Unachofanya hapa ni kutetea imani yako uliyo aminishwa na kupumbazwa.Yesu ndie njia ya ukweli na uzima , huwezi kwenda kwa Baba pasi na kupitia kwa yeye;
hivyo kuwa na upendo kwa wengine, kutenda mema, kusamehe wanaowakosea na kulishika neno lake ambalo ni Biblia huku ukimtukuza na kumuabudu Mungu wa kweli basi lipo tumaini kuu baada ya maisha haya ya duniani.
Neno la Mungu siyo Biblia.Yesu ndie njia ya ukweli na uzima , huwezi kwenda kwa Baba pasi na kupitia kwa yeye;
hivyo kuwa na upendo kwa wengine, kutenda mema, kusamehe wanaowakosea na kulishika neno lake ambalo ni Biblia huku ukimtukuza na kumuabudu Mungu wa kweli basi lipo tumaini kuu baada ya maisha haya ya duniani.
Ni kweli Njia ni Kristo lakini Kristo hapatikani kwenye Biblia pekee, Kristo yupo kila mahala hata wale wanaojulikana kama wapagani huko pia kuna KristoYOHANA 14:6
Hii ina maliza mchezo wote
Kwa ushahidi upi mtumish?Ni kweli Njia ni Kristo lakini Kristo hapatikani kwenye Biblia pekee, Kristo yupo kila mahala hata wale wanaojulikana kama wapagani huko pia kuna Kristo