Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Leta verse kua Yesu kaingia kanisani[emoji117]Soma nilivyo kuelekeza hapo juu.
sisi mtume wetu kaingia msikitini na sisi tunaingia we huoni apo tunamfuata kwa kila jema alolifanya
Mtume wetu sisi kaoa na sisi Waislamu tunaoa
Yni saivi watu wameamka kiakili kila mtu anaona haswaa mke mmoja mtu hamtoshi na kanisa lenu ndo limekufungeni ivo mnaishia kua na nyumba ndogo tuu