Waislamu wanatubeba sana!!

Waislamu wanatubeba sana!!

Wewe njoo kwenye sector kisector nani anatisha tuanze na elimu nani anatisha [emoji3]
Sehemu kubwa ya uzi wa mleta mada ni watu wanaofanikiwa kwa ujanja wao, jitihada zao na vipaji vyao wenyewe, achana na huko ambapo watu wanapata ulaji kwa connection na kubebana zaidi.
 
Uongo mtupu, kwa kuangalia juu juu tu Waislamu na Wakristo ni kama 50% kwa 50% au 50%+ kwa 45%+.
tanzania waislamu ni 90/% wananchi wake ni waislamu ila wengi hawaingii msikitini lakini kama siku mungu akiwakbusha waingie msikitini sala 5 tanzania itakuwa kama mwezi wa ramadhani kwa siku zote kwenye sensa hawataki kuandika dini na waislamu tanzania wakiamua wote wavae kanzu aaaa utahesabu mmoja mmoja wenye suruali
 
Professor Mohamed Janabi Mkuregenzi wa Taasisi ya Moyo Muhimbili
Wakristo wengi wameenda sana shule ivyo kuingia kwenge entertainment world sio rahisi,waislam shule ni ndogo ivyo option kwao ni kuingia kwenye biashara na fani za burudani.

Hii ipo sana USA,blacks wengi wako kwenye fani za sanaa wakati weupe wako levels zingine kabisa eg. Elon M.
 
Kumbe anayosemaga mzee Mohamed Said kuwa waislam wanaonewa na kutengwa yote siyo sahihi.

Waislam ndio wanaokula keki ya nchi.

Labda mzee Mohamed Said anachokitafuta ni roho za watu wasiokuwa waislam ili afurahishe nafsi yake.
Ongezea na hawa

Watangazaji wa kimataifa
1. Salim Kikeke BBC
2. Zuhura Yunus BBC
3. Mohamed Khelef DW

CAG bora kabisa kuwahi kutokea
1. Professor Mussa Assad

Mtaalamu wa moyo
1. Mohamed Janabi- Muhimbili

Waandishi vitabu nguli na maarufu
1. Abdularazak Gurnah - Mzanzibari pekee aliyeshinda tuzo ya Nobel
2. Shaaban Robert
 
Thibitisha kua Uislamu unaruhusu hayo?
kwani mtu akifanya mtu ndo kinaruhusiwa kwenye dini yake?
 
Wewe ni mtu mjinga sana .. sasa dini na vipaji au maisha ya mtu yanaingiliaje. Dini ni utapeli unaowapumbaza watanzania
Marekani na Ulaya ni sehemu zilizoendelea sana na raia wake wengi wana dini.
 
Wadhamini wengine wa mpira
Manji- Yanga
Bin Salum- Coastal Union
They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:

1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.

[UPDATE from DeepPond]:
  • Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
  • Yanga inadhaminiwa na GSM.
  • Simba inadhaminiwa na Mo.
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
View attachment 2049955

2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
[emoji3][emoji3] Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.

5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.

View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!

========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.

Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
 
Nakuunga Mkono.
Mimi ni Mkristo pia ila
Mwislamu anapokuwa Raisi huwa mambo yangu yananyooka sana
Utawala wa
Mwinyi
Kikwete
Na
Samia
Nimefanikiwa sana kimaisha.

Ila zama za
Mkapa
Magufuli
Zilikuwa kama Jehanam kwangu mimi. Mambo yangu yalikuwa Ovyo kabisa

Pongezi sana kwa Jamaa Zetu wa Kiislamu.
Mungu awajalie muendelee kufanikiwa.
Nchi hii haina Udini wala Ukabila katika kiwango kisichofaa.
Ah che mittoga kumbe ndo ivo bhna
m nakuombea uje kujisilimu bhna
hlf zile hoja zako kule nimekujibu bhna[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wakristo wengi wameenda sana shule ivyo kuingia kwenge entertainment world sio rahisi,waislam shule ni ndogo ivyo option kwao ni kuingia kwenye biashara na fani za burudani.

Hii ipo sana USA,blacks wengi wako kwenye fani za sanaa wakati weupe wako levels zingine kabisa eg. Elon M.
Jitekenye tuu.. mna kipi mlichokisoma nyinyi?
 
Back
Top Bottom