Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Na siku atakapoonja tuu game ovaBaadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo.
Maana katika maandiko matakatifu kutengeneza mazingira ya kujiua kwa makusudi ni Dhambi.
View attachment 3415468
Dudu baya kama hili na lililoharamishwa mtu unakula unatafuta nini huku ukiwacha kuku na mbuzi waliojaa tele duniani.Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo.
Maana katika maandiko matakatifu kutengeneza mazingira ya kujiua kwa makusudi ni Dhambi.
View attachment 3415468