Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

Akili yangu inanitatiza kumtafuta Mungu
Halafu kuna mipumbavu na mifyongo brain kila siku inashupaza shingo kuwa huko mashariki ya kati kulikuwepo binadamu mmoja wa kusadikika kwenye ngano zao za kale ya kuwa ndio Mungu.....
 
Atakapokuja Issa bin Maryam,atakuja na dini sahihi duniani,ndio ataondoa utata uliopo wa hizi dini nyingi kama utitiri,kitendo hicho kinatafsiriwa kama hukumu ambapo si kweli.
dini ni nyingi kwasababu ya maslahi
 
Kwa mujibu wa Uislamu, Yesu (‘Isa bin Maryam) si Mungu, bali ni Nabii na Mtume wa Allah aliyeumbwa kama wanadamu wengine. Qur’an inasema kuwa mfano wa Yesu ni kama wa Adam, ambaye aliumbwa bila baba na mama, hivyo kutokuwa na baba hakuthibitishi uungu wake (Qur’an 3:59). Ikiwa Yesu angekuwa Mungu kwa sababu hakuwa na baba, basi Adam angepaswa kuwa na uungu mkubwa zaidi, jambo ambalo halipo.
Hadithi inayozungumzia kurudi kwa Yesu inaeleza kuwa atakuwa hakimu wa haki (just ruler), lakini hukumu yake haitakuwa ya wanadamu wote wa historia, bali wale waliopo wakati huo. Qur’an inasisitiza kuwa hukumu kuu ni ya Allah pekee (Qur’an 12:40), hivyo Yesu atatekeleza sheria za Uislamu, si kutoa hukumu ya Kiyama. Aidha, kuvunja msalaba na kuua nguruwe ni hatua za kurekebisha itikadi potofu kuhusu yeye, kwani Wakristo wanamwabudu kupitia msalaba, na nguruwe ni ishara ya mabadiliko yasiyo ya kisheria katika dini yao.
 
Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata kuwatawala, maana pia wanasema atatawala binadamu kwa haki.

Mara wanasema ataua nguruwe na pesa zitakua nyingi kiasi cha watu kutozihitaji.......
Halafu huwa wanamuita mwana wa Mariam, ndiye pekee kwenye vitabu vyote husemwa kama mwana wa mama yake, wengine wote hutajwa kwa baba zao.

Nimeweka chanzo hapa kabla hamjaanza kutukana
====================================

Sahih Bukhari 4:55:657
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler); he will break the Cross and kill the pigs and there will be no Jizya (i.e. taxation taken from non Muslims). Money will be in abundance so that nobody will accept it, and a single prostration to Allah (in prayer) will be better than the whole world and whatever is in it."
Tatiza la hadithi za kuokoteza; Hizo Hadithi by sahih Bukhari, nakala ya zamani kabisa liyopo ni ya 1400 AD, yeye mwenyewe inasemekana aliishi miaka 200 baada ya mohamad kufa. Quran na Sunnah za mohamad ni vituko tupu.
haya hapa Rob Christian anathibitisha kuwa Allah anaswali
 
View attachment 3287851
Zaburi 90:17
"Na neema ya Bwana Mungu wetu iwe juu yetu, na mikono ya kazi zetu uweke, ndiyo, mikono ya kazi zetu uweke."

Kwa hiyo na hapo vipi ,Mungu anasali au?
 
Biblia na Quran ni vitabu viwili tofauri kabisa kimantiki, muktadha, na kimaudhui.

Ijapokuwa wanazuoni wengi wenye kuiamini Quran wana madai ya kuvitambua vitabu vya Torati ya Musa, Zaburi, pamoja na Injili, lakini bado wameshindwa kuoanisha ukweli kamili uliopo katika vitabu hivyo.

Kwa mtu yeyote yule mwenye kuamini, anatambua Mungu Muumba si kigeugeu kama mwanadamu mpaka abadili msimamo na nia yake kwa kile kiahidi, alichokisema ama kukiamua (Rejea 1 Samweli 15:29 ama Malaki 3:5).

Ukichunguza simulizi za vitabu vya Torati, Zaburi, Injili katika Biblia, vyote haviitambui Uislamu kama imani ya kweli yenye kumpeleka mwanadamu katika uzima wa milele. Bali mafundisho ya Quran huonekana kama mojawapo ya mafundisho ya kipagani yenye kuambatana na mauti na kuzimu.

Mafundisho ya Kibiblia yalikuwepo toka karne ya kwanza. Sasa Muhamadi anatokea karne ya saba akiwa na ujumbe wenye kukinzana kabisa na ule uliotangulia kuhusiana na vitabu vilevile vya Torati, Zaburi, na Injili. Anamtambulisha mungu mwingine mpya aliyetufunulia imani nyingine mpya akiiitwa kwa jina la Allah.

Kama vile Mungu wa kweli aishivyo kamwe hawezi kuwa kigeugeu mpaka abadili nia yake juu ahadi yake ya ukombozi kupitia kwa Ibrahimu. Imani ya kweli ni sharti itoke kwa mzao wa ahadi wa Ibrahimu, naye ndiye Bwana Yesu Kristo. Sasa haya mafunuo ya Uislamu kupitia Mohamadi sijui yanabeba ajenda gani! ya kiroho?
Pasipo kupindisha maneno mpinga Kristo ajaye atakuwa Khalifa wa mwisho Kiislamu akija kwa jina la Mahdi ambaye atalkuja kulazimisha Uislamu kuwa dini kuu pekee ya kiulimwengu. Atafanya agano na Wayahudi la muda wa miaka 7, lakini itakapofika nusu ya muda huo atalivunja agano hilo na atajitangaza kuwa yeye ni mungu na kumtaka kila mtu duniani amuabudu.

Chapa ya 666 ya mnyama ni hesabu iliyopo kwa jina la Allah. Mpango mpya wa dunia, New World Orders, ni yamkinini kutokea hivi tu punde. Mpango kabambe utakuja na ahadi kemkem za ustawi wa kimwili wa mambo ya kibinadamu, lakini kiroho ni anguko kuu la kifo na kuzimu.

Trump kalianzisha dude, ni lazima viongozi wa dunia watakuja kutii, ndipo afunuliwe mtu huyu mkuu wa kuasi. Ukiiona agano lenye kuleta ujenzi wa Hekalu la Tatu la Kiyahudi, basi tambua muda umekwisha. Na mtu huyu mkuu atakaye fanikisha amani ya kudumu kati ya Israel na mataifa ya Kiaarabu, basi tambua ndiye Mahdi.
 
Pasipo kupindisha maneno mpinga Kristo ajaye atakuwa Khalifa wa mwisho Kiislamu akija kwa jina la Mahdi ambaye atalkuja kulazimisha Uislamu kuwa dini kuu pekee ya kiulimwengu. Atafanya agano na Wayahudi la muda wa miaka 7, lakini itakapofika nusu ya muda huo atalivunja agano hilo na atajitangaza kuwa yeye ni mungu na kumtaka kila mtu duniani amuabudu.
Thibitisha.
 
🤣🤣Kwani huoni hapa ni kwa ajili ya wale waliomuita Mungu (Manaswara) ambao wanatumia misalaba na kula Nguruwe ...Sio waislamu wala watu wote ,atakuja kwa wale waliokuwa wanamuita yeye ni Mungu na Masih Dajjal .

Maneno yametumika mepesi sana tu "atawahukumu wanadamu kwa haki".....mnayakwepa ila aawa niendane maneno yako unavyotaka iwe, haya hao wanaomuona ana uungu ni mabilioni ya watu duniani kote, na zaidi ya elfu ya miaka imepita tangu aondoke hiyo ina maana matrilioni ya watu wameshakufa, atawahukumuje hao watu wote kwa uwezo upi ukizingatia kwa imani yenu ni nabii tu.
 
Kwa mujibu wa Uislamu, Yesu (‘Isa bin Maryam) si Mungu, bali ni Nabii na Mtume wa Allah aliyeumbwa kama wanadamu wengine. Qur’an inasema kuwa mfano wa Yesu ni kama wa Adam, ambaye aliumbwa bila baba na mama, hivyo kutokuwa na baba hakuthibitishi uungu wake (Qur’an 3:59). Ikiwa Yesu angekuwa Mungu kwa sababu hakuwa na baba, basi Adam angepaswa kuwa na uungu mkubwa zaidi, jambo ambalo halipo.
Hadithi inayozungumzia kurudi kwa Yesu inaeleza kuwa atakuwa hakimu wa haki (just ruler), lakini hukumu yake haitakuwa ya wanadamu wote wa historia, bali wale waliopo wakati huo. Qur’an inasisitiza kuwa hukumu kuu ni ya Allah pekee (Qur’an 12:40), hivyo Yesu atatekeleza sheria za Uislamu, si kutoa hukumu ya Kiyama. Aidha, kuvunja msalaba na kuua nguruwe ni hatua za kurekebisha itikadi potofu kuhusu yeye, kwani Wakristo wanamwabudu kupitia msalaba, na nguruwe ni ishara ya mabadiliko yasiyo ya kisheria katika dini yao.

Haya niende na maneno yako maana mnakimbia andiko lenyewe na kujiwekea ya kwenu, maneno yako yanasema hukumu yake itakua kwa waliopo kwa wakati huo, tuseme ndio amerudi leo, tupo bilioni saba duniani, ukizingatia na ukubwa wa dunia hii, binadamu huyo nabii atakua na uwezo gani kukatiza kote akihukumu hawa mabilioni ya watu.
 
Maneno yametumika mepesi sana tu "atawahukumu wanadamu kwa haki".....mnayakwepa ila aawa niendane maneno yako unavyotaka iwe, haya hao wanaomuona ana uungu ni mabilioni ya watu duniani kote, na zaidi ya elfu ya miaka imepita tangu aondoke hiyo ina maana matrilioni ya watu wameshakufa, atawahukumuje hao watu wote kwa uwezo upi ukizingatia kwa imani yenu ni nabii tu.
🤣🤣🤣Anawahukumu Manaswara ,huu ni ummah wake waliokuja kudanganywa yeye ni Mungu na wala hakuna sehemu kasema yeye ni Mungu...Siku ya mwisho atakuja duniani

Hukumu ya kuleta usawa na kupambana na Masih Dajjal ,huku Mbinguni kuna hukumu ya Mungu.
 
Maneno yametumika mepesi sana tu "atawahukumu wanadamu kwa haki".....mnayakwepa ila aawa niendane maneno yako unavyotaka iwe, haya hao wanaomuona ana uungu ni mabilioni ya watu duniani kote, na zaidi ya elfu ya miaka imepita tangu aondoke hiyo ina maana matrilioni ya watu wameshakufa, atawahukumuje hao watu wote kwa uwezo upi ukizingatia kwa imani yenu ni nabii tu.
Hatowahukumu watu waliokufa bali atawahukumu watu watakaokuwepo kipindi hicho kwa kufuata sheria ya Qur’an na Sunnah.
 
Haya niende na maneno yako maana mnakimbia andiko lenyewe na kujiwekea ya kwenu, maneno yako yanasema hukumu yake itakua kwa waliopo kwa wakati huo, tuseme ndio amerudi leo, tupo bilioni saba duniani, ukizingatia na ukubwa wa dunia hii, binadamu huyo nabii atakua na uwezo gani kukatiza kote akihukumu hawa mabilioni ya watu.
Kwani hakimu huzunguka ili kuhukumu watu au husubiri kesi zifike ili ahukumu?
 
Zaburi 90:17
"Na neema ya Bwana Mungu wetu iwe juu yetu, na mikono ya kazi zetu uweke, ndiyo, mikono ya kazi zetu uweke."

Kwa hiyo na hapo vipi ,Mungu anasali au?
Wewe kazi kweli, unashindwa kujua kuwa Biblia Mungu aliiandikaje? Nyinyi kitabu chenu mnadai Mungu alikishusha moja kwa moja kupitia Jibril. Hapo Mandishi wa Hyo Zaburi (Moses) ndiye anayesema maneno hayo.
 
Thibitisha.
Kama ilivyokuwa kushindwa kwa League of Nations kuipisha United Nations (UN), ndivyo ambavyo UN itaipisha New World Order (NWO).

Kesho nitakutafutia uthibitosho wa kimaandiko, hasa kutoka katika unabii ulioo katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana.

Ingawaje lugha ya kinabii ya kipicha imetumika, nikiwa kama mtumishi wa Mungu Mkuu mwenye mamlaka, kweli yote nitaiweka hadharani kupitia ukweli uliotolewa kimaandiko.
 
Sawa nasubiri.
 
Sawa nasubiri.
Ujio wa Mahdi unaonekana katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana Sura ya Sita akifunuliwa kama mpanda farasi mwenye rangi nne tofauti.

Anapata kibali kupitia mamlaka ya mbinguni, na katika mwanzo wa miaka saba ya uasi wake anaonekana kama mpanda farasi asiyekuwa na jina akipewa kibali cha kukubalika mbele ya jamii zote duniani akiwa na rangi nyeupe, hapo tunaona anakuja akiwa na mpango kabambe wa kijamii na kiutamaduni wenye kukubalika mbele ya wakuu wote wa dunia, ili kuifanya dunia sehemu bora kabisa ya kuishi.

Baada ya hapo, mwaka wa pili uasi wake atatumia hila zake za kishetani kuchochea na hatimaye kuanzisha vita kuu ya tatu ya dunia, chini ya ushawishi wake wa siri hapa atazitumia nguvu za kuzimu kupunguza idadi ya watu duniani kupitia vita katika mataifa yote duniani, hapo kiunabii anageuka kuwa na rangi nyekundu.

Baada ya vita kuu ya tatu ya dunia, mwaka wa tatu wa kipindi cha ushawishi wake anapata kibali cha kuwa mkuu kiongozi mkuu wa kidunia na kushikilia mifumo yote muhimu ya kidola, kiuchumi, kifedha, kisayansi na kiteknolojia. Kiunabii tunaona hapo anageuka kuwa na rangi nyeusi.

Hatimaye ifikakapo mwaka wa tatu na nusu kuelekea wa nne, atakuwa rasmi ndiye kiongozi mkuu wa dunia hii, ataiminisha dunia akiwa sambamba na ushawishi nabii mkuu wa uongo Issa bin Maryam atokae kuzimu kuwa anastahili kuabudiwa kama Mungu. Hapa ndipo atapiga marufuku uwepo wa dini nyingine zote isipokuwa kuwepo na dini moja tu na pekee duniani ya Kiisilamu. Atakapo jitwalia mamlaka hii kuu ya kiroho mbele ya wanadamu wote duniani na kutaka kuabudiwa, hapo ndipo atageuka kuwa farasi wa rangi ya kijivujivu, yaani mchanganyiko wa rangi nyeupe, nyekundu, na nyeusi.

Kwa kuwa na rangi hii hapo ndipo jina lake halisi litadhihirika, nalo ni Mauti na Kuzimu. Farasi halisi mwenye rangi nyeupe ni utawala wa kifalme wa Kristo wa kweli, na Mpanda Farasi halisi na wa kweli ni Bwana Yesu Kristo, ukirejea katika Ufunuo 19:11-16. Kwa hiyo farasi katika lugha ya kiunabii ni utawala wa kimasihi wa kifalme duniani kote. Mpanda farasi aonekaye katika Ufunuo 6:1-8 ni utawala wa masihi wa uongo, naye ndiye Mahdi ama Mpinga Kristo.
 
Ulifahamu vipi kuwa huyo Mahdi yupo kweli na siyo character wa kubuniwa?

Pia,ulijuaje kuwa anayezungumziwa kwenye ufunuo ndiye huyo mahdi.
 
Mkuu muda si mrefu ukweli wote utakuwa hadharani.

UFUNUO 1
3 Heri yake mtu anayesoma kitabu hiki chenye maneno ya ujumbe wa kinabii; na heri yao wanaosikia na kushika yaliyoandikwa humu, maana wakati wa mambo haya umekaribia.
 
Back
Top Bottom