Waislamu wanatubeba sana!!

Hapo kwenye ufisadi hapo! Hebu nipe list ya waliovuma kwenye ufisadi nifungue mafile yao nione ni wa dini ipi.

Kuna tatizo mahala mkuu, jaribu kuukubali ukweli japo mchungu
 
Wengi wanakusanya ila return kwa waumini ni hamna kabisa, tofauti na wenzetu nyie watu huwa mnatoa sana, na Siri kubwa ya kubarikiwa ni utoaji kwa wenye uhitaji, baraka ziko kwenye kutoa na kugusa maisha ya watu na ukifanya hivo unabarikiwa

Mama yangu huwa anatusisitiza sana kutoa sadaka
Anasema ukiwa na huzuni toa sadaka, ukiwa nazo toa na ukiwa na majonzi toa
Saidia kila wakati

Naapa juzi nilitoa sadaka kubwa na baada ya masaa matatu tu nikapata Dili la kazi ya 3m chapchap nikamshukuru Mungu sana

Kama una amini na mambo yanakunyookea
 
Mada nzuri sana but at the same time italeta shida endapo itafika mbali.

Endapo watu wataleta hard feelings kwenye hii mada italeta tabu sana, ukabila, udini, Racism ni vitu hatari..

Kilichoongeleka hapa ni ukweli kwa kiasi kikubwa.
Hapa nilipo sio kwamba nafurahia kuzaliwa mkristo wala muislam, sio kwamba napenda kuzaliwa msambaa, wala mchaga wala mmakonde.

sio kama nafurahia kuzaliwa mweupe wala mweusi, but nimezaliwa nikiwa hivi na nashindwa kutafuta ukweli wa mambo sababu sijui hatima yangu baada ya kuzaliwa na kufa ni nini, Aliyenipa uhai huu anajua nini hatma yangu hapa duniani.

Sidhani kama nitaeleweka kwa urahisi ila nikieleweka kwa baadhi nitashkuru sana.
 
Inabdi wawekwe wataalam wa nyanja nyingine pia
Wadau humu wameuchukulia uzi wake tofauti

Ova
 
Kwa hiyo tufanyeje ?
 
Mimi ni mkristo ,huu ndio ukweli..Leo hii Marais wote Wakristo wako kaburini lakini Waislam wapo sasa fuatilia tawala za kikristo utaona walivyokuwa na nongwa na Kwa hiyo wanakufa kwa sonona kutokana na matendo Yao.
Ukiwa na roho mbaya na kukosa huruma haudumu kwanza na magonjwa ya pressure, moyo lazima yakupate tu hayo hukwepi
 
Sadaka ni kugusa watu wengi ndio purpose ya life, hata waliobarikiwa wengi ni watoaji hata maandiko husisitiza kuhusu sadaka na mafungu ya kumi but wengi hupuuza, pia watu watoaji wengi huongoza kuwa na furaha na ni ngumu kuwa na depression, Mimi na kipato Cha kawaida ila hhujitahidi kutoa, the more I give the more huwa nafuraha Hadi watu hunishangaa na kuniuliza Siri ya furaha yangu. One day nilikuwa nimebakiwa na hela kidogo na sikuwa na nyingine then someone akaja kuniomba nimpe kumlipia hospital bill nikamlipia, baadae nikaja kupata hela kubwa kuliko Ile niliyotoa na milango mingine ikafunguka zaidi.
 
Hata magerezani wamejaa haohao. Vibaka, walawiti, magaidi , wahuni wa Humphrey Polepole ni hao. Wanaoongoza kufeli shule ni haohao. Wenye kubeba mimba za utotoni ni haohao..
Wachawi na wafuga majini ni haohao
 

Nyerere hatunae
Mwinyi tunae
Mkapa hatunae
Kikwete tunae
Magu hatunae
Mama tunae

Nyerere maisha magumu❌
Mwinyi maisha✅
Kikwete✅
Magu ❌japo kwa miundombinu ya mabarabara, ndege n.k alijitahidi but wanainchi ❌
Mama ye2 2muombee Mungu.
 

God bless you
Kuna watu ubahili unamfanya afe vibaya na mali yake kuisha
Ila kutoa kuna faida zake na wala asiogope mtu na kufikiri ataishiwa akitoa

Kuna sehemu nyingi za kutoa sadaka hata hospital ukienda kuna watu wana shida sana
My mother use to go every morning with breads but now she’s old she send my sister and her grandsons

Kuna jamaa yetu yeye kila mwaka anawalisha futari wanafunzi wa secondary jirani mwezi wote wa Ramadhan kwani hawana special meals for Ramadhan

Imagine wanavyomshukuru
 
Fact zipi? Majina yana uhusiano na dini? Nenda Hong Kong mfano mzuri pia nenda Uarabuni majina ya kiarabu hayana uhusiano na dini, yanatumiwa na dini zote.

Hapa ndio utagunduwa ujinga wa mtu mweusi ulipojikita.
Kwa mifano hai aliyoitoa mleta mada hapa majina yote yanauhusiano na uislamu na kila mtu anajua ni waislamu,tafuta kichochoro kingine mkuu
 
Hata dgi wa tiss wengi ni waislam 1. Imran kombe 2. Rashid othman 3.diwani msuya 4. Hassy kitine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…