Badilisha simu yako kwenda arabic, halaf mpe aitumie kama atawezaHivi ukiwa muislamu uliyesoma dini madrasa automatically unakuwa na uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na weledi? Unaweza kufika uarabuni mkazungumza na mwarabu mkaelewana vizuri au huwa cha kuzungumza nje ya dini ni cha kuombea maji ya kunywa tu?
Huwa naona wengi wanaweza kunukuu Quran kwa kiarabu na pia hata katika kuswali kinatumika kiarabu.
Hapa sijakuelewa,Quran imeandikwa kiarabu ila kiarabu si Quran maandishi ya kiarabu yanatofautiana na ya kwenye Quran kwa kuwa huwa hayana irabu(aeiou) kwa hyo anaesoma Quran tupu hawez kusoma kiarabu unless amesoma kiarabu ama kwa lugha nyingine kiarabu kinasomwa kwa kujua maana na muundo wa maneno.
Hii ni kwenye written tu ? Au mpaka kwenye oral?Quran imeandikwa kiarabu ila kiarabu si Quran maandishi ya kiarabu yanatofautiana na ya kwenye Quran kwa kuwa huwa hayana irabu(aeiou) kwa hyo anaesoma Quran tupu hawez kusoma kiarabu unless amesoma kiarabu ama kwa lugha nyingine kiarabu kinasomwa kwa kujua maana na muundo wa maneno.
Je kuna umuhimu wa kufahamu kiarabu?Kwanza Kiarabu ni lugha kama zilivyo Kiswahili, Kiingereza n.k
Kiarabu sio Kiislam bali ni lugha iliyotumika kushushiwa Quran.
Hivyo basi, wapo wanaokielewa Kiarabu vyema kabisa na binafsi nina ndugu wenye uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na ni kweli walijifunza hukohuko Madrasa na wengine walipata nafasi ya kuongeza maarifa huko Arabuni.
Hivi ukiwa muislamu uliyesoma dini madrasa automatically unakuwa na uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na weledi? Unaweza kufika uarabuni mkazungumza na mwarabu mkaelewana vizuri au huwa cha kuzungumza nje ya dini ni cha kuombea maji ya kunywa tu?
Huwa naona wengi wanaweza kunukuu Quran kwa kiarabu na pia hata katika kuswali kinatumika kiarabu.
[/QUMalaria 2 unaweza kutumia simu kwa kiarabu?
Mkuu huu mlinganisho hauendani, unamtego ndani yakeWakiristo waliosoma Magomeni Mwakinya St Joseph secondary school wakienda ulaya wanaongea kidhungu? Au ndio hello hello
Basi na waislam wanaosoma madrasa wanazungumza kiarabu kwa wale waliofatilia lugha ya kiarabu. Kwa sababu kiarabu ni lugha ya kiengereza, tofauti yake ni ndogo tuWanaongea kidhungu mkuu, hata wengi waliosoma St. Kayumba secondary wapo wanaoongea kizungu japo broken.
Mbona huwa siwaoni wakizungumza kiarabu kati yao zaidi ya salamu na kunukuu Quran??Basi na waislam wanaosoma madrasa wanazungumza kiarabu kwa wale waliofatilia lugha ya kiarabu. Kwa sababu kiarabu ni lugha ya kiengereza, tofauti yake ni ndogo tu
Pengine wewe ukisikia kiarabu unaamini ndio Qur'an, hujui tofauti na Quran wala kiarabuMbona huwa siwaoni wakizungumza kiarabu kati yao zaidi ya Salamu na kunukuu Quran??
Ndio, ni kuongeza wigo wa maarifa.Je kuna umuhimu wa kufahamu kiarabu?
kuruani sio lugha,isipokuwa ukisoma vizuri kuruani kuelewa lugha ya kiarabu ni rahisi sanaBadilisha simu yako kwenda arabic, halaf mpe aitumie kama ataweza
Utagundua wengi wanakariri lakini si kuelewa lugha yenyewe
Ni wachache sana wanao elewa hiyo lugha
Naam, sasa challenge iliyopo ni kwenye education system ya hizi madrasa, mabaraza na wadau mbali mbali wakae waangalie nini kifanyike kubali mode ya ufundishaji kue na uniformity ya wanafunzi ikiwezekana kuanza na lugha kwanza kwa maoni yanguNdio, ni kuongeza wigo wa maarifa.