DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
Waoslamu ni uzao na ukoo wa mkwawa wa baadaye, yeye chifu hakuwa na dini ya kigeniAcha kushabikia ujinga mkwawa hakuwahi kuwa muislamu, hapo kuna watu wanavutia nyama kwao kutokana na historia ya huyo mwamba, ALIPOPITA mwarabu panajulikana