Waislamu Waafrika waliosoma madrasa wanaweza kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha na weledi?

Waislamu Waafrika waliosoma madrasa wanaweza kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha na weledi?

Wakiristo waliosoma Magomeni Mwakinya St Joseph secondary school wakienda ulaya wanaongea kidhungu? Au ndio hello hello
Hapa sasa ndio unachanganya mambo; Kikristo hakuna lugha maalumu ya dini hiyo, zipo Biblia za Kisukuma, Kihehe nk so kwa Mkristo Kingereza sio lugha mama ya dini, Waingereza nao walitafsiri Biblia kuja kwenye lugha yao kutoka Kigiriki na Kiebrania/Kiisrael/Kiyahudi
 
Hapa sasa ndio unachanganya mambo; Kikristo hakuna lugha maalumu ya dini hiyo, zipo Biblia za Kisukuma, Kihehe nk so kwa Mkristo Kingereza sio lugha mama ya dini, Waingereza nao walitafsiri Bilblia kuja kwenye lugha yao kutoka Kigiriki na Kiebrania/Kiisrael/Kiyahudi
Nilimwambia malaria hoja yake sio mlinganisho mzuri maana kuna mtego ndani yake. Na mtego wenyewe ndo huu unaosema wewe
 
Naam, sasa challenge iliyopo ni kwenye education system ya hizi madrasa, mabaraza na wadau mbali mbali wakae waangalie nini kifanyike kubali mode ya ufundishaji kue na uniformity ya wanafunzi ikiwezekana kuanza na lugha kwanza kwa maoni yangu
Mkuu, huko Madrasa watoto wanafundishwa kwa mfumo wa lugha kama zilivyo lugha nyingine. Kwa maana ya kwamba a b c d & a e i o u.

Wanafundishwa vyema kabisa, ndio maana mwanafunzi bora anayezingatia mafunzo ana uwezo wa kukifahamu Kiarabu kwa ufasaha.
 
Nilimwambia malaria hoja yake sio mlinganisho mzuri maana kuna mtego ndani yake. Na mtego wenyewe ndo huu unaosema wewe
Wakristo hata wanapo mwomba Mungu wao, kila mtu atamuomba Mungu wake kwa lugha ambayo yeye yupo comfortable, uwe pekee yako au kwenye jumuia; makanisa kama AIC kwa kule kanda ya Ziwa, wahubiri wa kule wanahubiri hadi Kisukuma, Waha kule Kigoma as well. Kwenye Ukristo lugha sio shida, Mungu wao anawasikia watu wake kwa lugha yoyote tofauti na Uislam ambao unalazimisha watoto wajifunze kwanza Kiarabu ambacho kimsingi hata huaga hawaelewi, wanakariri tu.
 
Hivi ukiwa muislamu uliyesoma dini madrasa automatically unakuwa na uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na weledi? Unaweza kufika uarabuni mkazungumza na mwarabu mkaelewana vizuri au huwa cha kuzungumza nje ya dini ni cha kuombea maji ya kunywa tu?
Huwa naona wengi wanaweza kunukuu Quran kwa kiarabu na pia hata katika kuswali kinatumika kiarabu.
Vizuri kabisa.Kwani kuna tatizo mkuu?
 
Umejichanganya wewe.
Hapa sasa ndio unachanganya mambo; Kikristo hakuna lugha maalumu ya dini hiyo, zipo Biblia za Kisukuma, Kihehe nk so kwa Mkristo Kingereza sio lugha mama ya dini, Waingereza nao walitafsiri Biblia kuja kwenye lugha yao kutoka Kigiriki na Kiebrania/Kiisrael/Kiyahudi
 
Mkuu, huko Madrasa watoto wanafundishwa kwa mfumo wa lugha kama zilivyo lugha nyingine. Kwa maana ya kwamba a b c d & a e i o u.

Wanafundishwa vyema kabisa, ndio maana mwanafunzi bora anayezingatia mafunzo ana uwezo wa kukifahamu Kiarabu kwa ufasaha.
Hoja yako siipingi, labda ngoja nikupe hoja yangu nadhani itakua rahisi kuona nachokilenga. Mi nakaa uswahili ukichukua sampo hata ya watoto 10 ukiwauliza wewe upo sura gani wanataja vizuri tu na kurecite but wakimaliza kila mmoja ukimuuliza ina maana gani wengi huwa wanachemka. Kuchemka kwa watu wengi maana yake haijapewa msisitizo.

Ndo maana mi binafsi naona inatakiwa kupewa kipaumbele kikubwa sana ili kueliminate hiyo unasema "kwa mwanafunzi aliyezingatia mafunzo vyema" Yani iwe yeyote anayeenda madrasa awe na uwezo wa kuelewa kile anachosoma kwa wepesi zaidi, ili hata akisikia random sura ambayo hajasoma anakua anaelewa nini kinaongelewa

HIi ni experience na mtizamo wangu kuyoka huku uswahili nilipo
 
Hakuna tatizo mkuu, kinachonishangaza ni kwamba huwa siwaoni mkizungumza kiarabu kati yenu zaidi ya salamaleko na kunukuu aya za quran tu.
Kweli mku, nakuunga mkono tena aibu kubwa kwa waislam wa sasa, hatusomi Kiarabu wengine tunasoma lugha za makafiri badala ya kujifunza lugha yetu. Ijapokuwa kujifunza lugha ya makafiri sio dhambi lkn vijana wengi wa kiislamu wamejikita huko
 
Usianze kuleta hizo pigo za kuita wengine makafiri, kuwa muungwana na mstaarabu kidogo.
 
Back
Top Bottom