Waislamu wanatubeba sana!!

Waislamu wanatubeba sana!!

Ukweli Ni kwamba Kuna watu wengi sana Wana majina yanayoendana na ya waislamu lkn watu hao sio waislamu.
Hivi unaweza kusema Naseeb nimuislamu ?
Uislam unaruhusu kufuga mbwa?
Uislam unaruhusu kuchukua mke wa mtu?
Uislam unaruhusu wizi au kutembea na kina delicious?
Uislam haukatazi kufuga mbwa, fuga kwa masharti ya dini
 
Utajiri sio haramu wala dhambi kwa uislam, labda hayo mengine
Ukiwa tajiri Maana yake ni mchoyo, umejilimbikizia mali wakati kuna watu wanateseka. Hao ndio wameweka ma trilion banki lakini siku ya ijumaa anachukua vichange vya 100 kuwagawia maskini au ananunua mikate anakuwa anatoa kipande kimoja kwa mtu mmoja. Ila Mungu huyu katuacha huru watu wanaishi kinafiki siku tukikutana naye live ndio mwisho wa unafiki wote
 
Uislam haukatazi kufuga mbwa, fuga kwa masharti ya dini
Wewe umezaliwa juzi labda hukufanikiwa kusikiliza mawaidha ya shekh hemed bin jumaa. Mimi ni mkristu ila nilikuwa nafuatilia mafundisho yake aliyokuwa anayoa kwa sauti tulivu na yenye tune nzuri sio kama wale wanaohubiri kwa sauti kali kama wanagombana. Alikuwa anasema " MTU YULE ANAYEMFUGA MBWA TENA MBWA MWEUSI TII ANAMFUGA SHETWANI NDANI YA NYUMBA
 
Shida sie wakristo ni roho mbaya na unafiki mwingi mtu ana mtaja Mungu kila saa mara Kristo Tumaini letu mdomoni ila hayaishi matendo mema ya Kristo, imagine Rais ni Mkristo watu wanaonewa hadharani, watu wanauliwa kwenye viroba wala hatoi tamko la watu na anaenda kanisani madhabahuni ana mtaja Kristo na ma padre Wana mpa ruhusa ka si kunajisi Imani nini?
Hafu ni nadra waislamu kuwa mafisadi waliokubuhu ka ni kula kila mtu ale kwa nafasi yake bila kuzuia wengine.
Dah wakristo tujitafakari matendo yetu, wenzetu waislamu ni rahisi kutoa kwa wenye uhitaji ni wakristo wangapi husaidia wenye uhitaji, tunabaki kulaumu waislamu eti Wana majini wakati Siri ni kutenda mema, kufunga mwezi mtukufu, no wonder ma Rais wa kiislamu Wana ishi mda mrefu maana hawana miroho mibaya, pia hawaweki vinyongo na kukomoana.
Duuuu!
 
Huyu ANAUMWA watu wana data za upande wa pili utakimbia ukiambiwa.Lakini kwa kuwa wewe ni mpuuzi na umefiliska kifikra kama wale wa mahakama ya kadhi na Sensa ya Mwaka 2012 kiwepo kifungu cha kuuliza dini ya Mtu.Uenda wewe ni maskini si wafikra tu bali hata kujikimu huwezi.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Kumbe anayosemaga mzee Mohamed Said kuwa waislam wanaonewa na kutengwa yote siyo sahihi.

Waislam ndio wanaokula keki ya nchi.

Labda mzee Mohamed Said anachokitafuta ni roho za watu wasiokuwa waislam ili afurahishe nafsi yake.
Ungekuwa wakiume bingesema neno, ila Kwa kuwa ni mama Debora inaeleweka naiko Waz wanawake wanapenda ushindani WA kijinga na kujilinganisha ..
 
Ndio tulipofikia??Nilidhani maendeleo ya Tanzania hayaangalii dini wala kabila kumbe i was wrong. Idle mind is the workshop of the devil.
 
Mada nzuri sana but at the same time italeta shida endapo itafika mbali.

Endapo watu wataleta hard feelings kwenye hii mada italeta tabu sana, ukabila, udini, Racism ni vitu hatari..

Kilichoongeleka hapa ni ukweli kwa kiasi kikubwa.
Hapa nilipo sio kwamba nafurahia kuzaliwa mkristo wala muislam, sio kwamba napenda kuzaliwa msambaa, wala mchaga wala mmakonde.

sio kama nafurahia kuzaliwa mweupe wala mweusi, but nimezaliwa nikiwa hivi na nashindwa kutafuta ukweli wa mambo sababu sijui hatima yangu baada ya kuzaliwa na kufa ni nini, Aliyenipa uhai huu anajua nini hatma yangu hapa duniani.

Sidhani kama nitaeleweka kwa urahisi ila nikieleweka kwa baadhi nitashkuru sana.
Ukitaka kujua umetoka wapi na unakwenda wapi soma vitabu vya dini mwenyewe, uulize tu kufafanuliwa
Achana na waumini wa kukufundisha huko barabarani wakati wenyewe peingine hawajasoma hata nusu ya hicho kitabu.
Mimi nipata Biblia na Quran nikiwa na miaka 15hivi, nilisoma na kuhudhuria matamasha na mihadhara mbalimbali kwa miaka 7 hadi nikaona Mungu yupo upande gani
 
Uliifata bible au Quran?
 
Huyu ANAUMWA watu wana data za upande wa pili utakimbia ukiambiwa.Lakini kwa kuwa wewe ni mpuuzi na umefiliska kifikra kama wale wa mahakama ya kadhi na Sensa ya Mwaka 2012 kiwepo kifungu cha kuuliza dini ya Mtu.Uenda wewe ni maskini si wafikra tu bali hata kujikimu huwezi.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Toa hizo data kama nilivotoa zangu tuone!
 
Back
Top Bottom