikh wa mkoa , sheikh wa wilaya na sheikh wa hiyo kata nao ni waarabu wa Oman?
 
Back
Top Bottom