S Sirlama JF-Expert Member Joined Oct 6, 2024 Posts 330 Reaction score 578 Apr 4, 2025 #101 Hata kwa kutumia akili ya kawaida tu mtu ambaye anafuata nyayo za Yesu yaani kuishi maisha kama ya Yesu hapa duniani na mtu anayefuata nyayo za Mohammed yaani kuishi kama Mohammad nani unaona kuna green light ya kwenda mbiguni.
Hata kwa kutumia akili ya kawaida tu mtu ambaye anafuata nyayo za Yesu yaani kuishi maisha kama ya Yesu hapa duniani na mtu anayefuata nyayo za Mohammed yaani kuishi kama Mohammad nani unaona kuna green light ya kwenda mbiguni.
S Sirlama JF-Expert Member Joined Oct 6, 2024 Posts 330 Reaction score 578 Apr 4, 2025 #102 toughlendon_1 said: Biblia ni kitabu kilitungwa na kina Lukas na mathayo kuwarubuni watu weusi wazee tumieni akili basi Click to expand... bibilia ndio kitabu chenye puumzi ya Mungu na ndio maana hata , watu wafanyaje ,kina simama chenyewe kujitetea .
toughlendon_1 said: Biblia ni kitabu kilitungwa na kina Lukas na mathayo kuwarubuni watu weusi wazee tumieni akili basi Click to expand... bibilia ndio kitabu chenye puumzi ya Mungu na ndio maana hata , watu wafanyaje ,kina simama chenyewe kujitetea .
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 5,168 Reaction score 8,982 Jun 3, 2025 #103 Codehood said: Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa. Click to expand... nawew unasemaje kiongozi?
Codehood said: Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa. Click to expand... nawew unasemaje kiongozi?