PreGE2025 Waislamu walikuwa mbele kumng'oa Mkoloni, Wakristu kwa kiasi kikubwa ndio watakaoing'oa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ninatambua unapenda umoja wa kitaifa lakini hilo haliondoi ukweli kuwa kuna demographies. Na watu wanaweza kuwa grouped kwa jibsia zao, Age zao (watoto, vijana , wazee etc), Dini zao, Vipato vyao, Elimu zao, Mirengo yao ya kisiasa (uliberali, conservatism etc).
Hizi haziwezi kuwa sababu ya kukuzwa na kuwa muhimu kuliko kinacho tuunganisha sisi sote.

Tukisema wanawake ndio waliopigania uhuru wa nchi hii itatusaidia kitu gani. Tunataka nini hasa!
 
Nakujua siku nyingi unachukia sana Waislamu na Uislamu. Utafanyaje sasa mana Uislamu upo sana tu. Jutahidi kuvumilia hata kama una chuki
Ndiyo, ninachukia sana "waislamu, au wakristo, na hata kundi lingine lolote wanao fanya kila juhudi za kuweka mfarakano katika jamii yetu. Hilo usiwe na shaka nalo, na wala sina chochote cha kujutia juu yake.
Siyo waTanzania wote waisalam au wakkristo walio na tabia za aina yenu.
 
Hizi haziwezi kuwa sababu ya kukuzwa na kuwa muhimu kuliko kinacho tuunganisha sisi sote.

Tukisema wanawake ndio waliopigania uhuru wa nchi hii itatusaidia kitu gani. Tunataka nini hasa!

Ukitaka kuwa politically correct kwa muktadha wa siasa za Tanzania, unaweza mtu kwa nia njema tu kuamua kutosema baadhi ya vitu, na hilo si jambo baya kama unajaribu kutafuta mshikamano wa kitaifa, na kumfanya kila mtu ajifeel good etc lakini hilo halivifanyi hivyo vitu visiwepo ni just tu kwamba watu wameamua kutovisema tu.

Lakini nakuhakikishia take this from me, Kila chama cha siasa kwenye plan zake za kisiasa kina strategy ya kifanye nini kikubalike na watu wa demographies tofauti tofauti ikiwemo dini.

Inaelekea umesahau uchaguzi wa mwaka 2010 ulivyokuwa based on religious lines. Nadhani unakumbuka vizuri kama uko objective
 
Ndiyo, ninachukia sana "waislamu, au wakristo, na hata kundi lingine lolote wanao fanya kila juhudi za kuweka mfarakano katika jamii yetu. Hilo usiwe na shaka nalo, na wala sina chochote cha kujutia juu yake.
Siyo waTanzania wote waisalam au wakkristo walio na tabia za aina yenu.
Usizuge hapa. We nakujua una chuki kali sn dhidi ya Waislamu na Uislamu. Huko kwa wagalatia unajidanganya nafsi yako tu huna wa kumzuga hapa
 
Ukitaka kuwa politically correct kwa muktadha wa siasa za Tanzania, unaweza mtu kwa nia njema tu kuamua kutosema baadhi ya vitu, na hilo si jambo baya kama unajaribu kutafuta mshikamano wa kitaifa, na kumfanya kila mtu ajifeel good etc lakini hilo halivifanyi hivyo vitu visiwepo ni just tu kwamba watu wameamua kutovisema tu.
sikubaliani na unafiki huo. Huo ndio uliotufikisha hapa sasa hivi. Hii ni aina ya tamnaduni ngeni, ya kunyamazia mambo na kusema usichokiamini mbele za watu halafu gizani unafanya vinginevyo vinavyoleta madhara zaidi.
Haya ndiyo anayofanya Samia; na umekuwa utamaduni ndani ya CCM siku hizi.
 
Usizuge hapa. We nakujua una chuki kali sn dhidi ya Waislamu na Uislamu. Huko kwa wagalatia unajidanganya nafsi yako tu huna wa kumzuga hapa
Nimekwisha kueleza ninayo yaamini mimi, siyo kazi yangu kukushawishi wewe unielewe ninavyotaka unielewe.
Sidhani kuwa kuna la ziada na wewe katika mjadala huu.
 
Mwongo wewe!
Chuki yako dhidi ya Uislamu iko dhahiri sana. Umeshindwa kujificha
 
Lakini nakuhakikishia take this from me, Kila chama cha siasa kwenye plan zake za kisiasa kina strategy ya kifanye nini kikubalike na watu wa demographies tofauti tofauti ikiwemo dini.

Inaelekea umesahau uchaguzi wa mwaka 2010 ulivyokuwa based on religious lines. Nadhani unakumbuka vizuri kama uko objective
haya unayo yazungumzia huku ndiyo imekuwa kama 'hallmark' ya CCM. Imekuwa kama ndiyo sheria ya nchi, na ndiyo matatizo makubwa yanakoanzia. Ni haya haya yanayodakwa na kukuzwa na vikundi vikundi vyene misimamo ya kibaguzi katika kila kundi na kuyakuza kuwa ajenda kuu ya chama; kuzawadia vikundi mbalimbali.

Sijui au sikumbuki hayo ya uchaguzi wa 2010 ulivyo kuwa wa vikundi. Lakini sitashangaa na hilo, kwa sababu CCM ndio wamepalilia tabia hiyo na kuikuza.
 
Mwongo wewe!
Chuki yako dhidi ya Uislamu iko dhahiri sana. Umeshindwa kujificha
Sasa uongo wangu ni nini; kwamba ninachukia watu wa aina yako (waTanzania) walio na tabia za kutafuta migogoro ndani ya nchi yetu? Mbona nimekueleza hapo juu, ni kipi usichotaka kukiwelewa!
 
Huko kusema eti unawachukia na wagalatia pia ni uongo
 
haya unayo yazungumzia huku ndiyo imekuwa kama 'hallmark' ya CCM. Imekuwa kama ndiyo sheria ya nchi, na ndiyo matatizo makubwa yanakoanzia. Ni haya haya yanayodakwa na kukuzwa na vikundi vikundi vyene misimamo ya kibaguzi katika kila kundi na kuyakuza kuwa ajenda kuu ya chama; kuzawadia vikundi mbalimbali.

Sijui au sikumbuki hayo ya uchaguzi wa 2010 ulivyo kuwa wa vikundi. Lakini sitashangaa na hilo, kwa sababu CCM ndio wamepalilia tabia hiyo na kuikuza.
2010 kanisa liliweka mgombea wao Padri Slaa waziwazi likashindwa
 
Huko kusema eti unawachukia na wagalatia pia ni uongo
Naona huna uwezo wa kuelewa ninacho andika. Unanilazimisha niwachukie waTanzania kwa sababu tu za imani zao?
Ninachochukia ni watu wa aina yako, walioko pande zote. Na elewa siyo dini pekee; hata wakabila nawachukia hivyo hivyo.
Sasa kama wewe unataka kunilazimisha nichukie watu kwa sababu tu ya imani zao, hilo ni shauri zako. Nawachukia sana watu wa aina yako popote pale na katika kundi lolote lile, ikiwa ni pamoja na mafisadi na takataka nyingine zote.

Sitajibishana tena na wewe. Imetosha.
 
Tangu lini Mkwawa alikua Muislamu?
Interested...
Mkwawa ni Muislam na alisilimishwa na Abushiri bin Salim Al Harith na jina alilochagua Mtwa ni Abdallah maana yake Mtumwa wa Allah.

Fika Mkwawa Museum Kalenga utayaona yote haya hadi barua zake alizokuwa akiandika kwa herufi za Kiarabu.

Utaona hadi msala wake wa kusalia.
 
Haya maneno ya "mmomonyoko wa maadili", yamekuwepo toka enzi na enzi; hili siyo jambo jipya. Kila jamii kihistoria imekuwa ikizungumzia "mmomomyoko wa maadili wayajuwavyo wao katika enzi zao.

Sasa jiulize , ni "maadili" gani yanayo himiza kunyima watu HAKI zao kuwachagua viongozi wao?
Tunaimbiwa nyimbo za AMANI, kama vitisho vya kuwatia hofu watu wasidai HAKI; halafu tunaambiwa watu wanakosa "maadili", hayo ni maadili ya namna gani.

Tusimung'unye maneno hapa na kutoa visingizio visivyo kuwa na ukweli; kilichopo sasa ndani ya nchi hii ni UDINI. CCM inatetewa na BAKWATA; ambao nao wanataka dini isiingie kwenye siasa!

CCM inapofanya kila hila kunyima HAKI na viongozi wa dini wakitoa maoni juu ya hilo inakuwa ni kuingiza DINI kwenye siasa?
Kwa nini sote tusiwe waTanzania kwanza, na kudai HAKI itendeke bila kujali ni kiongozi wa dini gani anayefanya hila za kunyima waTanzania HAKI zao za kuwachagua viongozi wanao wataka wenyewe. Kwa nini uovu huo tuutetee kwa sababu tu unafanywa na mtawala wa dini yetu?

Mkuu 'Stroke', sasa tuache udanganyifu na visingizio vingine vyote, tatizo letu ndani ya nchi hii ni UDINI, na ni lazima watu walitambue hilo waziwazi. Tuache kufunika jambo lililo wazi.
Maadili ndio msingi wa Haki.
 
Maadili ndio msingi wa Haki.
Yale "maadili" ya inayoitwa Tume Huru ndiyo HAKI?
CCM wanapenda sana kuhadaa watu kwa kutumia maneno wasiyo yaamini wakidhani watu ni wapumbavu?
Chukulia zile 4R; hebu nieleze hayo ma-4R maana yake ni nini wakati matendo ni mbali kabisa na huo ulaghai wa wazi!
 
Ndio maana nakuambia kuwa maadili ndio muhimu zaidi kwakuwa matendo ndio kila kitu.
 
Maadili ya mdomoni (ya maigizo) yanafaida gani?
Hata hao vijana/watoto unaotaka wawe na maadili wataona uigizaji unaofanyika; na wao watatumia maadili feki hivyo hivyo! Hali ya namna hiyo ndani ya nchi itamsaidia nani
 
Back
Top Bottom