Waislamu wanatubeba sana!!

Waislamu wanatubeba sana!!

They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Hata dgi wa tiss wengi ni waislam 1. Imran kombe 2. Rashid othman 3.diwani msuya 4. Hassy kitine
 
Mleta Mada, angalia sana usije ukamkasirisha MUNGU. Natumaini kuwa MUNGU ameyapuuza makufuru yako hayo. Usilete udini ndugu.
Nitakuuliza neno moja kuhusu hao watawala unaosema hawako hai. Je, Maalim Self Mungu amrehemu, alikuwa Mkristo?. Je unafahamu kuwa Maalim Seif alikuwa Icon halisi ya vyama vya upinzani?. Tena alikubalika kwa watanzania wote dini zote.
Maisha ya mtu yanaamuliwa na Muumba sio wewe wala Ibilisi . Acha kujikinai ndugu omba toba.
Haya, wanamuziki wakubebaje?. Ivi, nyimbo zinazoimbwa leo na hao uliowaorodhesha, ni mstaarabu gani atakayeangalia au kusikiliza nyimbo zilizojaa maneno machafu . Mfano, "mke wa mtu, sumu, mume wa mtu maziwa ".
Ule wimbo Nyegezi. Haya ule wimbo Sukari, unaelewa maana yake?. Hao wanakubeba wewe mwenye mtazamo huo na sio wastaarabu.
Tulio wastaarabu tunapoona michezo ya ajabu ajabu Kama Mapooka tunahamisha channel.
"Wanatubeba", watubeba kutuelekeza Shimoni.
Kalaga bahho.
Sindano ya moto hii,bila shaka dozi imemkolea vizuri.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
😀😀 Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Asante kwa uzi unaomfanya mtu afikiri baada ya kuusoma.
Kuna vitu umeandika hapo inabidi ukubaliane na UKweli ntakaokupa.
Umegusia kuhusu michezo tuanze na bwana Hashim Thabit pamoja na kuwahi kwake kucheza ligi Bora duniani ya vikapu (NBA),hajawahi kuwa successful katika ligi hiyo kama ulivyoandika, ni failure yule inabidi tuseme UKweli japo unauma,katika vipindi vya pre seasons,wakati ambapo ndo wachezaji wa NBA hujinoa kwa ajili ya kupandisha viwango vyao yeye alikuwa anarudi kijirusha kwenye manight club matokeo yake alikuwa akiporomoka kiwango kila kukicha mpaka akashushwa acheze ligi ya chini ya D-league,huwenzi kumlinganisha na wachezaji wengine walotokea Afrika na kucheza katika ligi hiyo,mfano Dikembe Mutombi,n.k.
Umeandika pia kuwa eti asilimia zaidi ya 70 ya wachezaji wa vilabu vikubwa nchini ni waislamu,wanazisaidiaje timu zao mbona timu hizo ni failures wakubwa,Wana kazi kubwa ya kununua mechi na kuhonga marefa, inapokuja suala la mashindano ya kimataifa,hata uwepo mkubwa wa waislamu katika timu za Taifa unazisaidiaje timu hizo? mbona bado ni kichwa cha mwenda wazimu?
Kuhusu wealth,bado hatuna list ya kuaminika inayoelezea utajiri wa waTanzania asilimia kubwa ya watu huficha uKweli wa mahesabu ya thamani za biashara zao,kwa hiyo hao unao waona wewe unadhani ni matajiri sana kwa kuhesabu idadi ya magari yao au nyumba zao .
Hai wanamuziki uliowataja ndiyo wanaoongoza kuomba nyimbo sizizo na maadili,nyimbo zinazoeleza kuhusu ngono na uasherati kwa ujumla nadhani kwako hiyo ni sifa.
 
Asante kwa uzi unaomfanya mtu afikiri baada ya kuusoma.
Kuna vitu umeandika hapo inabidi ukubaliane na UKweli ntakaokupa.
Umegusia kuhusu michezo tuanze na bwana Hashim Thabit pamoja na kuwahi kwake kucheza ligi Bora duniani ya vikapu (NBA),hajawahi kuwa successful katika ligi hiyo kama ulivyoandika, ni failure yule inabidi tuseme UKweli japo unauma,katika vipimdo vya pre seasons,wakati ambapo ndo wachezaji wa NBA hujinoa kwa ajili ya kupandisha viwango vyao yeye alikuwa anarudi kijirusha kwenye manight club.
Umeandika pia kuwa eti asilimia zaidi ya 70 ya wachezaji wa vilabu vikubwa nchini ni mlwaislamu,wazisaidiake timu zao mbona timu hizo ni failures wakubwa inapokuja suala mashindano ya kimataifa,hata uwepo mkubwa wa waislamu katika timu za Taifa unazisaidiaje timu hizo? mbona bado ni kichwa cha mwenda wazimu?
Kuhusu wealth,bado hatuna list ya kuaminika inayoelezea utajiri wa waTanzania asilimia kubwa ya watu huficha uKweli wa mahesabu ya thamani za biashara zao,kwa hiyo hao unao waona wewe unadhani ni matajiri sana kwa kuhesabu idadi ya magari yao au nyumba zao .
Umeandika maelezo kibao hayaeleweki!
 
Wakristo wengi wameenda sana shule ivyo kuingia kwenge entertainment world sio rahisi,waislam shule ni ndogo ivyo option kwao ni kuingia kwenye biashara na fani za burudani.

Hii ipo sana USA,blacks wengi wako kwenye fani za sanaa wakati weupe wako levels zingine kabisa eg. Elon M.
Mengine yote yanavumilika lakini sio hili la kwamba biashara wanafanya watu wasio na elimu wala akili are you nuts or braindead?
Waislamu wana elimu ndogo hivyo wanaingia kwenye biashara, biashara gani hizo?

Asilimia 100 ya mabilionea wote duniani ni wafanyabiashara wenye elimu kubwa au unadhani biashara ni kuuza nyanya tu mkuu?
Alafu seriously mkuu unamtaja elon musk kwamba ni mmoja ya walio level nyingine wakati hapohapo huyo Elon Musk ndio mfanya biashara mkubwa duniani tena alisoma kabisa economics degree two years, what the hell you're talking about?
Ana company karibu saba au unadhani kumiliki na kuendesha company sio biashara? well ni biashara vilevile hivyo Elon musk nae ana elimu ndogo?

Au unadhani unasomea economics ili ukae na makaratasi chumbani kwako mkuu na hapa napo utasema wanaosoma economics nao wana elimu ndogo?
Kipi hicho ndio elimu kubwa?

Kuna special courses kwa aajili ya business kibao Mfano (MBA).
Unadhani hizo courses ni za nini mkuu na kwanini watu wenye akili zao walikaa miaka yote hiyo mpaka kuja na courses kama hizo nao hawana akili na kukataaa shule?

Wakristo wapo vizuri kwenye elimu?
Then baada ya hapo wanaenda wapi? wanaenda kukwea miti au kuajiriwa?
Well wanaenda kuajiriwa tena na company binafsi ambazo nazo ni biashara vilevile unazosema wasiosoma wanenda kufanya.

Mimi kwa akili yangu na uwezo wangu naweza kuwa daktari kama nikihitaji lakini napenda business kupitiliza sababu najua its potential and its immense adequately level capabilities.
Na sio kama option sababu una elimu ndogo na blahblah nyingine za wenye akili fupi na wapenda kuajiriwa kama wewe mkuu.
Sipendi kabisa kusikia neno ajira au kuajiriwa na ujinga mwingine sababu sipendi kuwa chini ya mtu wala kuendeshwa na kupangiwa nini cha kufanya, bali napenda kutumia akili yangu mwenyewe kwa kufanya ambayo nayataka kupitia business.

business it's a choice na ni passion na sio option kama business ni option ya mwisho basi tambua utaishia kufa masikini kuwa muuza nyanya.
Trust me this is not my opinion it's a fact.

Mimi natetea wafanyabiashara juu ya post dhaifu kama hii yako inayodescribe business na kufafanisha kitu chenye hadhi kama business na entertainment shit, I mean seriously?

What the hell were you thinking to come up with an immense amount of bullcrap like this?
Now here's my conclusion: you must be high or incredibly stupid.
Even kwenye nchi kama Marekani kusingekuwa na uchumi mkubwa na imara bila ya biashara, ndio maana marekani wanafanya biashara hapo sijaingiza china.
Business is the way of life na wanaoongoza na kuendesha biashara ni wenye akili na ubunifu wa hali ya juu kuliko waajiriwa wanaotegemea mshahara wa bosi.

mfano nitamtaja Elon musk vilevile.
 
Nani akupige mawe? Shida ya nyie watu huwa hamjiamini na huwa mnahisi muda wote mnaonewa.
Mfano. Kwenye chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) mlijenga msikiti kwenye eneo la chuo. Chuo ikabomoa kwasababu hicho ni chuo cha kutoa elimu na siyo sehemu ya dini.
Hakuna mtu atakayekupiga mawe kwenye ukristo kwasababu ''kama wewe hauna dhambi, uwe wa kwanza kumtupia mawe mtu yule'' Tukupige mawe, kwa kumtetea mungu gani?
ukweli mtupuuuu mama Debora. ila jiandae kwa maweeee
 
Huo ulioandika ni ujinga sasa Wakristo na sisi tuanze kuorodhesha wa dini yetu tukianza na Nyerere? Tumie japo sehemu ndogo ya eneo la kisogo kufikiri
 
God bless you
Kuna watu ubahili unamfanya afe vibaya na mali yake kuisha
Ila kutoa kuna faida zake na wala asiogope mtu na kufikiri ataishiwa akitoa

Kuna sehemu nyingi za kutoa sadaka hata hospital ukienda kuna watu wana shida sana
My mother use to go every morning with breads but now she’s old she send my sister and her grandsons

Kuna jamaa yetu yeye kila mwaka anawalisha futari wanafunzi wa secondary jirani mwezi wote wa Ramadhan kwani hawana special meals for Ramadhan

Imagine wanavyomshukuru
Giving ni baraka kubwa sana maishani watu hawajui tu
 
Nani akupige mawe? Shida ya nyie watu huwa hamjiamini na huwa mnahisi muda wote mnaonewa.
Mfano. Kwenye chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) mlijenga msikiti kwenye eneo la chuo. Chuo ikabomoa kwasababu hicho ni chuo cha kutoa elimu na siyo sehemu ya dini.
Hakuna mtu atakayekupiga mawe kwenye ukristo kwasababu ''kama wewe hauna dhambi, uwe wa kwanza kumtupia mawe mtu yule'' Tukupige mawe, kwa kumtetea mungu gani?
Japo siuungimkono udini lakini hapo umeandika pumba mkuu hebu ifute tu.
UDSM uwepo wa Kanisa na Msikiti kwa maoni yako unadhani wamekosea? Mbona mambo yanakwenda vizuri tu?

Huo msikiti UDOM hao waliotaka kujenga walijichagulia tu eneo ndani ya chuo la kujenga bila kupata baraka za chuo?
 
Usafiri wa majini na nchi kavu umetawaliwa na waislamu pia,Azam marine,zanfast ferries,msisahau meli za Azam sealink bahari ya hindi na wale silent ocean
uchumi wa Tanzania unamilikiwa na watu wa Asia, na asia wengi ni musilimaa, sasa ulitegemea hivyo ulivyoorodhesha vidhoziwe na watu wa dini gani wakati wenye hela ndani ya nchi hii ni watu wa asia?.
unadhani Nyerere angeliwaacha wazungu ambao majority ni wagaratia hii mada ingelisomeka kama inavyosomeka sasa?.
🙂🙂
 
Waislam ni wanafiki nambari mpja diamond ni muislam anafunga ila ana kampuni ya kubet.kamari ni dhambi,magerezani kumejaa waislam,wasengge rema wengi waislam,wakaa uswahilini wengi waislam .wakristo higukuza mwixi kimyakimya
Private issue
 
Wazehe nawaona wamekereka kinoma haswaa,,,japo kuna baadhi sishadadii kwa maana Mwenyezi Mungu ameharamisha.
na madai ya Muhammad said kuwepo mfumo kristo Tanzania tuyapinge.

huyu mzee anaajenda zake binafsi anatumia neno mfumo kristo ilikupata upenyo wa kufanikisha hadhima yake.
 
Back
Top Bottom