Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Shida yao shule tu basi.Kumbe anayosemaga mzee Mohamed Said kuwa waislam wanaonewa na kutengwa yote siyo sahihi.
Waislam ndio wanaokula keki ya nchi.
Labda mzee Mohamed Said anachokitafuta ni roho za watu wasiokuwa waislam ili afurahishe nafsi yake.