Waislamu wanatubeba sana!!

 
Umepimaje ukaja na Hilo hitimisho mkuu?. Na ni unafiki kwenye eneo gani?
 
Sijajua ni kwanini hii mada mpaka sasa bado inaexist, mods ni kama hawafanyi kazi yao ipasavyo.
 
Tena Hawa manabii wanakusanya sadaka kwa maskini lakini wao ni matajiri hawajawahigi kutoa msaada kwa watu tofauti na waislamu mkuu, na sifa kuu Ili ubarikiwe lazima uwe mtoaji na kusaidia mayatima na maskini waislamu wako vizuri

Kweli kabisa kwa hilo kuna watu wanapotea sana
Kwanini wapeleke kwa mtu ambaye ukimlilia shida zako hakusaidii ila wewe unapeleka kila wiki

Ila ni utaratibu wao na sisi tunaamini kumsaidia mhitaji moja kwa moja ndio unapata thawabu

Ni mafundisho tu
Ila hao wanaojiita manabii ni kama wanakusanya Kodi zisizosaidia jamii
 
Upuuzi mtupu!!
Unawajua Filbert bayi!?huyu alikuwa mwwnaliadha mkubwa sana.
Stanley mabesi alikuwa bondia miaka ya 90,
Big brothers wote waliopita,Richard,Mwisho mwampamba.
Hao uliowataja,dini zao,has nothing to do with their accomplishment.
Kasome historia.
Kwa sasa hv unaona waislam,walishapita wakristo wengi,ila dini hapa hazina mchango kabisa.
 
Sio kweli.
Ni mtazamo wako na upo huru kuutoa.
Je katika hizo awamu zote ulizozitaja ni awamu zipi uchumi ulionekana kuimarika?
Wengine walibana kuimarisha uchumi.
Halafu suala la watu kupotezwa na kuuawa lipo kwenye awamu zote na halina mahusiano na dini ya anayeongoza.
Maana hakuna dini inayomuambia kiongozi ama mtu yeyote kauwe ukiwa Rais sana sana makundi ya kihalifu na yanayonasibishwa na magaidi yanajiimarisha zaidi nyakati za awamu zinazoongozwa na hao unaowatetea.
Ufisadi nako umeshamiri awamu zilizoongozwa na wao..
Yote kwa yote ni kuwa hakuna mahusiano ya dini ya mtu na jinsi alivyoongoza.
Wanasiasa karibu wote wana dini mdomoni tu!
 
Wengi wanakusanya ila return kwa waumini ni hamna kabisa, tofauti na wenzetu nyie watu huwa mnatoa sana, na Siri kubwa ya kubarikiwa ni utoaji kwa wenye uhitaji, baraka ziko kwenye kutoa na kugusa maisha ya watu na ukifanya hivo unabarikiwa
 
Kwani manabii fake na mitume uchwara wao wanasemaje?

Saizi ni mda wa kutafuta pesa ,akija roho mbaya mgalatia itakuwa majanga tena.
 
Tuache kutoa mapovu ndugu zetu waislamu wametuzidi vingi hata hekima za kiongozi na sio ushamba, hivi Rais aliyeitoa nchi kwenye umaskini wa watu kukosa Hadi nguo una mwita fisadi, hivi kikwete utawala wake nchi yetu Ili shine kimataifa, aliajiri maelfu ya graduates kila mwaka, wenye vyeti feki na hewa, uchumi ukastawi uwekezaji ukawa nje nje, Hadi tukatembelewa na viongozi wakubwa duniani ka Obama utamlinganisha na jiwe?
Kikwete alifanya makubwa sema hakuruhusu sifa za kijinga kusifiwa na kutisha vyombo ndio maana unaona eti ufisadi ulikuwa mkubwa.
Kikwete hakuwahi kuingilia bunge, mahakama vilikuwa huru na democrasia ilishamiri utamlinganisha na mwendazake kweli?
Wakristo tumepigwa gap vile awamu za Hawa jamaa huruhusu uhuru wa kuongea na hawapotezi watu ndio mnasema mafisadi, report za CAG zilikuwa zinaomgesha madudu daily Hadi Assad akaitwa bungeni hapo unasemaje?
Uraisi wa Samia hajafikisha mwaka ila Kuna mabadiliko hajaingilia account za watu na kuwanyang'anya feza kinguvu in name of uzalendo, Sasa watu wameanza kufungua mabiashara yaliyofungwa kiuonevu napo utasema ni ufisadi.
 
Waislam ni wanafiki nambari mpja diamond ni muislam anafunga ila ana kampuni ya kubet.kamari ni dhambi,magerezani kumejaa waislam,wasengge rema wengi waislam,wakaa uswahilini wengi waislam .wakristo higukuza mwixi kimyakimya
 
matajiri wa kiislamu wanatoa sana kwa moyo....hawa wakrsito wanaojiona wana pesa kama kina gwajima ni majizi matupu yanakusanya sadaka kwa maskini na kuzitumia kwa mambo yao.....hii nchi wanaitia najisi sana hawa wanafiki...
Gwajiboy anatumiaga hela za waumini maskini na hajawahi kutoa hata msaada na kupitia hizo sadaka zimempa kiburi Cha uzima Cha kujiona ni Bora na kazi yake kutukana na watu au wanasiasa, huwezi kuta mwislamu na hyo hulka ya kuji mwambafai mwambafai hovyo
 
Mimi ni muislamu ila udini na ukabila sipendi kabisa post kama hizi huleta inferior complex baina yetu wenyewe
Mimi ni mkristo ,huu ndio ukweli..Leo hii Marais wote Wakristo wako kaburini lakini Waislam wapo sasa fuatilia tawala za kikristo utaona walivyokuwa na nongwa na Kwa hiyo wanakufa kwa sonona kutokana na matendo Yao.
 
Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie
Wakristo ni roho mbaya na nongwa ..Utaona akistaafu Samia lazima aje mkristo katili sijui shida nini..

Kwenye makanisa shida ni Hizo hixo utapeli WA kutumia dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…