Waislamu wanatubeba sana!!

Waislamu wanatubeba sana!!

vip hao wasanii wanayoyaimba yanampendeza mungu, Haya Bia Tamu ndo nini, dini linaruhusu hako kabia au.
hivi unayafahamu madudu waliyo yafanya muslim pres, haya mambo hauyajui kwa undani kasome vitabu hata vya Riwaya kama juzu itakushinda kusoma
 
Bado habadili ukweli wa mtoa Mada punguza chuki Jifunze kuuona ukweli waislamu wamishika kwingi pamoja na mipango yakuwaminya kielimu
 
Tajiri no. 1 africa pia ni muslim ila matajiri 10 duniani ni christians...

Sawa tu woote....
 
Nadhani kuna Kitabu flani Nabii wake aliambiwa.
"Soma"
Wamishenari wa Kikristo walianzisha Shule na Vyuo vingi ili kuendana na lile andiko.

Soma, upate hizo fulsa unazozitaka.
Sasa hivi Marais wa Jamhuri ya Muungano wote ni Waslamu kwakuwa wame Soma.

Aliye Soma halii lii njaa hata kidogo kwakuwa anauwezo wa kukabiliana na maisha.

Ukiona mtu anakupatia Imani au Dini, na hakupi "Kusoma" huyo hana nia nzuri kwako hata kama anakuchekea usoni.
Huyo ni mmoja Kati ya Maadui zako.

"Soma" ewe Nabii, hilo ndilo Jambo la msingi kwako.
Sembuse sisi tusio Manabii.
 
kumbe unakua una akili ety mda mwingine[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Tajiri no. 1 africa pia ni muslim ila matajiri 10 duniani ni christians...

Sawa tu woote....
Waarabu wana utajiri wa kutupwa ila hawpendi kuweka mambo yao public. Mfalme wa Saudi Arabia ni bilionea ana utajiri wa matrilioni ya pesa lakini kwanini hujiulizi hawekwi kwenye orodha ya matajiri duniani.

Waislamu sio watu wa show off kaka wanafanya mambo yao pasipo kujionesha. Kuna waarabu wanatoa misaada barani Africa lakini hutamkuta akijitangaza.

Mtu anasaidia kuchimba visima vya maji katika mataifa kadhaa ya kiafrika na hana show off.
 
kumbe unakua una akili ety mda mwingine[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi nina akili muda wote. Hapa nazungumza kwakuwa nimeona.

Misuguano mingi katika Jamii zetu za Kiafrika imesababishwa na Jamii za nje ya mipaka yetu zilizotuletea Ustaarabu mwingine, wa jamii zao.
Ikiwepo Ustaarabu wa Utamaduni wenye vitu kama mavazi, chakula, Dini, Lugha NK.
Utakuta Leo kuna baadhi ya Waislamu wanawapenda Waarabu
kuliko Watanzania wenzao hasa wasiokuwa Waislamu.
Halikadharika Kwa Wakristo, Warastafarian, Wahindu nk. Wanawajali watu wa nje kuliko hata ndugu yake wa damu, Kisa hafuati maelekezo ya Dini aliyoletewa na hao watu wa nje.

Tena la kustaajabisha ukienda huko Arabuni au Israeli na hata Ulaya ambako tunauona kuna waasisi wa Ustaarabu Tunao utaka.
Utawakuta watu waovu kupita ndugu zetu wa Kiafrika
Nani hapa hajui kuwa matukio maovu sana yanafanyika Kwa hao tunaowaona wamaana. Maswala ya Ugaidi, Ushoga, Biashara za Utumwa, Ngono, Madawa ya kulevya, Mauaji ya halaiki na maasi mengi yanafanyika sana huko kwa hao tunaowaona Bora kwakuwa Tu walituletea Dini.

Huku Sisi tumebaki kunyosheana mikono ya kubaguana kwa kujiona
bora kupita ndugu zetu wa asili.
Tumefikia hatua mpaka tunachukia hadi rangi yetu Nyeusi ya mwili wetu na kubabaikia rangi Nyeupe tufanane na Waarabu au Wazungu.

Tunatakiwa kusoma ili kujiletea mapinduzi ya maendeleo.
Hatuitaki elimu. Bali tunataka kukumbushana mambo yasiyo n tija kwenye jamii yetu.
Kama
"mfumo Kristo ndio uliotufanya tuwe duni"
"Waislamu ni Magaidi tu hawaaminiki hata kidogo"

Huku umekaa kijiweni iwe Msikitini, Kanisani au vijiwe vingine.
Unategemea nini hapo, zaidi ya kuendekeza Ujinga, Umaskini na Maradhi yanayozaa chuki hapo baadae na mwisho ni machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.

Kama tunataka kujiletea maendeleo kama jamii, na kujitoa katika ukandamizaji wa Aina yoyote ile.
Ni lazima kufuata misingi ya maendeleo, mojawapo likiwa la kwenda shule kuisoma Elimu Dunia kwa bidii sana na nidhamu ya hali ya juu.

Hakuna namna nyingine.
 
Nimesoma comments zote,ila hapa umemaliza kila kitu.Sina cha kuongeza lakini Waafrika tusipojikomboa sisi wenyewe hakuna wa kutoka nje atakayetukomboa..
 
Tanzania​

Tanzania (/ˌtænzəˈniːə/;[13][14]Tanzania - Wikipedia Swahili: [tanzaˈni.a]), officially the United Republic of Tanzania (Swahili: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), is a country in East Africa within the African Great Lakes region. It borders Ugandato the north; Kenya to the northeast; Comoro Islands and the Indian Ocean to the east; Mozambique and Malawi to the south; Zambiato the southwest; and Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west. Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, is in northeastern Tanzania.

Capital Dodoma

Largest city Daressalaam

Official languages English and Swahili

National language Swahili

Regional languages Arabic • Sukuma•
Bena• Chagga•
Datooga• Digo•
Gogo• Haya•
Makonde• Sumbwa•
Others •

Religion (2020) 63.1% christianity
34.1% Islam
1.5% No religion
1.2% Traditional faith
0.1% others

Area

Total 947,303 km2

Water % 6.4

Population
2021( estimate) 61,193,226

Gdp PPP 2019 estimate

Total $ 200,144 billion

Many important hominid fossils have been found in Tanzania, such as 6-million-year-old Pliocene hominid fossils. The genus Australopithecus ranged all over Africa 4 to 2 million years ago; and the oldest remains of the genus Homo are found near Lake Olduvai. Following the rise of Homo erectus 1.8 million years ago, humanity spread all over the Old World, and later in the New World and Australia under the species Homo sapiens. H. sapiensalso overtook Africa and absorbed the older species of humanity.

Later in the Stone and Bronze Age, prehistoric migrations into Tanzania included Southern Cushitic speakers who moved south from present-day Ethiopia;[15] Eastern Cushitic people who moved into Tanzania from north of Lake Turkana about 2,000 and 4,000 years ago;[15] and the Southern Nilotes, including the Datoog, who originated from present-day South Sudan–Ethiopia border region between 2,900 and 2,400 years ago.[15]: page 18  These movements took place at about the same time as the settlement of the Mashariki Bantu from West Africa in the Lake Victoria and Lake Tanganyika areas. They subsequently migrated across the rest of Tanzania between 2,300 and 1,700 years ago.[15][16]

German rule began in mainland Tanzania during the late 19th century when Germany formed German East Africa. This was followed by British rule after World War I. The mainland was governed as Tanganyika, with the Zanzibar Archipelago remaining a separate colonial jurisdiction. Following their respective independence in 1961 and 1963, the two entities merged in 1964 to form the United Republic of Tanzania.[17] The countries had joined the British Commonwealth in 1961 and Tanzania is still a member of the Commonwealth as one republic.[18]

The United Nations estimated Tanzania's population at 56.31 million, which is slightly smaller than South Africa and makes it the second most populous country located entirely south of the Equator. The population is composed of about 120 ethnic,[19] linguistic, and religious groups. The sovereign state of Tanzania is a presidential constitutional republic and since 1996 its official capital city has been Dodoma where the president's office, the National Assembly, and all government ministries are located.[20] Dar es Salaam, the former capital, retains most government offices and is the country's largest city, principal port, and leading commercial centre.[17][21][22] Tanzania is a de facto one-party state with the democratic socialistChama Cha Mapinduzi party in power.

Tanzania is mountainous and densely forested in the north-east, where Mount Kilimanjaro is located. Three of Africa's Great Lakes are partly within Tanzania. To the north and west lie Lake Victoria, Africa's largest lake, and Lake Tanganyika, the continent's deepest lake, known for its unique species of fish. To the south lies Lake Malawi. The eastern shore is hot and humid, with the Zanzibar Archipelagojust offshore. The Menai Bay Conservation Area is Zanzibar's largest marine protected area. The Kalambo Falls, located on the Kalambo River at the Zambian border, is the second highest uninterrupted waterfall in Africa.[23]

Christianity is the largest religion in Tanzania, but there are also substantial Muslim and Animist minorities.[24] Over 100 different languages are spoken in Tanzania, making it the most linguistically diverse country in East Africa.[25] The country does not have a de jureofficial language,[26] although the national language is Swahili.[27] Swahili is used in parliamentary debate, in the lower courts, and as a medium of instruction in primary school. English is used in foreign trade, in diplomacy, in higher courts, and as a medium of instruction in secondary and higher education;[25]although the Tanzanian government is planning to discontinue English as the primary language of instruction, it will be available as an optional course.[28] Approximately 10 per cent of Tanzanians speak Swahili as a first language, and up to 90 per cent speak it as a second language.[25]

Source : Wikipedia
 
Tatizo sio kumkataa nduguyo wala nn
Hoja ipo ivi mm ni Muislamu na ww ni mkristo kwaio hatokua na imani moja ata siku 1
Na kati ya hizi dini 2 nilizozitaja ipo 1 ndo sahihi sasa mm itakua kosa langu ni kukulingania ktka njia sahihi?
M nakushauri kaa chini jaribu kutafuta ukweli kuhusu hizi dini 2 hlf utapima ww mwenyewe ipi ni dini sahihi
 
Mimi nafuata mafundisho ya Yesu Kristo wa Nazareti, kwakuwa yeye ndiye NJIA, KWELI na UZIMA. Kama alivyo jitambulisha.
Nimepitia mafundisho ya Dini na Imani nyingi bado sijaona fundisho la ziada na bora kuzidi mafundisho ya Masihi.
Sasa nibadilishe Imani hii kwa fundisho gani jipya na bora zaidi kuzidi.
1.Kumpenda Mungu kwa uwezo wangu wote.
Na
2. Kumpenda jirani yangu kama nafsi yangu.

Tena Masihi amenihakikishia kuwa siku ya Kiyama atakuja kuhakikisha nafika Mbinguni, vitabu vingi vya Dini vimethibitisha hii kauli.
Nitake kitu gani tena.

Kama kuna Ahadi au Amri mpya na nzuri kupita hizo ambazo Dini nyingine imeziamrisha naweza kushawishika kijiunga na hiyo Dini.
 
Katika hiyo 34.1%, bila shaka 10% watakuwa wanatokea kule kwa wale binadamu wasio na vichogo! 👤

Halafu hiyo 24.1% iliyobakia, ndiyo hii sasa inayopandisha vipaza sauti juu ya majengo yao na kutupigia makelele muda mwingi ili tu waonekane wapo! Maana ni wachache mpaka wanajishtukia.
 
Mimi nafuata mafundisho ya Yesu Kristo wa Nazareti, kwakuwa yeye ndiye NJIA, KWELI na UZIMA. Kama alivyo jitambulisha.
Nimepitia mafundisho ya Dini na Imani nyingi bado sijaona fundisho la ziada na bora kuzidi mafundisho ya Masihi.
Sasa nibadilishe Imani hii kwa fundisho gani jipya na bora zaidi kuzidi.
1.Kumpenda Mungu kwa uwezo wangu wote.
Na
2. Kumpenda jirani yangu kama nafsi yangu.

Tena Masihi amenihakikishia kuwa siku ya Kiyama atakuja kuhakikisha nafika Mbinguni, vitabu vingi vya Dini vimethibitisha hii kauli.
Nitake kitu gani tena.

Kama kuna Ahadi au Amri mpya na nzuri kupita hizo ambazo Dini nyingine imeziamrisha naweza kushawishika kijiunga na hiyo Dini.
hhhhhhhh sawaa
kwaio unaiamini iyo biblia ambayo watu wakijisikia tuu wanaweka agano jipya?
Yesu hakuoa,hakuingia kanisani,hakua mkristo, sasa ww mbona unayafanya hyo yote kma kweli unamfuata Yesu?

Nipe andiko kua Yesu kaingia kanisani,wapi bible inasema kua ni kitabu kisicho na shaka ndani yake hlf ndo nitakuona kweli unamfuata Yesu
 
Mada kama hii ilipaswa ifutwe inaleta matabaka.
 
Back
Top Bottom