Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata kuwatawala, maana pia wanasema atatawala binadamu kwa haki.

Mara wanasema ataua nguruwe na pesa zitakua nyingi kiasi cha watu kutozihitaji.......
Halafu huwa wanamuita mwana wa Mariam, ndiye pekee kwenye vitabu vyote husemwa kama mwana wa mama yake, wengine wote hutajwa kwa baba zao.

Nimeweka chanzo hapa kabla hamjaanza kutukana
====================================

Sahih Bukhari 4:55:657
Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika (Yesu,) mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki (kama Mtawala wa Haki); atavunja msalaba na kuua nguruwe, na hakutakuwa na Jizya (yaani, kodi inayotozwa kutoka kwa wasio Waislamu). Pesa zitakuwa tele kiasi kwamba hakuna mtu atakayezikubali, na kusujudu mara moja kwa Allah (katika sala) kutakuwa bora kuliko dunia nzima na vyote vilivyomo ndani yake."

Sahih Bukhari 4:55:657
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler); he will break the Cross and kill the pigs and there will be no Jizya (i.e. taxation taken from non Muslims). Money will be in abundance so that nobody will accept it, and a single prostration to Allah (in prayer) will be better than the whole world and whatever is in it."
 
Soma uelewe kwanza ,hakuna yesu kwenye uislamu ...Nabii issah ndiye atarudi kwa ajili ya Manaswara( walimuita Mungu wakati yeye ni nabii ?

Kupambana na Masih Dajjal sio kuhukumu ulimwengu 🤣
 
Haya hata huyo issa mwana wa mariamu mnasema atakuja kuhukumu binadamu, na kutawala dunia, kwa mamlaka yapi nabii awe na uwezo wa kuhukumu mabilioni ya watu duniani.
 
Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata kuwatawala, maana pia wanasema atatawala binadamu kwa haki.

Mara wanasema ataua nguruwe na pesa zitakua nyingi kiasi cha watu kutozihitaji.......
Halafu huwa wanamuita mwana wa Mariam, ndiye pekee kwenye vitabu vyote husemwa kama mwana wa mama yake, wengine wote hutajwa kwa baba zao.

Nimeweka chanzo hapa kabla hamjaanza kutukana
====================================

Sahih Bukhari 4:55:657
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler); he will break the Cross and kill the pigs and there will be no Jizya (i.e. taxation taken from non Muslims). Money will be in abundance so that nobody will accept it, and a single prostration to Allah (in prayer) will be better than the whole world and whatever is in it."
Waislamu wamekaririshwa tu. Wangekuwa huru kifikra na kufanya utafiti wangegundua kuwa Qurani ni kitabu feki kilichojumuisha maandiko yavkwenye Biblia, desturi za waarabu na aya za kishetani.
 
Haya hata huyo issa mwana wa mariamu mnasema atakuja kuhukumu binadamu, na kutawala dunia, kwa mamlaka yapi nabii awe na uwezo wa kuhukumu mabilioni ya watu duniani.
Uliambiwa kutoa hudumu kwa watu wote ,hapo unaongelea ishu ya Masih Dajjal
 
Waislam hawamtambui mtu anaeitwa Yesu, wala hakuna kiumbe anaeweza kuja kutoa hukumu kwa binadamu, hiyo ni imani yako binafsi.

Hawana Yesu sawa, nimekuletea andiko lenu la kuhusu huyo issa ambalo linasema "will judge mankind justly", kwamba atahukumu binadamu kwa haki, sasa atafanya yote hayo kivipi akiwa kama nani.....
 
Uliambiwa kutoa hudumu kwa watu wote ,hapo unaongelea ishu ya Masih Dajjal

Huyo atatoa hukumu kwa watu wote kama nani maana mnaamini nabii issa alikua mwanadamu wa kawaida, unapoongea kuhusu binadamu ujue sasa hivi tuko nafikiri bilioni saba, na waliokufa mpaka leo hii ni matrilioni ya watu, na wale bado hawajazaliwa yaani mpaka huyo nabii wenu anakuja kuhukumu kutakua na matrilioni ya nafsi, atawahuku wote hao kama nani kwa mamlaka gani wakati yeye ni mwanadamu tu.....
Andiko lenu linasema "will judge mankind justly"
 
Back
Top Bottom