PreGE2025 Waislamu walikuwa mbele kumng'oa Mkoloni, Wakristu kwa kiasi kikubwa ndio watakaoing'oa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko Kilwa wote hao walikuwa Waislamu (Anayetaka elimu ataelimishwa).

Harakati za Uhuru nazo kwa kiwango kikubwa zilikomaa zaidi katika mikoa ya waislamu wengi, kuanzia kwa vyama vya AA, kuja TAA hadi TANU, Majority ya waliounga mkono struggle hizo walikuwa ni Waislamu.

Baada ya Uhuru Nyerere aligundua kuwa nguvu mojawapo inayoweza kumsumbua kutawala ni Waislamu, kwa hiyo akawatengenezea chombo chini ya Usalama wa Taifa kiitwacho BAKWATA, chombo hiki kazi yake ni kuhubiri amani, na kukataza movement yoyote ya waislamu kuraise up.

Kitu kimoja ambacho Nyerere alisahau au aliacha kwa makusudi ni kuliacha Kanisa kuoperate nchini kwa Autonomy, bila kuingiliwa organisations zake na mipango yake. Kitabu cha Sivalon cha Kanisa Katoliki na siasa za Tanzania kilitoa mwanga nna ambavyo kanisa lilikuwa likishirikiana na serikali. Nyerere mwenyewe amewahi kutamka kuwa "I have given the church, a good chance to operate in Tanzania". Matokeo ya sera za Nyerere za kuwacontrol waislamu kupitia BAKWATA na Kuliacha Kanisa Kuthrive, leo hii limetengeneza Power Kubwa ya kimtandao na waumini kiasi kwamba Likiamua jambo dhidi ya serikali kwa dhati ya kuliamua basi serikali ya bongo haina namna zaidi ya kukaa chini kuzubgumza nalo ama kwa siri au kwa dhahiri (Huwa kuna mikutano mingi tu serikali huwa inafanya na maaskofu kimyakimya).

Sasa Kanisa linataka haki nchini, limechoshwa na propaganda za Amani. Linataka amani ya kweli itamalaki kupitia Haki. Polepole limeanza kupaza sauti. Kwa bahati mbaya Kanisa si BAKWATA, Kanisa si tawi la Serikali, Halitabiriki, linaeeza kuiunga mkono serikali waziwazi au likaamua kuigomea.

Na bahati nzuri kanisa limejijengea heshima kwa
1. Kumchenjia Magufuli alivyokuwa anakandamiza demokrasia, kumbuka uwe waraka ea demokrasia uliomchanganya Magufuli

2. Waraka wa Covid, uliotaka serikali iache kufanya mambo kama waganga wa kienyeki huku wananchi wakiwa hatarini

3. Hata maaskofu kama Niwemugizi, Bagonza, Saba na wengineo walisimama kiume na kutoa kauli kuwa mambo hayako sawa

Alivyokuja huyu mama na kuanza kuingia mikataba ya kimangungo kwa kuuza bandari yetu kanisa lilisimama na kukataa. Hata hivyo halikuamua kuwapeleka mamilioni barabarani kwenda Ikulu ili kuleta misa ya kuombea busara kwenye matumizibya rasilimali zetu. Uwezo huo linao lakini halijaamua tu.

Sasa kwa sasa Baada ya Serikali kufanikiwa kuwazima Waislamu kupitia sheria za Ugaidi, Kuwatia ndani na kuwashughulikia Masheikh influential, Kuvamia misikiti na kusimika maimamu wanaowataka kupitia operation maalum za usalama wa Taifa, Na kuwaweka kwenye payrol baadhi ya masheikh, Serikali imefanikiwa kudhibiti mwamko na nguvu za Waislamu. Waislamu wa leo siyo sawa na Waislamu wa Mwembechai mwaka 1998, Wale walikuwa breed nyingine kabisa. Wa sasa wamethibitiwa!

Ila Kanisa lipo Strong, Kama kuna Taasisi itakayoharakisha CCM kudondoka ni taasisi ya Kanisa (TEC). Ugumu wa kudeal na Kanisa ni kuwa kuna waumini wao wengi ktk mifumo ya nchi na serikali, ni vigumu nyakati zote kuwa loyal kwa mifumo kandamizi ya kiutawala huku wakiendelea kuwa members wa taasisi za dini zinazowanyooshea vidole, lazima crack ktk dhamiri zao itakuwepo. Uwezo wa kiorganizesheni wa Kanisa kufikia mtu wa chini, Loyalty ya waumini kwa viongozi wa dini, Lakini kikubwa zaidi ni Waumini hawa ni nguvu ambayo Kanisa ikisema iitumie kukataa mambo ya kiuonevu ya CCM, basi CCM haina chance.

Ukombozi wa Kwanza wa nchi hii kwa kiasi kikubwa uliungwa mkono na umma wa waislamu kwanza na zaidi, Ila ninaona ukombozi wa pili wa nchi hii utaletwa na Kanisa!
Duh 🙄 !
Kazi kweli kweli !
Ngoja Tusubiri tuone !
Naona mambo kunoga , baa 😳 !
 
Ni ngumu sana, kwasababu CCM ni "omnipotent and omnipresent "
 
Kitabu cha uongo hicho
Duniani kote ukiondoa Asia, Machifu, Kings, Emperors, Queens walibalishwa dini! Hata Wababe wa Kirumi na wenyewe walimpokea Kristo! Sasa kipi cha ajabu kwa Mkwawa kubadili dini?! Kwanza hii title ya Chief/Chifu sisi ndo tunaitumia lakini ukiangalia document za Mkoloni za enzi hizo kwenye documents zao alikuwa anakuwa reffered kama Sultan Mkwawa!
 
Ukombozi wa Kwanza wa nchi hii kwa kiasi kikubwa uliungwa mkono na umma wa waislamu kwanza na zaidi, Ila ninaona ukombozi wa pili wa nchi hii utaletwa na Kanisa!
Mada moja mbovu sana toka kwako!
Kama huwezi kutambua juhudi za waTanzania wote katika kutafuta HAKI/UHURU, na kuyageuza kuwa ya kidini moja au nyingine; unakuwa huitendei haki dhamira yako.
Nyakati hizi hatuwezi tena kuwekwa katika mafungu ya kidini na kudharau uTanzania wetu kwanza na mbele kuliko jambo jingine lolote.
Mada hii ni kama umekwenda na kuhitimu katika chuo kikuu cha Mzee Said Mohamed, pale Kariakoo!
 
if you really speculate that .Muslim should do the likely.the outcomes usually is so prick on the ass, take an example of aboud rogo or the uamsho leaders.when Muslim starts preaching about politics it becomes suicidal because they incorporate quaranic verses and that has huge impact huge to the point I fear to tell examples
That was exactly what was going to happen in Tanganyika right after gaining independence had it not been nipped in the bud immediately!
 
Naona unaichochea TEC kufanya kazi ambayo Chadema imeshindwa.
CHADEMA ipi imeshindwa, ile ya Mbowe iliyogeuzwa kuwa tawi la CCM?
Sasa elewa kwamba hii siyo kazi ya CHADEMA tena pekee; hii ni kazi itakayofanywa na waTanzania wenyewe. Kuingiza mambo ya kidini humo ni kutafuta njia za kuwagawanya tu waTanzania wasitimize adhma ya kuikomboa nchi yao toka kwa wakoloni hawa wapya.

Kunyimwa HAKI ya wananchi kuwachagua viongozi wanao wataka wao haliwahusu wakristo au waislaam; ni swala la waTanzania wote.
 
Kulikuwa na Interaction ya Waarabu na Interior ya East Africa kabla ya Mjerumani hajaja Tanganyika.

Kuhusu Uislamu wa Mkwawa Tafuta kitabu kiitwacho "Uislamu wa Mkwawa : Chifu wa Wahehe", Chenye ISBN : 9987927386
Mwambie aende kalenga kwenye makumbusho ya mkwawa atajifunza kitu
 
Mohamed Said anaelezeaga vizuri sana history ya kudai uhuru ilivyochagizwa na waislam but anyway tusibase sana kwenye side za kidini... But ukweli ndio huo
 
Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko Kilwa wote hao walikuwa Waislamu (Anayetaka elimu ataelimishwa).

Harakati za Uhuru nazo kwa kiwango kikubwa zilikomaa zaidi katika mikoa ya waislamu wengi, kuanzia kwa vyama vya AA, kuja TAA hadi TANU, Majority ya waliounga mkono struggle hizo walikuwa ni Waislamu.

Baada ya Uhuru Nyerere aligundua kuwa nguvu mojawapo inayoweza kumsumbua kutawala ni Waislamu, kwa hiyo akawatengenezea chombo chini ya Usalama wa Taifa kiitwacho BAKWATA, chombo hiki kazi yake ni kuhubiri amani, na kukataza movement yoyote ya waislamu kuraise up.

Kitu kimoja ambacho Nyerere alisahau au aliacha kwa makusudi ni kuliacha Kanisa kuoperate nchini kwa Autonomy, bila kuingiliwa organisations zake na mipango yake. Kitabu cha Sivalon cha Kanisa Katoliki na siasa za Tanzania kilitoa mwanga nna ambavyo kanisa lilikuwa likishirikiana na serikali. Nyerere mwenyewe amewahi kutamka kuwa "I have given the church, a good chance to operate in Tanzania". Matokeo ya sera za Nyerere za kuwacontrol waislamu kupitia BAKWATA na Kuliacha Kanisa Kuthrive, leo hii limetengeneza Power Kubwa ya kimtandao na waumini kiasi kwamba Likiamua jambo dhidi ya serikali kwa dhati ya kuliamua basi serikali ya bongo haina namna zaidi ya kukaa chini kuzubgumza nalo ama kwa siri au kwa dhahiri (Huwa kuna mikutano mingi tu serikali huwa inafanya na maaskofu kimyakimya).

Sasa Kanisa linataka haki nchini, limechoshwa na propaganda za Amani. Linataka amani ya kweli itamalaki kupitia Haki. Polepole limeanza kupaza sauti. Kwa bahati mbaya Kanisa si BAKWATA, Kanisa si tawi la Serikali, Halitabiriki, linaeeza kuiunga mkono serikali waziwazi au likaamua kuigomea.

Na bahati nzuri kanisa limejijengea heshima kwa
1. Kumchenjia Magufuli alivyokuwa anakandamiza demokrasia, kumbuka uwe waraka ea demokrasia uliomchanganya Magufuli

2. Waraka wa Covid, uliotaka serikali iache kufanya mambo kama waganga wa kienyeki huku wananchi wakiwa hatarini

3. Hata maaskofu kama Niwemugizi, Bagonza, Saba na wengineo walisimama kiume na kutoa kauli kuwa mambo hayako sawa

Alivyokuja huyu mama na kuanza kuingia mikataba ya kimangungo kwa kuuza bandari yetu kanisa lilisimama na kukataa. Hata hivyo halikuamua kuwapeleka mamilioni barabarani kwenda Ikulu ili kuleta misa ya kuombea busara kwenye matumizibya rasilimali zetu. Uwezo huo linao lakini halijaamua tu.

Sasa kwa sasa Baada ya Serikali kufanikiwa kuwazima Waislamu kupitia sheria za Ugaidi, Kuwatia ndani na kuwashughulikia Masheikh influential, Kuvamia misikiti na kusimika maimamu wanaowataka kupitia operation maalum za usalama wa Taifa, Na kuwaweka kwenye payrol baadhi ya masheikh, Serikali imefanikiwa kudhibiti mwamko na nguvu za Waislamu. Waislamu wa leo siyo sawa na Waislamu wa Mwembechai mwaka 1998, Wale walikuwa breed nyingine kabisa. Wa sasa wamethibitiwa!

Ila Kanisa lipo Strong, Kama kuna Taasisi itakayoharakisha CCM kudondoka ni taasisi ya Kanisa (TEC). Ugumu wa kudeal na Kanisa ni kuwa kuna waumini wao wengi ktk mifumo ya nchi na serikali, ni vigumu nyakati zote kuwa loyal kwa mifumo kandamizi ya kiutawala huku wakiendelea kuwa members wa taasisi za dini zinazowanyooshea vidole, lazima crack ktk dhamiri zao itakuwepo. Uwezo wa kiorganizesheni wa Kanisa kufikia mtu wa chini, Loyalty ya waumini kwa viongozi wa dini, Lakini kikubwa zaidi ni Waumini hawa ni nguvu ambayo Kanisa ikisema iitumie kukataa mambo ya kiuonevu ya CCM, basi CCM haina chance.

Ukombozi wa Kwanza wa nchi hii kwa kiasi kikubwa uliungwa mkono na umma wa waislamu kwanza na zaidi, Ila ninaona ukombozi wa pili wa nchi hii utaletwa na Kanisa!

Mkoloni Nweusi .....!!
 
Duniani kote ukiondoa Asia, Machifu, Kings, Emperors, Queens walibalishwa dini! Hata Wababe wa Kirumi na wenyewe walimpokea Kristo! Sasa kipi cha ajabu kwa Mkwawa kubadili dini?! Kwanza hii title ya Chief/Chifu sisi ndo tunaitumia lakini ukiangalia document za Mkoloni za enzi hizo kwenye documents zao alikuwa anakuwa reffered kama Sultan Mkwawa!
Acha kushabikia ujinga mkwawa hakuwahi kuwa muislamu, hapo kuna watu wanavutia nyama kwao kutokana na historia ya huyo mwamba, ALIPOPITA mwarabu panajulikana
 
CHADEMA ipi imeshindwa, ile ya Mbowe iliyogeuzwa kuwa tawi la CCM?
Sasa elewa kwamba hii siyo kazi ya CHADEMA tena pekee; hii ni kazi itakayofanywa na waTanzania wenyewe. Kuingiza mambo ya kidini humo ni kutafuta njia za kuwagawanya tu waTanzania wasitimize adhma ya kuikomboa nchi yao toka kwa wakoloni hawa wapya.
Dini na Siasa zimetenganishwa na mstari mwembamba sana.

Mojawapo ikivuka mstari na kuingia upande mwingine matokeo yake hayajawahi kuwa mazuri. Mifano ipo mingi.

Hivyo kila mmoja utimize wajibu wake bila kuathiri mwenzake.
 
Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko Kilwa wote hao walikuwa Waislamu (Anayetaka elimu ataelimishwa).

Harakati za Uhuru nazo kwa kiwango kikubwa zilikomaa zaidi katika mikoa ya waislamu wengi, kuanzia kwa vyama vya AA, kuja TAA hadi TANU, Majority ya waliounga mkono struggle hizo walikuwa ni Waislamu.

Baada ya Uhuru Nyerere aligundua kuwa nguvu mojawapo inayoweza kumsumbua kutawala ni Waislamu, kwa hiyo akawatengenezea chombo chini ya Usalama wa Taifa kiitwacho BAKWATA, chombo hiki kazi yake ni kuhubiri amani, na kukataza movement yoyote ya waislamu kuraise up.

Kitu kimoja ambacho Nyerere alisahau au aliacha kwa makusudi ni kuliacha Kanisa kuoperate nchini kwa Autonomy, bila kuingiliwa organisations zake na mipango yake. Kitabu cha Sivalon cha Kanisa Katoliki na siasa za Tanzania kilitoa mwanga nna ambavyo kanisa lilikuwa likishirikiana na serikali. Nyerere mwenyewe amewahi kutamka kuwa "I have given the church, a good chance to operate in Tanzania". Matokeo ya sera za Nyerere za kuwacontrol waislamu kupitia BAKWATA na Kuliacha Kanisa Kuthrive, leo hii limetengeneza Power Kubwa ya kimtandao na waumini kiasi kwamba Likiamua jambo dhidi ya serikali kwa dhati ya kuliamua basi serikali ya bongo haina namna zaidi ya kukaa chini kuzubgumza nalo ama kwa siri au kwa dhahiri (Huwa kuna mikutano mingi tu serikali huwa inafanya na maaskofu kimyakimya).

Sasa Kanisa linataka haki nchini, limechoshwa na propaganda za Amani. Linataka amani ya kweli itamalaki kupitia Haki. Polepole limeanza kupaza sauti. Kwa bahati mbaya Kanisa si BAKWATA, Kanisa si tawi la Serikali, Halitabiriki, linaeeza kuiunga mkono serikali waziwazi au likaamua kuigomea.

Na bahati nzuri kanisa limejijengea heshima kwa
1. Kumchenjia Magufuli alivyokuwa anakandamiza demokrasia, kumbuka uwe waraka ea demokrasia uliomchanganya Magufuli

2. Waraka wa Covid, uliotaka serikali iache kufanya mambo kama waganga wa kienyeki huku wananchi wakiwa hatarini

3. Hata maaskofu kama Niwemugizi, Bagonza, Saba na wengineo walisimama kiume na kutoa kauli kuwa mambo hayako sawa

Alivyokuja huyu mama na kuanza kuingia mikataba ya kimangungo kwa kuuza bandari yetu kanisa lilisimama na kukataa. Hata hivyo halikuamua kuwapeleka mamilioni barabarani kwenda Ikulu ili kuleta misa ya kuombea busara kwenye matumizibya rasilimali zetu. Uwezo huo linao lakini halijaamua tu.

Sasa kwa sasa Baada ya Serikali kufanikiwa kuwazima Waislamu kupitia sheria za Ugaidi, Kuwatia ndani na kuwashughulikia Masheikh influential, Kuvamia misikiti na kusimika maimamu wanaowataka kupitia operation maalum za usalama wa Taifa, Na kuwaweka kwenye payrol baadhi ya masheikh, Serikali imefanikiwa kudhibiti mwamko na nguvu za Waislamu. Waislamu wa leo siyo sawa na Waislamu wa Mwembechai mwaka 1998, Wale walikuwa breed nyingine kabisa. Wa sasa wamethibitiwa!

Ila Kanisa lipo Strong, Kama kuna Taasisi itakayoharakisha CCM kudondoka ni taasisi ya Kanisa (TEC). Ugumu wa kudeal na Kanisa ni kuwa kuna waumini wao wengi ktk mifumo ya nchi na serikali, ni vigumu nyakati zote kuwa loyal kwa mifumo kandamizi ya kiutawala huku wakiendelea kuwa members wa taasisi za dini zinazowanyooshea vidole, lazima crack ktk dhamiri zao itakuwepo. Uwezo wa kiorganizesheni wa Kanisa kufikia mtu wa chini, Loyalty ya waumini kwa viongozi wa dini, Lakini kikubwa zaidi ni Waumini hawa ni nguvu ambayo Kanisa ikisema iitumie kukataa mambo ya kiuonevu ya CCM, basi CCM haina chance.

Ukombozi wa Kwanza wa nchi hii kwa kiasi kikubwa uliungwa mkono na umma wa waislamu kwanza na zaidi, Ila ninaona ukombozi wa pili wa nchi hii utaletwa na Kanisa!
Umeficha sumu kwenye nyama tamu. Uhuru wa Tanzania ulipiganiwa na watanzania bila kujali dini. Kadhalika, kuibandua CCM kutafanywa na watanzania kama wananchi na si waumini wa dini. Msituletee udini uchwara hapa. Mnaanza kutugawanya kwa dini ili iweje au mnatumiwa na ccm hiyo hiyo mnayojifanya kuipinga? Tushastuka.
 
Dini na Siasa zimetenganishwa na mstari mwembamba sana.

Mojawapo ikivuka mstari na kuingia upande mwingine matokeo yake hayajawahi kuwa mazuri. Mifano ipo mingi.

Hivyo kila mmoja utimize wajibu wake bila kuathiri mwenzake.
Hii ni dhana potofu sana inayotumiwa na wanasiasa hao hao wabovu wanaominya haki za wananchi.
HAKI haina dini. Haichagui nani apewe haki na nani anyimwe haki hiyo hiyo.

Mstari pekee unaotenganisha dini na siasa ni kufanya serikali ionekane kuwa na dini. Hili ndilo kosa.
 
Back
Top Bottom