Waislamu wamshambulia Salah baada ya kuposti picha ya Krismas

Waislamu wamshambulia Salah baada ya kuposti picha ya Krismas

Kuna dini isiyo na makatazo?
Hakuna ila ninayofuata ni yale yenye madhara kwangu na kwa jamii yangu, niambie madhara ya kula kitimoto aliyepimwa na daktari wa mifugo na akatoa go ahead aliwe huyu ni salama.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Jinsi utandawazi unavyozidi watu wakawa na uwezo wa kutumia UBONGO wao na kuishia na watu wa mataifa,tofauti, tamaduni tofauti na dini tofauti na ile tuliofundishwa kwa kukaririshwa kwa viboko tuliwa wadogo na kuaminishwa kwamba wenye Imani tofauti na sisi ni watu wa ajabu,wa hatari na wasiotenda mema wao ni kusubiri kuunguzwa motoni tuu. Tunapokuja kwenye maisha ya kawaida ya kujichanganya tunagundua tulidanganywa wao wanaheshimu Imani yetu, wanaovaa kama sisi wakati tukisherekea , kuchinja wanatuita, tuliwa na shida wanakuchukulia kama binaadamu wenzao bila kuweka kipengele kuwa amenisaidia kwa sababu ni mwanadini mwenzangu, hawahubiri chuki za kuieneza dini kwa upanga, wanapokuwa na sherehe zao lazima tupnyeshe heshima kama wafanyavyo wao kwetu. Hilo ni tendo la jamii ya kiungwana na kistaarabu na haimaanishi kuwa nimeikana Imani yangu
 
Hakuna ila ninayofuata ni yale yenye madhara kwangu na kwa jamii yangu, niambie madhara ya kula kitimoto aliyepimwa na daktari wa mifugo na akatoa go ahead aliwe huyu ni salama.
dini ni kufata maelekezo ya dini, maana kwa swali lako nadhani swali linalofata itakua " kuzini nje ya ndoa tukiwa tumepima na tuna afya njema kuna tatizo gani"

Its either wewe ni muumini or sio muumini. Sidhani kama kuna inbetween kwenye imani
 
Achana na huko tubakie kwenye mdudu ndg, mmeiga hata kukaa chini kama banio.
 
dini ni kufata maelekezo ya dini, maana kwa swali lako nadhani swali linalofata itakua " kuzini nje ya ndoa tukiwa tumepima na tuna afya njema kuna tatizo gani"

Its either wewe ni muumini or sio muumini. Sidhani kama kuna inbetween kwenye imani
Kuzini nje ya ndoa ni kinyume, kwani kuna makubaliano ya watu wawili wenye hisia! Inapotokea ukafanya jambo lolote linaloathiri mtu mwingine kwa hasi, sio sawa.
 
Kuzini nje ya ndoa ni kinyume, kwani kuna makubaliano ya watu wawili wenye hisia! Inapotokea ukafanya jambo lolote linaloathiri mtu mwingine kwa hasi, sio sawa.
Maelezo haya yanajibu swali lako la mdudu, unavokua muumini wa dini fulani unakubalina na yaliyomo
 
dini ni kufata maelekezo ya dini, maana kwa swali lako nadhani swali linalofata itakua " kuzini nje ya ndoa tukiwa tumepima na tuna afya njema kuna tatizo gani"

Its either wewe ni muumini or sio muumini. Sidhani kama kuna inbetween kwenye imani
Mfano we uko single ukakutana na yeye yuko single, mkakubaliana mkazagamuane kuna tatizo hapo?😂, halafu anakuja mwitaliano kutoka Itali akakwambia achia hiyo mbususu,usile, kweli?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Mfano we uko single ukakutana na yeye yuko single, mkakubaliana mkazagamuane kuna tatizo hapo?😂, halafu anakuja mwitaliano kutoka Itali akakwambia achia hiyo mbususu,usile, kweli?
Hapo ni mawili sasa ukubaliane na muitaliano au usikubaliane nae, hakuna kukaa katikati
 
Mzuka wanajamvi!

Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa Christmas na kuwatakia heri ya Krismas kila mtu.

Baada ya kuposti yaliyofuata ni mfululizo wa mashambulizi kutoka kwa waislam ambao hawakuridhishwa na kukasirishwa na Salah.

View attachment 3185476
Islam belief (not Muslims), is a stain in humanity,, ni janga,ni kama ugonjwa wa akili, yakipigwa kwao, na watawala wao, sylia, Iraq, Egypt, yanakimbilia ulaya
 
Islam belief (not Muslims), is a stain in humanity,, ni janga,ni kama ugonjwa wa akili, yakipigwa kwao, na watawala wao, sylia, Iraq, Egypt, yanakimbilia ulaya
MBona wakiwa wanagawa maji hamseni maji ya cancer?
 
Muslims do not traditionally celebrate Christmas but some do partake in the festivities that take place during the Christian holiday.

'You let me down bro,' wrote one user on Instagram, where Salah shared the post to his 63.7million followers.

'Delete this right now,' posted another, while a third wrote: 'At this point am just disappointed in you bro.'

Mbona waislam 9 kwenye hii Christmas jana wamekuja kwangu na wakristo kibao kula Christmas, nadhani hao waislam sio wa Tanzania, hapa Tz ikifika Eid tunakula pamoja na ikifika Christmas au Pasaka tunakula na kusherehekea pamoja, hao wengine watakuwa waislam wa Afghanistan au Pakistan huko
 
Kwenye mambo kama hayo ndio utaona watoto wa mnyaazi mungu walivyo watupu kwenye vichwa vyao
 
Sio itikadi kali bali ni mafundisho ya uislamu, hairuhusiwa kula chakula kilichoandaliwa kwaajili ya sikukuu zisizokuwa za kiislamu, na hata zinazosemwa za kiislamu kama maulid ni haramu kula chakula hicho, isipokuwa eid mbili ya fitr na ya kuchinja.

Ama khitma, arobaini n.k ni haramu kula.

Ndio nilikuwa namuambia
 
Mtu yupo Kizuiani anamshambulia mwenzie aliepo London.
 
Hiyo mbona ndio kawaida ya Salah? Mwenyewe naona ameshaona ni sehemu yake ya kupatia kick.
Kila mwaka lazima 'achokoze' Waarabu wenzie.
Awachokoze au hao waarabu wenzake ndiyo wanamchokoza yeye?
 
Back
Top Bottom