Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

Isome Sahih Bukhari 4:55:657 humo utakuta nilikoitoa...

Haya twende na maneno yako ya "ataleta usawa na haki", dunia hii ina mabilioni ya watu, huyo mtu ni nabii hana uungu au nguvu zozote, kwa mamlaka gani binadamu ataleta usawa na haki kwa mabilioni ya watu.
Ndiyo nini na nani aliiandika na wapi iliandikiwa?
 
Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata kuwatawala, maana pia wanasema atatawala binadamu kwa haki.

Mara wanasema ataua nguruwe na pesa zitakua nyingi kiasi cha watu kutozihitaji.......
Halafu huwa wanamuita mwana wa Mariam, ndiye pekee kwenye vitabu vyote husemwa kama mwana wa mama yake, wengine wote hutajwa kwa baba zao.

Nimeweka chanzo hapa kabla hamjaanza kutukana
====================================

Sahih Bukhari 4:55:657
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler); he will break the Cross and kill the pigs and there will be no Jizya (i.e. taxation taken from non Muslims). Money will be in abundance so that nobody will accept it, and a single prostration to Allah (in prayer) will be better than the whole world and whatever is in it."
Biblia na Quran ni vitabu viwili tofauri kabisa kimantiki, muktadha, na kimaudhui.

Ijapokuwa wanazuoni wengi wenye kuiamini Quran wana madai ya kuvitambua vitabu vya Torati ya Musa, Zaburi, pamoja na Injili, lakini bado wameshindwa kuoanisha ukweli kamili uliopo katika vitabu hivyo.

Kwa mtu yeyote yule mwenye kuamini, anatambua Mungu Muumba si kigeugeu kama mwanadamu mpaka abadili msimamo wa kile alichokisema ama kukiamua (Rejea 1 Samweli 15:29 ama Malaki 3:5).

Ukichunguza simulizi za vitabu vya Torati, Zaburi, Injili katika Biblia, vyote haviitambui Uislamu kama imani ya kweli yenye kumpeleka mwanadamu katika uzima wa milele. Bali mafundisho ya Quran huonekana kama mojawapo ya mafundisho ya kipagani yenye kuambatana na mauti na kuzimu.

Mafundisho ya Kibiblia yalikuwepo toka karne ya kwanza. Sasa Muhamadi anatokea karne ya saba akiwa na ujumbe wenye kukinzana kabisa na ule uliotangulia kuhusiana na vitabu vilevile vya Torati, Zaburi, na Injili. Anamtambulisha mungu mwingine mpya aliyetufunulia imani nyingine mpya akiiitwa kwa jina la Allah.

Kama vile Mungu wa kweli aishivyo hawezi kuwa kigeugeu mpaka abadili nia yake juu ahadi yake kwa Ibrahimu. Imani ya kweli ni sharti itoke kwa mzao wa ahadi wa Ibrahimu, naye ndiye Bwana Yesu Kristo. Sasa haya mafunuo ya Uislamu kupitia Mohamadi sijui yanabeba ajenda gani! ya kiroho?
 
Mimi ndio maana nawadharau sana Wagalatia extremists na mada zao za hovyo sababu ni watu wasio na akili hata kujadiliana nao ni shida.

Kuna tatizo gani mwanadamu kuhukumu ? mbona Hakimu mahakamani anahukumu , Mwalimu wa nidhamu shuleni anahukumu , Baba wa Familia anahukumu nk .

Shida sio kuhukumu je , anakuhumu kwa misingi ipi ? jawabu atakuja kuhukumu watu kwa kufuata kanuni na Miongozo kutoka kwa Allaah , na katika Qu'ran imetaja Manabii walipewa Amri ya kuhukumu watu kwa uadilifu sasa hapo inahusiana nini na Uungu enyi bogas Magalatia?
 
Soma uelewe kwanza ,hakuna yesu kwenye uislamu ...Nabii issah ndiye atarudi kwa ajili ya Manaswara( walimuita Mungu wakati yeye ni nabii ?

Kupambana na Masih Dajjal sio kuhukumu ulimwengu 🤣
Kama ni nabii issa ndio atarudi inakuaje waislamu wengine wanawahadaa wenzenu kuwa Issa ndio Yesu.

Au mkishashindwa hoja ndio mnamkana Yesu.

Sisi tulishawaambia yesu wa kwenye mtende sio, na allah sio Mungu ni shetani mkawa mnabisha sasa hivi ndio mnaanza kuelewa.
 
Anayekumu ni Mungu pekee sio Mtume wala Nabii.
Unabisha tena, kweli nyie tokea Mudi apandwe na maruhani amewapotosha sana.

Ebu rudie tena kuisoma hii haya kwa lugha ya kibongo.

Sahih Bukhari 4:55:657

Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika (Yesu,) mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki (kama Mtawala wa Haki); atavunja msalaba na kuua nguruwe, na hakutakuwa na Jizya (yaani, kodi inayotozwa kutoka kwa wasio Waislamu). Pesa zitakuwa tele kiasi kwamba hakuna mtu atakayezikubali, na kusujudu mara moja kwa Allah (katika sala) kutakuwa bora kuliko dunia nzima na vyote vilivyomo ndani yake."
 
Mimi ndio maana nawadharau sana Wagalatia extremists na mada zao za hovyo sababu ni watu wasio na akili hata kujadiliana nao ni shida.

Kuna tatizo gani mwanadamu kuhukumu ? mbona Hakimu mahakamani anahukumu , Mwalimu wa nidhamu shuleni anahukumu , Baba wa Familia anahukumu nk .

Shida sio kuhukumu je , anakuhumu kwa misingi ipi ? jawabu atakuja kuhukumu watu kwa kufuata kanuni na Miongozo kutoka kwa Allaah , na katika Qu'ran imetaja Manabii walipewa Amri ya kuhukumu watu kwa uadilifu sasa hapo inahusiana nini na Uungu enyi bogas Magalatia?

Hehehe usipanic sheikh jadili hoja, kutukana utatukana lakini swali linabaki pale, huwa hata mnakata watu vichwa lakini bado mnahojiwa tu.
Hakimu wa hapa duniani amepewa hayo mamlaka na katiba kwenye mahakama yake ambapo ni jengo tu ambalo labda humo kuna watu wasiozidi 100, na hutoa hukumu kwa mtu mmoja au wawili....
Huyu hakimu wenu ambaye ni nabii tu hana uungu wowote atahukumu matrilioni ya watu kwa uwezo upi huo yeye binadamu tu, atakatizaje dunia yote kwa kila nafsi na binadamu kwa matrilioni ya watu, yeye binadamu wa kawaida ambaye ni nabii tu.

Sahih Bukhari 4:55:657
Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika (Yesu,) mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki
 
Biblia na Quran ni vitabu viwili tofauri kabisa kimantiki, muktadha, na kimaudhui.

Ijapokuwa wanazuoni wengi wenye kuiamini Quran wana madai ya kuvitambua vitabu vya Torati ya Musa, Zaburi, pamoja na Injili, lakini bado wameshindwa kuoanisha ukweli kamili uliopo katika vitabu hivyo.

Kwa mtu yeyote yule mwenye kuamini, anatambua Mungu Muumba si kigeugeu kama mwanadamu mpaka abadili msimamo wa kile alichokisema ama kukiamua (Rejea 1 Samweli 15:29 ama Malaki 3:5).

Ukichunguza simulizi za vitabu vya Torati, Zaburi, Injili katika Biblia, vyote haviitambui Uislamu kama imani ya kweli yenye kumpeleka mwanadamu katika uzima wa milele. Bali mafundisho ya Quran huonekana kama mojawapo ya mafundisho ya kipagani yenye kuambatana na mauti na kuzimu.

Mafundisho ya Kibiblia yalikuwepo toka karne ya kwanza. Sasa Muhamadi anatokea karne ya saba akiwa na ujumbe wenye kukinzana kabisa na ule uliotangulia kuhusiana na vitabu vilevile vya Torati, Zaburi, na Injili. Anamtambulisha mungu mwingine mpya aliyetufunulia imani nyingine mpya akiiitwa kwa jina la Allah.

Kama vile Mungu wa kweli aishivyo hawezi kuwa kigeugeu mpaka abadili nia yake juu ahadi yake kwa Ibrahimu. Imani ya kweli ni sharti itoke kwa mzao wa ahadi wa Ibrahimu, naye ndiye Bwana Yesu Kristo. Sasa haya mafunuo ya Uislamu kupitia Mohamadi sijui yanabeba ajenda gani! ya kiroho?

Hili huwa najiuliza sana, yaani Mungu asubiri miaka 700 baada ya Yesu kuondoka, amlete mtu mwingine aje na dini mpya inayohubiri kinyume ya kila chochote kilichokua kinahubiriwa maelfu ya miaka kabla yake.

mohammed_vs_Jesus.jpg
 
Kama ni nabii issa ndio atarudi inakuaje waislamu wengine wanawahadaa wenzenu kuwa Issa ndio Yesu.

Au mkishashindwa hoja ndio mnamkana Yesu.

Sisi tulishawaambia yesu wa kwenye mtende sio, na allah sio Mungu ni shetani mkawa mnabisha sasa hivi ndio mnaanza kuelewa.
Kwa nn amemuita nabii issah ni Mungu ,nabii Issah atakuja kuishi sheria za Muhammad (P.B.U.H)

Sisi hatuwezi kujifananisha na nyie hata robo labda nyie ndiyo mna shobo.
 
Unabisha tena, kweli nyie tokea Mudi apandwe na maruhani amewapotosha sana.

Sahih Bukhari 4:55:657

Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika (Yesu,) mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki (kama Mtawala wa Haki); atavunja msalaba na kuua nguruwe, na hakutakuwa na Jizya (yaani, kodi inayotozwa kutoka kwa wasio Waislamu). Pesa zitakuwa tele kiasi kwamba hakuna mtu atakayezikubali, na kusujudu mara moja kwa Allah (katika sala) kutakuwa bora kuliko dunia nzima na vyote vilivyomo ndani yake."
hapo ni Issah katika Qur an hakuna neno Yesu kwanza ndiyo maana unatakiwa kusoma Qur an halisi .

Wakati hapo ni utawala wa kumuondoa Masih Dajjal ,kwa hiyo kuvunja misalaba atafanya mbinguni au hapa duniani?🤣🤣

Hukumu zinatolewa siku ya Mwisho na mtu akiwa kashakufa ...Issah atakuja kuleta haki duniani sio kuhukumu watu Mbinguni.
 
Twende kwa maneno yako, "ataleta haki duniani"..... yaani nabii ambaye ni binadamu tu ataleta haki duniani kwa mabilioni ya watu na ukubwa wa dunia yote hii kwa uwezo upi huo.
 
Hujui Uislamu! Au husomi Quran na Hadith za Mtume.
Nyie ndo hamjui quruan inamtaja huyo issa A.S .kitakapo simama qiyama atakuja kupambana na masih dajar (mpinga kristo). Haimweki kama mungu huyo issa isipo kuwa ni mungu amekadria hivyo.sababu kubwa huyo bwana atakuja kwa kusema yeye ni mungu wenu huyo issa ama atajifananisha naekuweni makini hiyo quruan uliyo soma irudie upya.

Nipe tafsiri ya hii "atawahukumu wanadamu kwa haki", kwa uwezo upi huo ahukumu mabilioni ya watu kwenye ukubwa wa dunia yote hii kama huyo ni nabii tu...

Sahih Bukhari 4:55:657
Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki
 
Dini yoyote inayoenezwa kwa upanga na bakora ni udikteta mtupu
A bit off topic, sipo kwenye hii mada ila kwa hii hoja yako hata Ukristo unaingia pia kama ndiyo ilikuwa point yako kuutetea.
Fuatilia Historia ni kwa jinsi gani Ukristo ulienezwa halafu linganisha na Uislamu ndo utajuwa dini gani ilimwaga damu nyingi kwa kigezo cha kutangaza neno la Mungu. Learn the History Kid
 
Twende kwa maneno yako, "ataleta haki duniani"..... yaani nabii ambaye ni binadamu tu ataleta haki duniani kwa mabilioni ya watu na ukubwa wa dunia yote hii kwa uwezo upi huo.
Katika uislamu Issah(s.a.w) hajafa atarudi kukamilisha maisha yake na kuleta haki ,kwa nn anarudi !?
Atarudi katik zama ambazo dalili zote za mwisho wa dunia utafika ,ikiwa ni pamoja na utawala wa Masih Dajjal kipindi ambacho haki hakuna ,mambo yote ya hovyo yatakuwa wazi ...Masih Dajjal yeye atajiita mtawala wa dunia na kubadilisha mifumo yote ,hapo Issah Issah(s.a.w) atakuja kupambana naye na kuleta haki.

Kumbuka Issah(s.a.w) katika uislamu hakumalisha ujumbe alioleta ndiyo maana akaja Muhamad (P.B.U.H) baada yake .
 
Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata kuwatawala, maana pia wanasema atatawala binadamu kwa haki.

Mara wanasema ataua nguruwe na pesa zitakua nyingi kiasi cha watu kutozihitaji.......
Halafu huwa wanamuita mwana wa Mariam, ndiye pekee kwenye vitabu vyote husemwa kama mwana wa mama yake, wengine wote hutajwa kwa baba zao.

Nimeweka chanzo hapa kabla hamjaanza kutukana
====================================

Sahih Bukhari 4:55:657
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler); he will break the Cross and kill the pigs and there will be no Jizya (i.e. taxation taken from non Muslims). Money will be in abundance so that nobody will accept it, and a single prostration to Allah (in prayer) will be better than the whole world and whatever is in it."

Nilikuwa nashngaa ref ulizotoa kwenye Quran 4:55 na 6:57 naona vitu tofauti kabisa kumbe wewe unareffer hadithi?
Nirudie tena, tunaomba uwe unaweka reference za Quran hadithi nyingi zimeandikwa miaka 600 baada ya kuondoka mtume Mohamad... hata hivyo zipo nyingi tu ambazo ni feki (zimechomekewa na watu wenye nia mbaya na usislam)
BINAFSI SIPOTEZI MUDA KUBISHANA NA MTU ANAYETUMIA REFERENCES ZA HADITHI....
 
A bit off topic, sipo kwenye hii mada ila kwa hii hoja yako hata Ukristo unaingia pia kama ndiyo ilikuwa point yako kuutetea.
Fuatilia Historia ni kwa jinsi gani Ukristo ulienezwa halafu linganisha na Uislamu ndo utajuwa dini gani ilimwaga damu nyingi kwa kigezo cha kutangaza neno la Mungu. Learn the History Kid

Kila gaidi wa kiislamu anapochinja watu huwa mnasema sio uislamu huo...ila muasisi wa uislamu mohammad mwenyewe alihusika kwenye ugaidi wa kuchinja Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao mateka, na akaeneza dini yake kwa amani.
Matukio ya baadhi ya Wakristo kufanya maafa, wao walifanya kwa utashi wao maana Yesu mweneywe alihubiri upendo, ila nyie hapo mohammad mwenyewe alihusika kwenye ugaidi moja kwa moja.
 
Katika uislamu Issah(s.a.w) hajafa atarudi kukamilisha maisha yake na kuleta haki ,kwa nn anarudi !?
Atarudi katik zama ambazo dalili zote za mwisho wa dunia utafika ,ikiwa ni pamoja na utawala wa Masih Dajjal kipindi ambacho haki hakuna ,mambo yote ya hovyo yatakuwa wazi ...Masih Dajjal yeye atajiita mtawala wa dunia na kubadilisha mifumo yote ,hapo Issah Issah(s.a.w) atakuja kupambana naye na kuleta haki.

Kumbuka Issah(s.a.w) katika uislamu hakumalisha ujumbe alioleta ndiyo maana akaja Muhamad (P.B.U.H) baada yake .

Leta wapi imeandikwa kuhusu hiki ulichokiandika hapa tujisomee na kujidadavulia, maana mimi nimeleta andiko lenu linasema "atawahukumu wanadamu kwa haki", hii hoja mumeshindwa kuipangua....

Sahih Bukhari 4:55:657
Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika (Yesu,) mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki (kama Mtawala wa Haki); atavunja msalaba na kuua nguruwe, na hakutakuwa na Jizya (yaani, kodi inayotozwa kutoka kwa wasio Waislamu). Pesa zitakuwa tele kiasi kwamba hakuna mtu atakayezikubali, na kusujudu mara moja kwa Allah (katika sala) kutakuwa bora kuliko dunia nzima na vyote vilivyomo ndani yake."
 
Leta wapi imeandikwa kuhusu hiki ulichokiandika hapa tujisomee na kujidadavulia, maana mimi nimeleta andiko lenu linasema "atawahukumu wanadamu kwa haki", hii hoja mumeshindwa kuipangua....

Sahih Bukhari 4:55:657
Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika (Yesu,) mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki (kama Mtawala wa Haki); atavunja msalaba na kuua nguruwe, na hakutakuwa na Jizya (yaani, kodi inayotozwa kutoka kwa wasio Waislamu). Pesa zitakuwa tele kiasi kwamba hakuna mtu atakayezikubali, na kusujudu mara moja kwa Allah (katika sala) kutakuwa bora kuliko dunia nzima na vyote vilivyomo ndani yake."
🤣🤣Kwani huoni hapa ni kwa ajili ya wale waliomuita Mungu (Manaswara) ambao wanatumia misalaba na kula Nguruwe ...Sio waislamu wala watu wote ,atakuja kwa wale waliokuwa wanamuita yeye ni Mungu na Masih Dajjal .
 
Nipe tafsiri ya hii "atawahukumu wanadamu kwa haki", kwa uwezo upi huo ahukumu mabilioni ya watu kwenye ukubwa wa dunia yote hii kama huyo ni nabii tu...

Sahih Bukhari 4:55:657
Mtume wa Allah alisema, "Naapa kwa Yule Ambaye nafsi yangu iko mikononi Mwake, hakika mwana wa Mariamu atashuka hivi karibuni miongoni mwenu na atawahukumu wanadamu kwa haki
Hiyo sahihi buhari sio quruan nikitabu tu. Kilicho aminiwa na wanazuoni kwa kuwa na mambo mengi yakuelezea sunna za Mtume. Kingine unachopaswa kufahamu ikiwa utasoma quruan utajua mwenyezi mungu atavyomuuliza huyo island. Ndo maana nasema msikurupuke jifunze kitu kwanza
 
Back
Top Bottom