Katika muktadha wa Kiislamu, neno "kafiri" linatumiwa kumaanisha mtu ambaye anakataa au anapinga imani ya Uislamu. Kifasili, "kafiri" ni mtu ambaye amekataa ukweli wa dini ya Kiislamu, ikiwa ni pamoja na kutokubali kuwa Mungu ni mmoja, na kwamba Muhammad (S.A.W.) ni mtume wake wa mwisho. Hii ni hali ya kuwa na ukafiri, ambayo ni kinyume cha imani ya Kiislamu.Usianze kuleta hizo pigo za kuita wengine makafiri, kuwa muungwana na mstaarabu kidogo.