Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

Kwednye sheria za YTanzania kuna kitu kinaitwa "kabidhi wasihi" ambae ndiye mweka hazina wa mali zote zenye utata, zamani alikuwa pale vizazi na vifo, ambayo siu hizi inaitwa RITA, naamini kabishi wasihi bado yupo kisheria.

BAKWATA hawana haki ya kuhodhi mali za Waislam kwa kuwa BAKWATA siyo chombo cha Kiislam, jisomee:

 
 
Bakwata imeanzishwa na nyerere Bakwata imejifunza unyanganyi kutoka kwa nyerere, Bakwata wanadhulimu mali za waislamu walioijenga kwa pesa zao wanazimilikisha Bakwata wanakula wao na familia zao. nyerere aliwanyanganya watu nyumba zao zimejengwa miaka hata nyerere hajazaliwa aliposhika urais kawadhulumu watu nyumba zao na kuipa NHC wakati nhc hawajajenga nyumba hata moja zoote za wahindi na waarabu dhulma hii ndio inayotutafuna na inaitafuna bakwata
 
Bakwata haikuona haya kuuza viwanja vyenye thamani kubwa jijini Dar es salaam wataona haya kunyang'anya Mwanza. Wamefundishwa kazi na walioianzisha.
 
FaizaFoxy THE BIG SHOW The Boss Ritz Mohamed Said watapinga wakati kila kitu kipo wazi.
 
BAKWATA ndio chombo au taasisi madhubuti ya kutetea kulinda mali za Waislam wote Tanzania.

Hizi taasisi nyingine kama Shura ya Maimamu......... zinawakisha fujo na kutuondolea amani watanganyika.
 
Kwanza wafia dini faiza fox,,,,,,tuambieni msikiti ni Mali ya Allah au nimali yawatu flani,,,mfano bwakwata wakistepdown hao wengine wataupeleka wapi msikiti zaidi yakuswalia hapo???sasa kama nikwaajili yakuswalia tu mnang'ang'ania umiliki ili mpeleke wapi huo msikiti,,,, hizi dini maujinga nimengi sana
 
Wanataka kuuana wenyewe wauane tu .
Nkajua wanataka kuua watu wa Dini zingine (Maqafir) wao hupenda kuita.
 
Huwa waaanza kutupiana majini pigwa mtu jini pigwa jini wakishindwana kwenye uchawi sasa ndio wanafatana live live kupigana makobazi ya uso na ukistaajabu sasa wanarukiana mpaka makaratee live live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…