Waislamu Waafrika waliosoma madrasa wanaweza kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha na weledi?

Waislamu Waafrika waliosoma madrasa wanaweza kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha na weledi?

Kweli mku, nakuunga mkono tena aibu kubwa kwa waislam wa sasa, hatusomi Kiarabu wengine tunasoma lugha za makafiri badala ya kujifunza lugha yetu. Ijapokuwa kujifunza lugha ya makafiri sio dhambi lkn vijana wengi wa kiislamu wamejikita huko
Yani wewe mmatumbi huoni aibu kusema kiarabu ni lugha yako? Huu ni utumwa wa kiakili wa viwango vya juu sana.
 
Nageuza swali.Hivi kuna mkristu anayejua kusoma biblia ya kiingereza na kuielewa halafu hawezi kuzungumza kiingereza?🤔
Sidhani kama kuna mtu anaweza kusoma na kuielewa biblia ya Kingereza halafu hawezi kuzungumza Kingereza. Lakini pia Watanzania wengi wanaweza kusoma, kusikiliza na kuelewa vizuri sana Kingereza ila kuongea wanaongea broken.
 
Basi,nataka hata sisi waislamu wa Tanzania tuongee kiarabu broken ili tuwafunge midomo mahasidi.
 
Kweli mku, nakuunga mkono tena aibu kubwa kwa waislam wa sasa, hatusomi Kiarabu wengine tunasoma lugha za makafiri badala ya kujifunza lugha yetu. Ijapokuwa kujifunza lugha ya makafiri sio dhambi lkn vijana wengi wa kiislamu wamejikita huko
MKuu taja mfano mmoja wa lugha ya makafiri?
 
Mimi muislam wewe mkiristo ndio tofauti yetu. Hii sawa na mmatumbi kuwa mkatoliki wakati ukatiliki upo Italia Vatican, lkn mmatumbi anajita mkatoliki
Yani wewe mmatumbi huoni aibu kusema kiarabu ni lugha yako? Huu ni utumwa wa kiakili wa viwango vya juu sana.
 
Wapo wanaoweza na wapo hawawezi. Sawa na mkiristo aliesoma phy na Chem kwa kiengerza lkn hakijui kiengereza
Aliyesoma Physics na Chemistry wanaweza kwenda nchi yeyote inayo ongea Kingereza na wakawasiliana though hawawezi kua fluently but again, wale hawasomei lugha, tofauti na madrasa, madrasa wanafundisha Kiarabu while wale wa Physics na Chemistry wanajifunza hayo masomo; bahati nzuri mimi ni miongoni mwa watu tulio bahatika kusoma Physics, hilo somo limejaa alama/symbols nyingi sana, sawa tu na pure mathematics na hi ndio inasababisha Wana sayansi wengi Tanzania wasiweze kuongea vizuri lugha hiyo thoughstill wanaweza kuwasiliana. Je na madrasa mnafundishwaga symbols?
 
Kafiri yule aleikuna uislam.
Surat Maryam 19,
Ayah: 71 ... Na hakuna katika nyinyi, enyi watu, yoyote isipokuwa ataufikia huo Moto kwa kupita juu Ṣirāṭ (Njia) iliyotandikwa juu ya daraja la moto wa Jahanamu, ..
 
Surat Maryam 19,
Ayah: 71 ... Na hakuna katika nyinyi, enyi watu, yoyote isipokuwa ataufikia huo Moto kwa kupita juu Ṣirāṭ (Njia) iliyotandikwa juu ya daraja la moto wa Jahanamu, ..
"Na hapana yeyote miongoni mwenu ila ataifikia (Moto wa Jahannam); hilo ni jambo lililokadiriwa na Bwana wako, ni lazima."

Tafsiri na Maelezo:

"Na hapana yeyote miongoni mwenu ila ataifikia": Hii inaeleza kwamba kila mtu atapita au kufikia Jahannam (Moto wa Jehanamu), lakini haimaanishi kwamba kila mtu ataingia ndani yake. Aya hii inatafsiriwa na wanazuoni kuwa kila mmoja atapita juu ya Sirat (daraja lililo juu ya Jahannam) siku ya Kiyama, ili kuonyesha nguvu ya hukumu ya Mungu na haki yake.
 
Hii comment yako ina hoja lakini pia inaupotoshi. Hakhna sehemu au mtu sliyewahi kusema waislamu wasipoomba kwa kiarabu maombi yao hayaendi, hii ni misinformation mkuu. Suala la lugha ya kiarabu katika uislamu wataalamu wanaweza lizungumzia vizuri.

Kwenye comparison ya ukristo na uislamu mimi huko sitaingia mada ya mtoa mada imejikita kwenye uisalamu na kiarabu mimi ntajikita huko.

Mahubiri au mafundisho au maombi hata waislamu wanapiga kwa local languages zao vizuri tu

Hoja hapa kubwa ni kiarabu na waisalamu wasiotoka kwenye arab speaking countries solution ni kusoma kiarabu ili kuleta ulewa mkubwa katika imani. Ambayo itapelekea kuondoa mambo ya kukariri uliyoyasema, kwa sababu hii changamoto ya kukariri ni fact
Swali, Biblia ya Wakristo wa Uarabuni imeandikwa kwa kiarabu, sasa kwa nini Wakristo wa Uarabuni hawajui kusoma Qur'an na imeandikwa Kiarabu?
 
Back
Top Bottom