Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata kuwatawala, maana pia wanasema atatawala binadamu kwa haki.
Mara wanasema ataua nguruwe na pesa zitakua nyingi kiasi cha watu kutozihitaji.......
Halafu huwa wanamuita mwana wa Mariam, ndiye pekee kwenye vitabu vyote husemwa kama mwana wa mama yake, wengine wote hutajwa kwa baba zao.
Nimeweka chanzo hapa kabla hamjaanza kutukana
====================================
Sahih Bukhari 4:55:657
Allah's Apostle said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler); he will break the Cross and kill the pigs and there will be no Jizya (i.e. taxation taken from non Muslims). Money will be in abundance so that nobody will accept it, and a single prostration to Allah (in prayer) will be better than the whole world and whatever is in it."