Waislamu wanatubeba sana!!

[emoji117]Soma nilivyo kuelekeza hapo juu.
Leta verse kua Yesu kaingia kanisani
sisi mtume wetu kaingia msikitini na sisi tunaingia we huoni apo tunamfuata kwa kila jema alolifanya
Mtume wetu sisi kaoa na sisi Waislamu tunaoa
Yni saivi watu wameamka kiakili kila mtu anaona haswaa mke mmoja mtu hamtoshi na kanisa lenu ndo limekufungeni ivo mnaishia kua na nyumba ndogo tuu
 
Hekima ni pamoja na kufanya Jambo Kwa wakati wake na mahali pake.

Hapa tunazungumzia

" Mchango wa Waislamu katika kuibeba nchi Kisasa, Kijamii na Kiuchumi"

Kuna watu hapa mimi nawaheshimu sana na sitaki kuwakwaza na malumbano ya Kidini.
Na nimekuambia hapa si mahali pake.
Hivi ni kwanini hutaki kuelewa ?

Haya maswali niulize kule kwenye jukwaa letu la Dini na sio hapa.
 
We sema tu huna ayo maandiko mbona maandiko mengine umeyaleta
 
Lakini waislamu si ni matokeo ya mafundisho ya uislam.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
They deserve our respect!
Without Muslims, sijui tungelikua wapi.
 
Aisee! Yaani Wikipedia ndio your reliable source of information?

Unajua hata wewe unaweza kuandika unachotaka Wikipedia?

Nilifikiri source yako ni Government of Tanzania.
 
Wanatumia majini sana ili kupata. Mali.
 
UISLAMU UNARUHUSU KUFUGA MBWA
 
Njia walizotumia kuupata huo utajiri Ni haramu...and it goes without saying that huo utajiri wao hauna uhalali.
Mfano Rostam Azizi ana biashara za uchimbaji madini. Ni haramu?

Mo Dewji anaviwanda vya sabuni, maji, mafuta, mashamba ya katani.

Zote hizo ni njia haramu?
 
Mfano Rostam Azizi ana biashara za uchimbaji madini. Ni haramu?

Mo Dewji anaviwanda vya sabuni, maji, mafuta, mashamba ya katani.

Zote hizo ni njia haramu?
Taja ngozi nyeusi muslim ambaye nitajiri?
Maan wengi wao niwafia dini..
 
Kwa hiyo na mimi nikianzisha dini yangu na kitabu kikawa na aya isemayo ''hiki kitabu hakina shaka ndani yake'' utaamini?akili za wapi hizi!
 
Mfano Rostam Azizi ana biashara za uchimbaji madini. Ni haramu?

Mo Dewji anaviwanda vya sabuni, maji, mafuta, mashamba ya katani.

Zote hizo ni njia haramu?
Biashara zao wanazifinance kwa mikopo ya riba, riba Ni moja kati ya madhambi makubwa kwa muislam.
Mfano Rostam Azizi ana biashara za uchimbaji madini. Ni haramu?

Mo Dewji anaviwanda vya sabuni, maji, mafuta, mashamba ya katani.

Zote hizo ni njia haramu?
 
Wanawabeba ila utambuwe wakristo ni moto wa kuotea mbali kabisa
Ni hivi,, waislam wengi hawakuwa employed serikalini, sababu zinaeleweka, so wengi walijikita katika biashara,, ujenzi, umachinga, michezo, miziki, ilimradi wapate ridhiki,
Ndo maana unakuta wameshika miziki, filamu, mipira, ndondi, etc.
Sababu walikuwa hawapati ajira kwa kigezo kwamba , hawakusoma[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo na mimi nikianzisha dini yangu na kitabu kikawa na aya isemayo ''hiki kitabu hakina shaka ndani yake'' utaamini?akili za wapi hizi!
Kama hakina shaka tutakijua tuu
Anzisha ata saivi tuone kma utaweza
 
Ndugu zangu waislamu wao na shule ni vitu viwili tofauti ndio maana wanajazana kwenye ushenzi huko....kozi zote nilizozisoma waislamu tulikuwa tunahesabika...
Lakini cha ajabu kwenye kuongea ung'eng'e sasa,,, [emoji23][emoji23][emoji134],mi huwa nashangaaga sana,, [emoji1745]wasomi wanatuangusha sana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Wayahudi wanatambuana kwa imani,, sio kosa, tatizo hapa watu wako sensitive tu,, dini hizi tumeletewa na wageni,,
Sisi waafrika tuko na dini zetu za asili[emoji1745]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…