cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Shida sie wakristo ni roho mbaya na unafiki mwingi mtu ana mtaja Mungu kila saa mara Kristo Tumaini letu mdomoni ila hayaishi matendo mema ya Kristo, imagine Rais ni Mkristo watu wanaonewa hadharani, watu wanauliwa kwenye viroba wala hatoi tamko la watu na anaenda kanisani madhabahuni ana mtaja Kristo na ma padre Wana mpa ruhusa ka si kunajisi Imani nini?Nakuunga Mkono.
Mimi ni Mkristo pia ila
Mwislamu anapokuwa Raisi huwa mambo yangu yananyooka sana
Utawala wa
Mwinyi
Kikwete
Na
Samia
Nimefanikiwa sana kimaisha.
Ila zama za
Mkapa
Magufuli
Zilikuwa kama Jehanam kwangu mimi. Mambo yangu yalikuwa Ovyo kabisa
Pongezi sana kwa Jamaa Zetu wa Kiislamu.
Mungu awajalie muendelee kufanikiwa.
Nchi hii haina Udini wala Ukabila katika kiwango kisichofaa.
Hafu ni nadra waislamu kuwa mafisadi waliokubuhu ka ni kula kila mtu ale kwa nafasi yake bila kuzuia wengine.
Dah wakristo tujitafakari matendo yetu, wenzetu waislamu ni rahisi kutoa kwa wenye uhitaji ni wakristo wangapi husaidia wenye uhitaji, tunabaki kulaumu waislamu eti Wana majini wakati Siri ni kutenda mema, kufunga mwezi mtukufu, no wonder ma Rais wa kiislamu Wana ishi mda mrefu maana hawana miroho mibaya, pia hawaweki vinyongo na kukomoana.