Waislamu wanatubeba sana!!

Uislam haukatazi kufuga mbwa, fuga kwa masharti ya dini
 
Utajiri sio haramu wala dhambi kwa uislam, labda hayo mengine
Ukiwa tajiri Maana yake ni mchoyo, umejilimbikizia mali wakati kuna watu wanateseka. Hao ndio wameweka ma trilion banki lakini siku ya ijumaa anachukua vichange vya 100 kuwagawia maskini au ananunua mikate anakuwa anatoa kipande kimoja kwa mtu mmoja. Ila Mungu huyu katuacha huru watu wanaishi kinafiki siku tukikutana naye live ndio mwisho wa unafiki wote
 
Uislam haukatazi kufuga mbwa, fuga kwa masharti ya dini
Wewe umezaliwa juzi labda hukufanikiwa kusikiliza mawaidha ya shekh hemed bin jumaa. Mimi ni mkristu ila nilikuwa nafuatilia mafundisho yake aliyokuwa anayoa kwa sauti tulivu na yenye tune nzuri sio kama wale wanaohubiri kwa sauti kali kama wanagombana. Alikuwa anasema " MTU YULE ANAYEMFUGA MBWA TENA MBWA MWEUSI TII ANAMFUGA SHETWANI NDANI YA NYUMBA
 
Duuuu!
 
Huyu ANAUMWA watu wana data za upande wa pili utakimbia ukiambiwa.Lakini kwa kuwa wewe ni mpuuzi na umefiliska kifikra kama wale wa mahakama ya kadhi na Sensa ya Mwaka 2012 kiwepo kifungu cha kuuliza dini ya Mtu.Uenda wewe ni maskini si wafikra tu bali hata kujikimu huwezi.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Kumbe anayosemaga mzee Mohamed Said kuwa waislam wanaonewa na kutengwa yote siyo sahihi.

Waislam ndio wanaokula keki ya nchi.

Labda mzee Mohamed Said anachokitafuta ni roho za watu wasiokuwa waislam ili afurahishe nafsi yake.
Ungekuwa wakiume bingesema neno, ila Kwa kuwa ni mama Debora inaeleweka naiko Waz wanawake wanapenda ushindani WA kijinga na kujilinganisha ..
 
Ndio tulipofikia??Nilidhani maendeleo ya Tanzania hayaangalii dini wala kabila kumbe i was wrong. Idle mind is the workshop of the devil.
 
Ukitaka kujua umetoka wapi na unakwenda wapi soma vitabu vya dini mwenyewe, uulize tu kufafanuliwa
Achana na waumini wa kukufundisha huko barabarani wakati wenyewe peingine hawajasoma hata nusu ya hicho kitabu.
Mimi nipata Biblia na Quran nikiwa na miaka 15hivi, nilisoma na kuhudhuria matamasha na mihadhara mbalimbali kwa miaka 7 hadi nikaona Mungu yupo upande gani
 
Uliifata bible au Quran?
 
Toa hizo data kama nilivotoa zangu tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…