Lete aya sheikhSoma uelewe kwanza ,hakuna yesu kwenye uislamu ...Nabii issah ndiye atarudi kwa ajili ya Manaswara( walimuita Mungu wakati yeye ni nabii ?
Kupambana na Masih Dajjal sio kuhukumu ulimwengu 🤣
Mbona hujanijibu maswali yangu.Mkuu muda si mrefu ukweli wote utakuwa hadharani.
UFUNUO 1
3 Heri yake mtu anayesoma kitabu hiki chenye maneno ya ujumbe wa kinabii; na heri yao wanaosikia na kushika yaliyoandikwa humu, maana wakati wa mambo haya umekaribia.
Waislamu hawana YesuYesu wa waislam hakufa
Basi nisaidie mkuu Nabii Issa kwa sasa yuko wapiWaislamu hawana Yesu
Wengi tunapenda kusema " only God can judge me" au "Mungu ndio hakimu wa haki. "Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler
Husomi Quran yetu vizuri, soma Quran 43:61.Hakuna mahala pamesema atakuja kuhukumu acheni kukurupuka nadhani ulihitaji kuanzisha mjadala bubu.
Unaweza kuweka aya inayosema ulichoandika hapa.Atakapokuja Issa bin Maryam,atakuja na dini sahihi duniani,ndio ataondoa utata uliopo wa hizi dini nyingi kama utitiri,kitendo hicho kinatafsiriwa kama hukumu ambapo si kweli.
Yupo mbingu ya mbili.Basi nisaidie mkuu Nabii Issa kwa sasa yuko wapi
"Only God can judge me" husemwa na akina nani?Wengi tunapenda kusema " only God can judge me" au "Mungu ndio hakimu wa haki. "
Hapa kulingana na hiyo aya ya Quran atayekuhumu kwa haki ni Yesu, Yesu ni nani ?
Everyone loves Jesus, until you define who He is.
Na watu, kuna utata kwenye hii statement?"Only God can judge me" husemwa na akina nani?
Husomi Quran yetu vizuri, soma Quran 43:61.
Ipo kwenye maandiko gani?Na watu, kuna utata kwenye hii statement?
Soma kuanzia 43:57-61.وَإِنَّهُ لَعِلْمٌ لِّلسَّاعَةِ فَلَا تَمْتَرُنَّ بِهَا وَاتَّبِعُونِ ۚ هَـٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ﴿٦١﴾
61. Na hakika yeye (Nabiy ‘Iysaa) ni alama ya Saa.Basi musiitilie shaka, na nifuateni. Hii ndio njia iliyonyooka.
Kama si Mungu mwenye uwezo wa kuhumu, nani mwingine? Unaweza mtaja hapa.Ipo kwenye maandiko gani?
Maana kama ni kufuata misemo kuna msemo unasema "God is dead"
Kwani ni nani anapinga hili.S
Soma kuanzia 43:57-61.
وَإِنَّهُۥ لَعِلْمٌۭ لِّلسَّاعَةِ فَلَا تَمْتَرُنَّ بِهَا وَٱتَّبِعُونِ ۚ هَـٰذَا صِرَٰطٌۭ مُّسْتَقِيمٌۭ ٦١
And his ˹second˺ coming is truly a sign for the Hour. So have no doubt about it, and follow me. This is the Straight Path.
Wangapi walikuwa wanahukumu na wengine wanahukumu hata sasa?Kama si Mungu mwenye uwezo wa kuhumu, nani mwingine? Unaweza mtaja hapa.
Asante kwa kuelewa.Kwani ni nani anapinga hili
Aya ipi onesha jin Yesu kwenye Qur an nikup pesa.Lete aya sheikh
Sasa sijui hapo hoja yako ilikuwa wapi.Asante kwa kuelewa.