PreGE2025 Waislamu walikuwa mbele kumng'oa Mkoloni, Wakristu kwa kiasi kikubwa ndio watakaoing'oa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umeficha sumu kwenye nyama tamu. Uhuru wa Tanzania ulipiganiwa na watanzania bila kujali dini. Kadhalika, kuibandua CCM kutafanywa na watanzania kama wananchi na si waumini wa dini. Msituletee udini uchwara hapa. Mnaanza kutugawanya kwa dini ili iweje au mnatumiwa na ccm hiyo hiyo mnayojifanya kuipinga? Tushastuka.
juhudi hizi za kuwagawanya waTanzania katika makundi ya kidini zimefanyika sana tokea tupate uhuru. BAKWATA yenyewe lilikuwa ni zao la kuzuia juhudi hizo, lakini polepole CCM imeliwa ndani kwa ndani na sasa imeanza kuwa na matobo yasiyoweza kuzibwa kwa sababu ya kukosekana kwa uongozi unaojiamini, na kuamini kuwa taifa hili ni kila kitu juu ya kila dini inayotumiwa na raia zake.
 
Hii ni dhana potofu sana inayotumiwa na wanasiasa hao hao wabovu wanaominya haki za wananchi.
HAKI haina dini. Haichagui nani apewe haki na nani anyimwe haki hiyo hiyo.

Mstari pekee unaotenganisha dini na siasa ni kufanya serikali ionekane kuwa na dini. Hili ndilo kosa.
Mmomonyoko wa maadili unalibomoa Taifa kwa kasi kubwa,

Huko ndiko viongozi wa dini wanapaswa kujikita, wakifanikiwa huko mbona huku kwingine itakuwa rahisi tu.

Mambo ya siasa waachiwe wanasiasa wenyewe wayatatue kwa njia za kisiasa, ambazo zipo na zinafahamika.
 
Mada moja mbovu sana toka kwako!
Kama huwezi kutambua juhudi za waTanzania wote katika kutafuta HAKI/UHURU, na kuyageuza kuwa ya kidini moja au nyingine; unakuwa huitendei haki dhamira yako.
Nyakati hizi hatuwezi tena kuwekwa katika mafungu ya kidini na kudharau uTanzania wetu kwanza na mbele kuliko jambo jingine lolote.
Mada hii ni kama umekwenda na kuhitimu katika chuo kikuu cha Mzee Said Mohamed, pale Kariakoo!

Ukiwa objective badala ya kujaribu kutafuta political "Correctdness" utaweza kuona nazungumza nini.

Kuhusu Waislamu kuwa Front kwenye kudai uhuru kuliko watu wa imani nyingine kipindi cha kupigania uhuru. Tafuta Vitabu vya Historia uone waasisi wa TANU majority walikuwa ni akina nani, na ni wapi TANU ilipata uungwaji mkono kwa mwamko mkubwa zaidi, na mikoa gani ilikuwa Ngome ya TANU.!

Katafute vitabu vya historia uone jinsi kanisa wakati huo lilivyokuwa reluctant kuunga mkono harakati za uhuru na huku likionya waumini juu ya harakati hizo.

At the same time nenda katazame nani alikuwa beneti na Mwalimu Nyerere kwenye mikutano yake ya siasa Je ni Maaskofu na Mapadri au Masheikh. Kama unavyomuona Leo Lissu anazunguuka na Askofu Mwamakula, ndivyo ilivyokuwa enzi enzi hizo Nyerere akizunguuka na akina Sheikh Takadir.

Ninaposema Waislamu walikuwa front kwenye kudai uhuru haimaanishi Wakiristo hawakuwepo, Si ndo hao akina Nyerere, John Rupia etc. Lakini umma wa Wakiristo ulikuwa nyumanyuma kulinganisha na Waislamu kwenye kuung'oa Ukoloni kama leo ambavyo Umma wa Waislamu ulivyonyumanyuma kwenye kuing'oa CCM. Siku hizi Mikoa mingi ya ukanda wa pwani huwa inacaucus na CCM. Ofcourse wapo waislamu wengi tu wasioiunga mkono CCM, lakini majority hawako tayari kivile kupambana nayo kupitia ile inayoitwa "do or die".

Ninafahamu, pengine imekera kuwapa credit Waislamu ktk harakati za kudai Uhuru kwa mwamko wao mkubwa zaidi enzi hizo, maana ninajua, hiyo inapuncture ego za kiudini, lakini hiyo ni fact!. Kanisa lilikuwa linawapoza waumini wake wasipingane na ukoloni kwa kutumia hoja za "tii mamlaka".
 
Acha kushabikia ujinga mkwawa hakuwahi kuwa muislamu, hapo kuna watu wanavutia nyama kwao kutokana na historia ya huyo mwamba, ALIPOPITA mwarabu panajulikana
Waafrika sijui nani katuroga! Kumbe mnajadili historia kwa kusukumwa na milengo ya kidini!! SAD! Kwanza sija-conclude kwamba alikuwa Mwislam bali nimetoa changamoto nyepesi sana kwamba ikiwa hata Wababe wa Kivita Duniani, yaani Waroma na wenyewe walimpokea Kristo, cha ajabu nini linapokuja suala la Mkwawa ambae alikuwa anapewa makanzu na mashuka na Waarabu!?! Kingine, kuna Mshangazi mmoja nadhani yupo Ujerumani anaitwa Fatma Mkwawa. Nisingependa niandike mimi kuhusu huyu Fatma ni nani lakini kukupa hint ni Mjukuu wa Chifu Adam Sapi, na ni dada wa Chifu wa sasa anayeitwa Adam. Fanya utafiti zaidi wewe mwenyewe ku-verify hayo machache. Kuna siku huyu fatma alielezea historia ya Mkwawa, na naweza kusema anampigania kweli kweli!!
 
Duniani kote ukiondoa Asia, Machifu, Kings, Emperors, Queens walibalishwa dini! Hata Wababe wa Kirumi na wenyewe walimpokea Kristo! Sasa kipi cha ajabu kwa Mkwawa kubadili dini?! Kwanza hii title ya Chief/Chifu sisi ndo tunaitumia lakini ukiangalia document za Mkoloni za enzi hizo kwenye documents zao alikuwa anakuwa reffered kama Sultan Mkwawa!
Mkwawa hajawahi kuitwa Sultan, ila amewahi kuitwa Mtemi Mkwawa, jina la Chifu lilitumiwa sehemu zingine, na wakoloni walilitambua hilo. Halafu kuna mtu anasema ati Mkwawa alikua muislam, angejua maisha ya Mkwawa hangesema hayo. Tangu kazaliwa ilikua vita tu ya kimkabila, hadi kuja kupambana na Wajerumani, mara mbili, 1991 -92 halafu 1892 -94. Na alijiua wala hakutekwa. Kwani makabrasha humyasomi?
 
Ukiwa objective badala ya kujaribu kutafuta political "Correctdness" utaweza kuona nazungumza nini.

Kuhusu Waislamu kuwa Front kwenye kudai uhuru kuliko watu wa imani nyingine kipindi cha kupigania uhuru. Tafuta Vitabu vya Historia uone waasisi wa TANU majority walikuwa ni akina nani, na ni wapi TANU ilipata uungwaji mkono kwa mwamko mkubwa zaidi, na mikoa gani ilikuwa Ngome ya TANU.!

Katafute vitabu vya historia uone jinsi kanisa wakati huo lilivyokuwa reluctant kuunga mkono harakati za uhuru na huku likionya waumini juu ya harakati hizo.

At the same time nenda katazame nani alikuwa beneti na Mwalimu Nyerere kwenye mikutano yake ya siasa Je ni Maaskofu na Mapadri au Masheikh. Kama unavyomuona Leo Lissu anazunguuka na Askofu Mwamakula, ndivyo ilivyokuwa enzi enzi hizo Nyerere akizunguuka na akina Sheikh Takadir.

Ninaposema Waislamu walikuwa front kwenye kudai uhuru haimaanishi Wakiristo hawakuwepo, Si ndo hao akina Nyerere, John Rupia etc. Lakini umma wa Wakiristo ulikuwa nyumanyuma kulinganisha na Waislamu kwenye kuung'oa Ukoloni kama leo ambavyo Umma wa Waislamu ulivyonyumanyuma kwenye kuing'oa CCM. Siku hizi Mikoa mingi ya ukanda wa pwani huwa inacaucus na CCM. Ofcourse wapo waislamu wengi tu wasioiunga mkono CCM, lakini majority hawako tayari kivile kupambana nayo kupitia ile inayoitwa "do or die".

Ninafahamu, pengine imekera kuwapa credit Waislamu ktk harakati za kudai Uhuru kwa mwamko wao mkubwa zaidi enzi hizo, maana ninajua, hiyo inapuncture ego za kiudini, lakini hiyo ni fact!. Kanisa lilikuwa linawapoza waumini wake wasipingane na ukoloni kwa kutumia hoja za "tii mamlaka".
Hao unawataja kakuambia Mohmad Said, umeacha wengi sna akina Kahama, Mallealre, Mbowe, hawa walikuwa wanatoa hata pesa, tafadhali ukisoma upande Mmoja utadhani ati Waislam, lakini ni kweli Pwani waislam walikuwa wengi lakini mikoa yote kulikua na mwitikio mkubwa sana kwa wakristu.
 
Naona imeshageuka sasa ushindani wa kidini. Here are facts.
0. Nadhani mtu akiandika neno "etc" unaelewa maana yake
1. Miaka ya 1950's kwenda 1960's wakati huo kanisa likiwa na less than 100 years nchini mikoa mingi ya Tanganyika ya interior, Pagans walikuwa wengi kuliko wakiristo
2. Sensa ya 1954 Waislamu walikuwa majority Tanganyika wakifuatiwa na Pagans, Wakiristo walikuwa namba 3
3. Sijasema kulikuwa na zero christians katika movement za uhuru lakini walikuwa wachache kulinganisha na waislamu
4. Church ya Tanganyika haikuwa interested kukemea maovu ya Wakoloni. Nipe waraka mmoja wa Kanisa ktk miaka hiyo ukikemea colonial policies Tanganyika.
5. Jiulize Adam Sapi Mkwawa uislamu wake ni wa kusilimu au kazaliwa ndani ya familia ya kiislamu?

Najua, hii mada ni ngumu kidogo,ila ni fact kuwa Waislamu walikuwa front zaidi kukubali agenda ya uhuru kuiunga mkono na kushriki ipasavyo, hii haimaanishi hakuna wakirsto waliounga mkono agenda hiyo
 
Ukiwa objective badala ya kujaribu kutafuta political "Correctdness" utaweza kuona nazungumza nini.

Kuhusu Waislamu kuwa Front kwenye kudai uhuru kuliko watu wa imani nyingine kipindi cha kupigania uhuru. Tafuta Vitabu vya Historia uone waasisi wa TANU majority walikuwa ni akina nani, na ni wapi TANU ilipata uungwaji mkono kwa mwamko mkubwa zaidi, na mikoa gani ilikuwa Ngome ya TANU.!

Katafute vitabu vya historia uone jinsi kanisa wakati huo lilivyokuwa reluctant kuunga mkono harakati za uhuru na huku likionya waumini juu ya harakati

At the same time nenda katazame nani alikuwa beneti na Mwalimu Nyerere kwenye mikutano yake ya siasa Je ni Maaskofu na Mapadri au Masheikh. Kama unavyomuona Leo Lissu anazunguuka na Askofu Mwamakula, ndivyo ilivyokuwa enzi enzi hizo Nyerere akizunguuka na akina Sheikh Takadir.

Ninaposema Waislamu walikuwa front kwenye kudai uhuru haimaanishi Wakiristo hawakuwepo, Si ndo hao akina Nyerere, John Rupia etc. Lakini umma wa Wakiristo ulikuwa nyumanyuma kulinganisha na Waislamu kwenye kuung'oa Ukoloni kama leo ambavyo Umma wa Waislamu ulivyonyumanyuma kwenye kuing'oa CCM. Siku hizi Mikoa mingi ya ukanda wa pwani huwa inacaucus na CCM. Ofcourse wapo waislamu wengi tu wasioiunga mkono CCM, lakini majority hawako tayari kivile kupambana nayo kupitia ile inayoitwa "do or die".

Ninafahamu, pengine imekera kuwapa credit Waislamu ktk harakati za kudai Uhuru kwa mwamko wao mkubwa zaidi enzi hizo, maana ninajua, hiyo inapuncture ego za kiudini, lakini hiyo ni fact!. Kanisa lilikuwa linawapoza waumini wake wasipingane na ukoloni kwa kutumia hoja za "tii mamlaka".
Unajua tatizo la wakristo humu Jf yakizungumzwa mazuri ya waislamu ndani ya hii nchi watakuambia unaleta udini.

Ila yakizungumzwa mazuri ya wakristo ndani ya hii nchi watakuja na sera zao za kujinadi wao ni wasomi na bila haya wataunadi ukristo wao.

Hawa watu ni wadini na wana chuki za kupindukia, kila zuri wanataka liwe lao na kila shari wanataka liwe la muislam na uislam, na ndiyo maana kwenye hizi harakazi zao za kisiasa waislamu wa sasa hawawaelewi.

Wanataka umoja kwenye kuiondoa CCM lakini papo hapo wanaukandia uislam na waislam kwa kuweka udini wao wazi.

Ishu nyepesi kama hiyo ya Mkwawa na kutoa historia ya upiganaji wa uhuru wa Tanzania ambao wengi wao walikuwa ni waislam, kusema waislamu walijitoa sana kwenye uhuru unaonekana ni mdini.

Halafu wanakuita wewe mleta mada ni mdini, wakati wao ndiyo wanaonekana ndiyo wadini kwa kushindwa kuielewa hoja kiufasaha kwa sababu wao maandishi yako wameyaangalia kwa angle ya kidini.
 
Ipo shida kwa kweli. Mada imeelezea facts nyingi tu za mazuri ya Wakirsto katika kudai haki nchini, mada ikasifia mismimamo ya kanisa kwenye kupigania demokrasia. Ila nilipopoint out Positives za waislamu kwenye kudai uhuru hilo ndolimegeuka mjadala sasa.

Ulichosema ni kweli, moja ya sababu za Waislamu nchini kutokuwa Interested na ishu za demokrasia, au regime change ni kuwa wanahisi hata wapinzani hawako interested kivile na issues zao hivyo wanapuuza siasa. Siyo kwamba wanaipenda CCM, ila hawako commited kivile na hizo moves
 
Mkwawa hajawahi kuitwa Sultan, ila amewahi kuitwa Mtemi Mkwawa, jina la Chifu lilitumiwa sehemu zingine, na wakoloni walilitambua hilo. Halafu kuna mtu anasema ati Mkwawa alikua muislam, angejua maisha ya Mkwawa hangesema hayo. Tangu kazaliwa ilikua vita tu ya kimkabila, hadi kuja kupambana na Wajerumani, mara mbili, 1991 -92 halafu 1892 -94. Na alijiua wala hakutekwa. Kwani makabrasha humyasomi?
Mwaka 1991-92 Mkwawa hakuwa hai
 
Mkitaka mabadiliko yoyote yafanikiwe…. Yafanyeni yawe ya jamii na sio siasa wala dini

Based on your myopic point of view… nilitegemea at least ungegundua kwamba wakati wanapigania uhuru udini uliwekwa kando

And based on basic rule…. Kama ni Kweli waislamu ndioe alifanya tukapata uhuru basi it’s more likely wao ndio wakaleta changes tena because their approaches work
Umegoma kuelewa kilichoandikwa. Waislamu wamedhibitiwa kwa kuundiwa BAKWATA.
BAKWATA wapo kwenye payroll ya Serikali wanaweza kuleta mabadiliko gani zaidi ya kua tawi la CCM.
 
Mkwawa hajawahi kuitwa Sultan, ila amewahi kuitwa Mtemi Mkwawa, jina la Chifu lilitumiwa sehemu zingine, na wakoloni walilitambua hilo. Halafu kuna mtu anasema ati Mkwawa alikua muislam, angejua maisha ya Mkwawa hangesema hayo. Tangu kazaliwa ilikua vita tu ya kimkabila, hadi kuja kupambana na Wajerumani, mara mbili, 1991 -92 halafu 1892 -94. Na alijiua wala hakutekwa. Kwani makabrasha humyasomi?
Kambishie Kitukuu wake huyu
Mkwawa.jpg

Huyo Fatma ni dada wa Chifu Adam II Mkwawa; yaani Chifu wa sasa wa Wahehe! Na hata hao wengine unaosema walikuwa wanamwita Chifu, soma Official Document ya Serikali ya Mkoloni Mwingereza kwenda Serikali ya Ujeruman
Mkwawa 2.jpg

Source: The skull of Sultan Mkwawa - The National Archives blog. Kama unavyoona kwenye hiyo link, ni .gov.uk yaani ipo kwenye official government website!
 
Kambishie Kitukuu wake huyu
View attachment 3311771

Huyo Fatma ni dada wa Chifu Adam II Mkwawa; yaani Chifu wa sasa wa Wahehe! Na hata hao wengine unaosema walikuwa wanamwita Chifu, soma Official Document ya Serikali ya Mkoloni Mwingereza kwenda Serikali ya Ujeruman
View attachment 3311778
Source: The skull of Sultan Mkwawa - The National Archives blog. Kama unavyoona kwenye hiyo link, ni .gov.uk yaani ipo kwenye official government website!
Huyu fatma si ndio yupo kwenye ule wimbo wa chege wa "hili goma bwana la.kimataifa" 🎶
 
Umegoma kuelewa kilichoandikwa. Waislamu wamedhibitiwa kwa kuundiwa BAKWATA.
BAKWATA wapo kwenye payroll ya Serikali wanaweza kuleta mabadiliko gani zaidi ya kua tawi la CCM.
Waislamu hawajawahi kudhibitiwa dunia nzima
 
Ipo shida kwa kweli. Mada imeelezea facts nyingi tu za mazuri ya Wakirsto katika kudai haki nchini, mada ikasifia mismimamo ya kanisa kwenye kupigania demokrasia. Ila nilipopoint out Positives za waislamu kwenye kudai uhuru hilo ndolimegeuka mjadala sasa.

Ulichosema ni kweli, moja ya sababu za Waislamu nchini kutokuwa Interested na ishu za demokrasia, au regime change ni kuwa wanahisi hata wapinzani hawako interested kivile na issues zao hivyo wanapuuza siasa. Siyo kwamba wanaipenda CCM, ila hawako commited kivile na hizo moves
Uzi wako una matobo, tobo mojawapo ni kulinganisha mapambano ya watu Binafsi kama kina Mkwawa, Abushiri na mapambano ya kanisa.

Tobo jingine ni kufikiri wakina Abushiri au Mkwawa walisukumwa na dini kupambana na wakoloni. Wakina mangi Sina walisukumwa na upagani wao?

Tobo lingine ni kufikiri wakina Abushiri na Mkwawa walikuwa wanawapigania hadi Wamasai, Wapare, Wanyakyusa n.k na sio makabila yao tu au watu wao.

Tobo lingine ni kufikiri uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 ulipatikana kwa mapambano makubwa sana dhidi ya Uingereza na kwamba kundi fulani lilikuwa na mchango mkubwa zaidi unaopaswa kupewa hadhi au heshima ya kipekee.
 
Back
Top Bottom