Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

Soma uelewe kwanza ,hakuna yesu kwenye uislamu ...Nabii issah ndiye atarudi kwa ajili ya Manaswara( walimuita Mungu wakati yeye ni nabii ?

Kupambana na Masih Dajjal sio kuhukumu ulimwengu 🤣
Hatua muhimu hii. Kwa hiyo Yesu na Isa AS ni watu wawili tofauti siyo?
 
Atakapokuja Issa bin Maryam,atakuja na dini sahihi duniani,ndio ataondoa utata uliopo wa hizi dini nyingi kama utitiri,kitendo hicho kinatafsiriwa kama hukumu ambapo si kweli.
Duh kwa hiyo kwa Uislam itakuaje sasa? Maana tunambiwa kila siku kuwa ni dini ya haki na sahihi ya Allah?
 
Hicho kingereza chako hakijaandikwa hivyo kwenye quruan soma quruan yenyewe acha kukurupuka.

Wewe leta kwa kiarabu chenu kama kama haiajtaja kwamba atahukumu kwa haki na kutawala.....huyo nabii ana nguvu gani hizo.
 
Huyo atatoa hukumu kwa watu wote kama nani maana mnaamini nabii issa alikua mwanadamu wa kawaida, unapoongea kuhusu binadamu ujue sasa hivi tuko nafikiri bilioni saba, na waliokufa mpaka leo hii ni matrilioni ya watu, na wale bado hawajazaliwa yaani mpaka huyo nabii wenu anakuja kuhukumu kutakua na matrilioni ya nafsi, atawahuku wote hao kama nani kwa mamlaka gani wakati yeye ni mwanadamu tu.....
Andiko lenu linasema "will judge mankind justly"
Wapi onesha kwenye Qur an , kutokana na mapokeo ya Qur an ni kwamba issah atadili na wale waliomuita Yeye ni Mungu ...Vile vile kwa upande wa kuja Masih Dajjal utawala wake utakuja kuondoshwa anaporejea issah(S.a.w)
 
Nafuata mlengo wa Quran ilivyosema
Sasa angalia kipindi Qur an inashushwq na somq kila Ayah : je, ilikuwa ni kipind gani ? Hapo utapata .

Ilikataza watu wasiwafanye marafiki hao mayahudi na Manasara kutokana na hostility ya miaka ile walikuwa na nia ya kuwamaliza waislamu wote ...Leo hii mna hana time na weqe then unajishtukia sio sawa.

Hizo hostility zilienda mpaka wakaingia mkataba wa amani maana kila siku ni vita ....Soma Tarekhe ujue kila tukio na implications zake .
 
Wapi onesha kwenye Qur an , kutokana na mapokeo ya Qur an ni kwamba issah atadili na wale waliomuita Yeye ni Mungu ...Vile vile kwa upande wa kuja Masih Dajjal utawala wake utakuja kuondoshwa anaporejea issah(S.a.w)

Nini maana ya hii "will judge mankind justly", atahukumu binadamu kwa haki, akiwa kama nani na kwa mamlaka yapi.
Nabii issa wenu huyo huwa mnasema hana uungu wowote, hivyo hata nikitaka niamini mnavyosema atadili na watu wanaompa uungu, ikumbukwe ni matrilioni ya watu ukizingatia waliokufa hadi leo na mabilioni ya waliopo leo na watakaokufa kabla hajaja, atakua na uwezo gani huo bila uungu wa kudili na wote hao.
 
Nabii issah(S.a.w) sio Mungu ,Mungu kuzaa wala hakuzaliwa ...Issah sah(S.a.w) alitumwa kwa wanaisrael sio dunia nzima .
 
Nabii issah(S.a.w) sio Mungu ,Mungu kuzaa wala hakuzaliwa ...Issah sah(S.a.w) alitumwa kwa wanaisrael sio dunia nzima .

Sawa hana uungu, basi niambie atahukumuje matrilioni ya watu huyo nabii binadamu, kwa mamlaka gani..... "will judge mankind justly"
 
Sawa hana uungu, basi niambie atahukumuje matrilioni ya watu huyo nabii binadamu, kwa mamlaka gani..... "will judge mankind justly"
Huu mfumo wako wa kukabia juu sana hakikisha hupotezi momentum vinginevyo itapigwa kaunta hapa utaokota kunyavu. 🤣🤣
 
Huu mfumo wako wa kukabia juu sana hakikisha hupotezi momentum vinginevyo itapigwa kaunta hapa utaokota kunyavu. 🤣🤣

Ndio umesema nini, jibu hoja kwa hoja, nawauliza tena huyo nabii mnasema ni binadamu wa kawaida hana uungu wowote ila mnasema atahuku binadamu kwa haki, tena mumeandika kabisa kwenye maandiko yenu, kwa maelfu ya miaka mpaka sasa dunia imepia matrilioni ya watu, hawa wote atawahukumu vipi wakati yeye ni binadamu tu.
 
Sawa hana uungu, basi niambie atahukumuje matrilioni ya watu huyo nabii binadamu, kwa mamlaka gani..... "will judge mankind justly"
🤣🤣Wewe umeitoa wapi ,wakati inaelezwa itakuwa ni nyakati za Massh Dajjal ,basi akija ataleta usawa na haki ...

Jiulize kwa nn atarudi tena? Kiufupi katika uislamu Issah bina Maryam hakumaliza mafundisho yake ,alipaishwa katika kile kisa cha kutafuta ili kusulubiwa ...Sasa atarudi tena na pia ataongoza kwa kufuata Qur an ...Anayekumu ni Mungu pekee sio Mtume wala Nabii.
 
Isome Sahih Bukhari 4:55:657 humo utakuta nilikoitoa...

Haya twende na maneno yako ya "ataleta usawa na haki", dunia hii ina mabilioni ya watu, huyo mtu ni nabii hana uungu au nguvu zozote, kwa mamlaka gani binadamu ataleta usawa na haki kwa mabilioni ya watu.
 
Back
Top Bottom