PreGE2025 Waislamu walikuwa mbele kumng'oa Mkoloni, Wakristu kwa kiasi kikubwa ndio watakaoing'oa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umegoma kuelewa kilichoandikwa. Waislamu wamedhibitiwa kwa kuundiwa BAKWATA.
BAKWATA wapo kwenye payroll ya Serikali wanaweza kuleta mabadiliko gani zaidi ya kua tawi la CCM.
Wakati wa utawala wa Mwinyi waislamu walijaribu kuiteka Bakwata baada ya kuona haipiganii maslahi ya waislamu.

Mwinyi akawaita Ikulu, akawaambia Bakwata si ya kwenu! Bakwata ni ya Nyerere. Mkitaka taasisi ya kwenu waislam basi iundeni taasisi iundeni ninyi wenyewe.

Watu wasichokijua Bakwata ina nguvu sana! Jambo lolote waislamu wakitaka kulifanya kwa maslahi ya waislamu hapa Tanzania ni lazima lipate baraka ya Bakwata kwanza hapa Tanzania. Wakikataa na hapo shughuli kwisha.

Ilianzishwa Balukta, ilikuwa na msigano mkubwa sana na Bakwata. Wakituhumiana kimojawapo ni chombo cha propaganda cha serikali.

Baada ya hapo, stori za kuunga unga zikawa nyingi, Balukta ikafutwa.
 
Pigo takatifu hawa mwaka huu lazima wakimbie,ukitegemea kanisa limetia mkono
Shida yenu huku kwenye mitandao ni 1% ya wapiga kura...99%wala hawaingii huku mitandaoni..
 
Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko Kilwa wote hao walikuwa Waislamu (Anayetaka elimu ataelimishwa).

Harakati za Uhuru nazo kwa kiwango kikubwa zilikomaa zaidi katika mikoa ya waislamu wengi, kuanzia kwa vyama vya AA, kuja TAA hadi TANU, Majority ya waliounga mkono struggle hizo walikuwa ni Waislamu.

Baada ya Uhuru Nyerere aligundua kuwa nguvu mojawapo inayoweza kumsumbua kutawala ni Waislamu, kwa hiyo akawatengenezea chombo chini ya Usalama wa Taifa kiitwacho BAKWATA, chombo hiki kazi yake ni kuhubiri amani, na kukataza movement yoyote ya waislamu kuraise up.

Kitu kimoja ambacho Nyerere alisahau au aliacha kwa makusudi ni kuliacha Kanisa kuoperate nchini kwa Autonomy, bila kuingiliwa organisations zake na mipango yake. Kitabu cha Sivalon cha Kanisa Katoliki na siasa za Tanzania kilitoa mwanga namna ambavyo kanisa lilikuwa likishirikiana na serikali. Nyerere mwenyewe amewahi kutamka kuwa "I have given the church, a good chance to operate in Tanzania". Matokeo ya sera za Nyerere za kuwacontrol waislamu kupitia BAKWATA na Kuliacha Kanisa Kuthrive, leo hii limetengeneza Power Kubwa sana ya kimtandao na waumini wengi kiasi kwamba Likiamua jambo dhidi ya serikali kwa dhati ya kuliamua basi serikali ya bongo haina namna zaidi ya kukaa chini kuzungumza nalo ama kwa siri au kwa dhahiri (Huwa kuna mikutano mingi tu serikali huwa inafanya na maaskofu kimyakimya).

Sasa Kanisa linataka haki nchini, limechoshwa na propaganda za Amani. Linataka amani ya kweli itamalaki kupitia Haki. Polepole limeanza kupaza sauti. Kwa bahati mbaya Kanisa si BAKWATA, Kanisa si tawi la Serikali, Halitabiriki, linaweza kuiunga mkono serikali waziwazi au likaamua kuigomea, na serikali haina uwezo kulifanya lolote!.

Na bahati nzuri kanisa limejijengea heshima kwa:
1. Kumchenjia Magufuli alivyokuwa anakandamiza demokrasia, kumbuka ule waraka wa demokrasia uliomchanganya Magufuli, hivyo hii inaondoa dhana kuwa Kanisa linabaugua mtawala wa kumkosoa kwa misingi ya dini yake.

2. Waraka wa Covid, uliotaka serikali iache kufanya mambo kama waganga wa kienyeki huku wananchi wakiwa hatarini

3. Hata maaskofu kama Niwemugizi, Bagonza, Saba na wengineo walisimama kiume na kutoa kauli kuwa mambo hayako sawa

Alivyokuja huyu mama na kuanza kuingia mikataba ya kimangungo kwa kuuza bandari yetu kanisa lilisimama na kukataa. Hata hivyo halikuamua kuwapeleka mamilioni barabarani kwenda Ikulu ili "kuleta misa" ya kuombea busara kwenye matumizibya rasilimali zetu. Uwezo huo linao lakini halijaamua tu.

Sasa, kwa sasa Baada ya Serikali kufanikiwa kuwazima Waislamu kupitia sheria za Ugaidi, Kuwatia ndani na kuwashughulikia Masheikh influential, Kuvamia misikiti na kusimika maimamu wanaowataka kupitia operation maalum za usalama wa Taifa, Na kuwaweka kwenye payrol baadhi ya masheikh, Serikali imefanikiwa kudhibiti mwamko na nguvu za Waislamu. Waislamu wa leo siyo sawa na Waislamu wa Mwembechai mwaka 1998, Wale walikuwa breed nyingine kabisa. Wa sasa wamethibitiwa!.

Ila Kanisa lipo Strong, Kama kuna Taasisi itakayoharakisha CCM kudondoka ni taasisi ya Kanisa (TEC). Ugumu wa kudeal na Kanisa ni kuwa kuna waumini wao wengi ktk mifumo ya nchi na serikali, ni vigumu nyakati zote kuwa loyal kwa mifumo kandamizi ya kiutawala huku wakiendelea kuwa members wa taasisi za dini zinazowanyooshea vidole, lazima crack ktk dhamiri zao itakuwepo. Uwezo wa kiorganizesheni wa Kanisa kufikia mtu wa chini, Loyalty ya waumini kwa viongozi wa dini, Lakini kikubwa zaidi ni Waumini, hawa ni nguvu ambayo Kanisa ikisema iitumie kukataa mambo ya kiuonevu ya CCM, basi CCM haina chance.

Ukombozi wa Kwanza wa nchi hii kwa kiasi kikubwa uliungwa mkono na umma wa waislamu kwanza na zaidi, Ila ninaona ukombozi wa pili wa nchi hii utaletwa na Kanisa!
Sio kweli.
Kanisa la Roman liko kuhakikisha maslahi yake hayaharibiki. Kuna mahala tu Samia kaliudhi Kanisa lkn sio kwamba wanataka haki.
Pili Kanisa bila serikali halisimami popote duniani.

Tatu, Kanisa halina ubavu wa kujitoa CCM. Huko ndiko walikowekeza kwa miongo mingi. Hawawezi kwenda chama kingine wakapenyeza ushawishi wao kama ilivyo kwa CCM.

Nne, Kanisa unalolizungumzia kuwa eti ni strong lilikuwa enzi za Nyerere za Kadinali Pengo.
Walikuwa na uwezo wa kumwita waziri yeyote na kumwamuru kimyakimya.
Hili la sasa ni mikelele tu. Kila uchao waraka lkn hakuna wanaloweza kulazimisha. Wao wenyewe wanaogopa kukatiwa ruzuku za kuendeshea hospital zao. Sasa hv Kanisa ni Toothless Bulldog tu
 
Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko Kilwa wote hao walikuwa Waislamu (Anayetaka elimu ataelimishwa).

Harakati za Uhuru nazo kwa kiwango kikubwa zilikomaa zaidi katika mikoa ya waislamu wengi, kuanzia kwa vyama vya AA, kuja TAA hadi TANU, Majority ya waliounga mkono struggle hizo walikuwa ni Waislamu.

Baada ya Uhuru Nyerere aligundua kuwa nguvu mojawapo inayoweza kumsumbua kutawala ni Waislamu, kwa hiyo akawatengenezea chombo chini ya Usalama wa Taifa kiitwacho BAKWATA, chombo hiki kazi yake ni kuhubiri amani, na kukataza movement yoyote ya waislamu kuraise up.

Kitu kimoja ambacho Nyerere alisahau au aliacha kwa makusudi ni kuliacha Kanisa kuoperate nchini kwa Autonomy, bila kuingiliwa organisations zake na mipango yake. Kitabu cha Sivalon cha Kanisa Katoliki na siasa za Tanzania kilitoa mwanga namna ambavyo kanisa lilikuwa likishirikiana na serikali. Nyerere mwenyewe amewahi kutamka kuwa "I have given the church, a good chance to operate in Tanzania". Matokeo ya sera za Nyerere za kuwacontrol waislamu kupitia BAKWATA na Kuliacha Kanisa Kuthrive, leo hii limetengeneza Power Kubwa sana ya kimtandao na waumini wengi kiasi kwamba Likiamua jambo dhidi ya serikali kwa dhati ya kuliamua basi serikali ya bongo haina namna zaidi ya kukaa chini kuzungumza nalo ama kwa siri au kwa dhahiri (Huwa kuna mikutano mingi tu serikali huwa inafanya na maaskofu kimyakimya).

Sasa Kanisa linataka haki nchini, limechoshwa na propaganda za Amani. Linataka amani ya kweli itamalaki kupitia Haki. Polepole limeanza kupaza sauti. Kwa bahati mbaya Kanisa si BAKWATA, Kanisa si tawi la Serikali, Halitabiriki, linaweza kuiunga mkono serikali waziwazi au likaamua kuigomea, na serikali haina uwezo kulifanya lolote!.

Na bahati nzuri kanisa limejijengea heshima kwa:
1. Kumchenjia Magufuli alivyokuwa anakandamiza demokrasia, kumbuka ule waraka wa demokrasia uliomchanganya Magufuli, hivyo hii inaondoa dhana kuwa Kanisa linabaugua mtawala wa kumkosoa kwa misingi ya dini yake.

2. Waraka wa Covid, uliotaka serikali iache kufanya mambo kama waganga wa kienyeki huku wananchi wakiwa hatarini

3. Hata maaskofu kama Niwemugizi, Bagonza, Saba na wengineo walisimama kiume na kutoa kauli kuwa mambo hayako sawa

Alivyokuja huyu mama na kuanza kuingia mikataba ya kimangungo kwa kuuza bandari yetu kanisa lilisimama na kukataa. Hata hivyo halikuamua kuwapeleka mamilioni barabarani kwenda Ikulu ili "kuleta misa" ya kuombea busara kwenye matumizibya rasilimali zetu. Uwezo huo linao lakini halijaamua tu.

Sasa, kwa sasa Baada ya Serikali kufanikiwa kuwazima Waislamu kupitia sheria za Ugaidi, Kuwatia ndani na kuwashughulikia Masheikh influential, Kuvamia misikiti na kusimika maimamu wanaowataka kupitia operation maalum za usalama wa Taifa, Na kuwaweka kwenye payrol baadhi ya masheikh, Serikali imefanikiwa kudhibiti mwamko na nguvu za Waislamu. Waislamu wa leo siyo sawa na Waislamu wa Mwembechai mwaka 1998, Wale walikuwa breed nyingine kabisa. Wa sasa wamethibitiwa!.

Ila Kanisa lipo Strong, Kama kuna Taasisi itakayoharakisha CCM kudondoka ni taasisi ya Kanisa (TEC). Ugumu wa kudeal na Kanisa ni kuwa kuna waumini wao wengi ktk mifumo ya nchi na serikali, ni vigumu nyakati zote kuwa loyal kwa mifumo kandamizi ya kiutawala huku wakiendelea kuwa members wa taasisi za dini zinazowanyooshea vidole, lazima crack ktk dhamiri zao itakuwepo. Uwezo wa kiorganizesheni wa Kanisa kufikia mtu wa chini, Loyalty ya waumini kwa viongozi wa dini, Lakini kikubwa zaidi ni Waumini, hawa ni nguvu ambayo Kanisa ikisema iitumie kukataa mambo ya kiuonevu ya CCM, basi CCM haina chance.

Ukombozi wa Kwanza wa nchi hii kwa kiasi kikubwa uliungwa mkono na umma wa waislamu kwanza na zaidi, Ila ninaona ukombozi wa pili wa nchi hii utaletwa na Kanisa!
sisi tunamjua mwamba Julius Nyerere
 
Uzi wako una matobo, tobo mojawapo ni kulinganisha mapambano ya watu Binafsi kama kina Mkwawa, Abushiri na mapambano ya kanisa.

Tobo jingine ni kufikiri wakina Abushiri au Mkwawa walisukumwa na dini kupambana na wakoloni. Wakina mangi Sina walisukumwa na upagani wao?

Tobo lingine ni kufikiri wakina Abushiri na Mkwawa walikuwa wanawapigania hadi Wamasai, Wapare, Wanyakyusa n.k na sio makabila yao tu au watu wao.

Tobo lingine ni kufikiri uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 ulipatikana kwa mapambano makubwa sana dhidi ya Uingereza na kwamba kundi fulani lilikuwa na mchango mkubwa zaidi unaopaswa kupewa hadhi au heshima ya kipekee.

Hakuna shida, just chuja chuya twende na mchele, hakuna haja ya kuparurana.

Mawazo hayapigwi rungu, ndo demokrasia hiyo
 
Unajua tatizo la wakristo humu Jf yakizungumzwa mazuri ya waislamu ndani ya hii nchi watakuambia unaleta udini.

Ila yakizungumzwa mazuri ya wakristo ndani ya hii nchi watakuja na sera zao za kujinadi wao ni wasomi na bila haya wataunadi ukristo wao.

Hawa watu ni wadini na wana chuki za kupindukia, kila zuri wanataka liwe lao na kila shari wanataka liwe la muislam na uislam, na ndiyo maana kwenye hizi harakazi zao za kisiasa waislamu wa sasa hawawaelewi.

Wanataka umoja kwenye kuiondoa CCM lakini papo hapo wanaukandia uislam na waislam kwa kuweka udini wao wazi.

Ishu nyepesi kama hiyo ya Mkwawa na kutoa historia ya upiganaji wa uhuru wa Tanzania ambao wengi wao walikuwa ni waislam, kusema waislamu walijitoa sana kwenye uhuru unaonekana ni mdini.

Halafu wanakuita wewe mleta mada ni mdini, wakati wao ndiyo wanaonekana ndiyo wadini kwa kushindwa kuielewa hoja kiufasaha kwa sababu wao maandishi yako wameyaangalia kwa angle ya kidini.
Kuwa makini kidogo unavyozungumzia mambo, Kusema Wakristo wana harakati za kuiondoa CCM ni kukosa uelewa au upotoshaji kwani CCM yenyewe imejaa Wakristo, lakini pia huko Zanzibar ambako labda Waislamu ni 90% CCM kila uchaguzi huwa inashindwa.

Mfano historia ya nchi hii ipo wazi kuonyesha Nyerere, Rupia Banda, Kyaruzi na Wagalatia wengine wengi tu walioshiriki hizo harakati za uhuru lakini kila mara Mohammed Said yupo na historia yake mbadala akisema ni "wazee wa dini yetu" ndio waliongoza mapambano jambo ambalo sio sahihi hata kidogo na lazima lipingwe tu.
 
Umeficha sumu kwenye nyama tamu. Uhuru wa Tanzania ulipiganiwa na watanzania bila kujali dini. Kadhalika, kuibandua CCM kutafanywa na watanzania kama wananchi na si waumini wa dini. Msituletee udini uchwara hapa. Mnaanza kutugawanya kwa dini ili iweje au mnatumiwa na ccm hiyo hiyo mnayojifanya kuipinga? Tushastuka.

shetani hupigwa kwa Silaha yeyote. Vyovyote vile itakavgokuwa kikubwa tunajua majira ya Mungu ndio haya,
 
Mada moja mbovu sana toka kwako!
Kama huwezi kutambua juhudi za waTanzania wote katika kutafuta HAKI/UHURU, na kuyageuza kuwa ya kidini moja au nyingine; unakuwa huitendei haki dhamira yako.
Nyakati hizi hatuwezi tena kuwekwa katika mafungu ya kidini na kudharau uTanzania wetu kwanza na mbele kuliko jambo jingine lolote.
Mada hii ni kama umekwenda na kuhitimu katika chuo kikuu cha Mzee Said Mohamed, pale Kariakoo!
Amekuchukiza kabisa kwa kusema Waislam ndo waliopigania uhuru wa nchi hii!
 
Kuwa makini kidogo unavyozungumzia mambo, Kusema Wakristo wana harakati za kuiondoa CCM ni kukosa uelewa au upotoshaji kwani CCM yenyewe imejaa Wakristo, lakini pia huko Zanzibar ambako labda Waislamu ni 90% CCM kila uchaguzi huwa inashindwa.

Mfano historia ya nchi hii ipo wazi kuonyesha Nyerere, Rupia Banda, Kyaruzi na Wagalatia wengine wengi tu walioshiriki hizo harakati za uhuru lakini kila mara Mohammed Said yupo na historia yake mbadala akisema ni "wazee wa dini yetu" ndio waliongoza mapambano jambo ambalo sio sahihi hata kidogo na lazima lipingwe tu.
Sawa! Lakini haiondoi ukweli kwamba wengi wao waliyojitoa kwenye harakati za kudai uhuru wa hii Tanzania ni waislamu.

Kwani ukikubali hilo utapungukiwa na nini na ajabu iko wapi?
 
Sio kila jambo kuwa wengi ndio inamaanisha ukubwa wa mchango. Kuna nchi zenye vyama viwili tu lakini zina demokrasia kubwa kuliko nchi zenye vyama 20.
 
Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko Kilwa wote hao walikuwa Waislamu (Anayetaka elimu ataelimishwa).

Harakati za Uhuru nazo kwa kiwango kikubwa zilikomaa zaidi katika mikoa ya waislamu wengi, kuanzia kwa vyama vya AA, kuja TAA hadi TANU, Majority ya waliounga mkono struggle hizo walikuwa ni Waislamu.

Baada ya Uhuru Nyerere aligundua kuwa nguvu mojawapo inayoweza kumsumbua kutawala ni Waislamu, kwa hiyo akawatengenezea chombo chini ya Usalama wa Taifa kiitwacho BAKWATA, chombo hiki kazi yake ni kuhubiri amani, na kukataza movement yoyote ya waislamu kuraise up.

Kitu kimoja ambacho Nyerere alisahau au aliacha kwa makusudi ni kuliacha Kanisa kuoperate nchini kwa Autonomy, bila kuingiliwa organisations zake na mipango yake. Kitabu cha Sivalon cha Kanisa Katoliki na siasa za Tanzania kilitoa mwanga namna ambavyo kanisa lilikuwa likishirikiana na serikali. Nyerere mwenyewe amewahi kutamka kuwa "I have given the church, a good chance to operate in Tanzania". Matokeo ya sera za Nyerere za kuwacontrol waislamu kupitia BAKWATA na Kuliacha Kanisa Kuthrive, leo hii limetengeneza Power Kubwa sana ya kimtandao na waumini wengi kiasi kwamba Likiamua jambo dhidi ya serikali kwa dhati ya kuliamua basi serikali ya bongo haina namna zaidi ya kukaa chini kuzungumza nalo ama kwa siri au kwa dhahiri (Huwa kuna mikutano mingi tu serikali huwa inafanya na maaskofu kimyakimya).

Sasa Kanisa linataka haki nchini, limechoshwa na propaganda za Amani. Linataka amani ya kweli itamalaki kupitia Haki. Polepole limeanza kupaza sauti. Kwa bahati mbaya Kanisa si BAKWATA, Kanisa si tawi la Serikali, Halitabiriki, linaweza kuiunga mkono serikali waziwazi au likaamua kuigomea, na serikali haina uwezo kulifanya lolote!.

Na bahati nzuri kanisa limejijengea heshima kwa:
1. Kumchenjia Magufuli alivyokuwa anakandamiza demokrasia, kumbuka ule waraka wa demokrasia uliomchanganya Magufuli, hivyo hii inaondoa dhana kuwa Kanisa linabaugua mtawala wa kumkosoa kwa misingi ya dini yake.

2. Waraka wa Covid, uliotaka serikali iache kufanya mambo kama waganga wa kienyeki huku wananchi wakiwa hatarini

3. Hata maaskofu kama Niwemugizi, Bagonza, Saba na wengineo walisimama kiume na kutoa kauli kuwa mambo hayako sawa

Alivyokuja huyu mama na kuanza kuingia mikataba ya kimangungo kwa kuuza bandari yetu kanisa lilisimama na kukataa. Hata hivyo halikuamua kuwapeleka mamilioni barabarani kwenda Ikulu ili "kuleta misa" ya kuombea busara kwenye matumizibya rasilimali zetu. Uwezo huo linao lakini halijaamua tu.

Sasa, kwa sasa Baada ya Serikali kufanikiwa kuwazima Waislamu kupitia sheria za Ugaidi, Kuwatia ndani na kuwashughulikia Masheikh influential, Kuvamia misikiti na kusimika maimamu wanaowataka kupitia operation maalum za usalama wa Taifa, Na kuwaweka kwenye payrol baadhi ya masheikh, Serikali imefanikiwa kudhibiti mwamko na nguvu za Waislamu. Waislamu wa leo siyo sawa na Waislamu wa Mwembechai mwaka 1998, Wale walikuwa breed nyingine kabisa. Wa sasa wamethibitiwa!.

Ila Kanisa lipo Strong, Kama kuna Taasisi itakayoharakisha CCM kudondoka ni taasisi ya Kanisa (TEC). Ugumu wa kudeal na Kanisa ni kuwa kuna waumini wao wengi ktk mifumo ya nchi na serikali, ni vigumu nyakati zote kuwa loyal kwa mifumo kandamizi ya kiutawala huku wakiendelea kuwa members wa taasisi za dini zinazowanyooshea vidole, lazima crack ktk dhamiri zao itakuwepo. Uwezo wa kiorganizesheni wa Kanisa kufikia mtu wa chini, Loyalty ya waumini kwa viongozi wa dini, Lakini kikubwa zaidi ni Waumini, hawa ni nguvu ambayo Kanisa ikisema iitumie kukataa mambo ya kiuonevu ya CCM, basi CCM haina chance.

Ukombozi wa Kwanza wa nchi hii kwa kiasi kikubwa uliungwa mkono na umma wa waislamu kwanza na zaidi, Ila ninaona ukombozi wa pili wa nchi hii utaletwa na Kanisa!

Historia za kutunga na za kibwege hizo .

Waislam walikuwepo tangu karne ya Saba Afrika mashariki lakini hapakuwa na kitu kinaitwa siasa wala Elimu ya siasa wala mtu mweusi kutawala nchi zaidi ya machifu wa kimila waliokua wanatawala makabila na koo tuu tena kwa kurithi .

Hakuna Mahali kabla ya ukristo kufika ambao palikua na vyama vya siasa vilivyosajiliwa au kuruhusiwa kugombea nafasi ya Sultani popote .

Baada ya Ukristo kuja ndio walifundisha watu na kuwapatia watu ya kujitawala wenyewe .Wakafundisha madaktari ili wajitibu na kuwatibu ndugu zao , Wanawafundisha walimu wa kufundisha wanafunzi n.k. Wakristo chini ya mifumo ya Kirumi waka waandaa watu kuwa wanajeshi ,Mapolisi na PGO ,Mahakama na majaji , Bendera na majengo ya watawala . Wakawafundisha namna ya kuunda vyama na mifumo ya kisiasa ya kufanya chaguzi . Hapo Waislam wakapata fursa ya kuunda vyama vya kidini kama Tanzania Muslims Association kupigania maslahi ya waislam tu badala ya maslahi ya Jamii nzima .
Wakristo chini ya Kanisa Katoliki walishauriwa kuwa wasiunde vyama vya kidini kwa sababu wataganyika .
Nyerere akiwa ameandaliwa vyema kuwakomboa watanzania wote bila kujali dini alipiga kampeni za kuunganisha vyama vyote na watanzania wote kudai uhuru.
Waislam wakiwa bado wanawaza kunufaisha dini yao walidhani kuwa baada ya uhuru wataendelea na harakati za kudai haki zao kama waislam badala ya Watanzania na binadam ambao ni sawa na wenye mahitaji sawa.

Nyerere akaunda Bakwata na KKKT kwaAjili ya kuunganisha nguvu pamoja na kujenga taifa.

Waislam kwa muda mrefu wakawa bado wanawaza ubinafsi wa kidini badala ya haki sawa kama binadamu.
Mwinyi alipokuja akaja na hulka na tabia za waZanzibar kuimarisha utawala wake kupitia uungwaji mkono na baadhi ya waislam, wenye misimamo mikali ndio zinaanzishwa harakati za kupigania maslahi ya kiislam na kuwa na vurugu za mara kwa mara huku wanafunzi wa kiislam wakiwa wamejitenga mashuleni na kuvaa un8fom tofauti.
 
Mkitaka mabadiliko yoyote yafanikiwe…. Yafanyeni yawe ya jamii na sio siasa wala dini

Based on your myopic point of view… nilitegemea at least ungegundua kwamba wakati wanapigania uhuru udini uliwekwa kando

And based on basic rule…. Kama ni Kweli waislamu ndioe alifanya tukapata uhuru basi it’s more likely wao ndio wakaleta changes tena because their approaches work
TRUE.
 
Back
Top Bottom