Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Yani ni dua za kanisani ndio vile au?dua za kuku hizo hazimpati mwewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ni dua za kanisani ndio vile au?dua za kuku hizo hazimpati mwewe
dua feki za wafuasi wa mwamediYani ni dua za kanisani ndio vile au?
Mungu ndio kila kitu, lakini Mungu wenu wakristo kama mnasema Israel ni taifa lake aliongea vipi wakati 1948 kulikuwa hakuna taifa la Israel? Hebu nipe elimu.Israel 😎 ikipigwa ni Mungu tu ameamua
Nani kakuambia anaitwa mwamedi, anaitwa Muhammad sa nyie dua kanisani mbona zinajigonga taifa teule linasaidiwa halina hata pesa huyu mungu wenu wabibilia mbona anaonekana hana uwezo wa kulilinda taifa lake, mpa asaidiwe na Biden, au Sunak na sijui aibu hi wakristo mtaificha wapi 😄dua feki za wafuasi wa mwamedi
sasa kama mungu wenu anaweza kila kitu mbona mnapiga kelele kila siku mnaomba misaada huko palestina au Alah bado amelala usingizi bana?Nani kakuambia anaitwa mwamedi, anaitwa Muhammad sa nyie dua kanisani mbona zinajigonga taifa teule linasaidiwa halina hata pesa huyu mungu wenu wabibilia mbona anaonekana hana uwezo wa kulilinda taifa lake, mpa asaidiwe na Biden, au Sunak na sijui aibu hi wakristo mtaificha wapi 😄
Bora sisi tunao amini Mungu wetu ndio kila kitu haitajii msada, anauwezo wa kila kitu na usidhani vipenzi vya Mungu hawapi mitihani, Nabii Ibrahim, Mussa, Yesu na Nabii Muhammad hao wote walipewa mitihani walipo pigana na madui zao in shaa Allah karibu tutasali Al Aqsa.
Hamasi piga hao wenye lana za Mungu.
mwenyezi mungu unayemuongelea hapa ni yupi? Allah au Yahweh, mana hao ni Miungu tofauti wenye nguvu tofautiDua ya mwenye kudhulumiwa Haina kipingamizi pindi anaezulumiwa anapoomba.
Dua inaweza kujibiwa instantly au kucheleweshwa , Mwenyezi Mungu ndo mjuzi.
Kuimba Dua pia sio guarantee ya kupata unachotaka papohapo.
Matatizo ni mtihani na ukiweza kuwa na subira ni Bora na ni sifa ya manabii
wewe hujui chochote kuhusu biblia ebu kwanza mwambie huyo alah kwamba wafuasi wa mwamedi wanafukiwa na vifusi huko afanye jambo tuone nguvu yake la sivo mwamedi na wafuasi wake wote ni fekiEti bibilia, hamjui hata bibilia hapo inapoint kitu gani kuna tofauti ya Mtu na nchi 😄
Anayekubariki ni Mtu au Nchi?
Hapo navyo fahamu anambiwa Mtu sio nchi 😄
Ndio hamuoni kila siku mnapata aibu, mnasema Mungu hakuna aliye muona afu mnasema Yesu aliwaokoa 😄
Mnasema Yesu alitumwa kwa kondoo waliopotea. Afu mnasema ni taifa teule, yani Mungu awaite kondoo afu nyie mseme wamebarikiwa 😄 Kweli akili Mali.
Kama bibilia ilimuongelea Yakubu ndio Israel, hapo kulikuwa hakuna taifa la Israel, na kama mnasema taifa la Israel limebarikiwa basi Yesu alikuwa kichaa kutokana na bibilia zenu sababu katumwa kwa kondoo walio protea, vipi wawe wamebarikiwa afu waitwe kondoo waliopotea 😄 Afu we mwafrica Yesu hakutumwa kwako na wewe ni Myahudi au? Labda ungesema wa Ethopia kidogo ipo harufu si wewe Mtanzania.
Afu kama Yesu ni Mungu mbona anasema katumwa? Au Mungu wakikristo ni dhaifu anatumwa, anasaidiwa kulinda taifa lake na Biden, Macaroni, Sunak na wengine viongozi 😄
Kweli mtu kuwa mkristo lazima uwe na ukosefu wa akili 😄
Mwanzo 12:3 BHN
Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”
BHN: Biblia Habari Njema
Kwa hiyo hayo ndio majibu ya Dua. allah mungu wa kikuresh mwenye wake 3 ndio alijibu hivyo. allah mungu mfu lile jiwe jeusi pale macca hana uwezo wowote na hawezi jibu lolote.Mfano wa kucheleweshwa majibu ni kama pale baada ya miaka 75 Hamas kuweza kufanya kitu kilichokuwa hakikufikiriwa na yoyote.
Nacho ni kutumia pikipiki na suzuki carry kuvuka mpaka uliojengwa kwa zege.Hilo itakuwa ni majibu ya mababu zoo waliokwishakufa.
kwani we hiyo israel ya kwenye biblia unayoijua ni ipi?Mungu ndio kila kitu, lakini Mungu wenu wakristo kama mnasema Israel ni taifa lake aliongea vipi wakati 1948 kulikuwa hakuna taifa la Israel? Hebu nipe elimu.
Hio bibilia inayo ongelea vile ilichapishwa lini? Sababu 1948 hakuwepo Yesu.
Lile jiwe Jeusi pale macca sijui madina halina uwezo wowote. Inatakiwa liibiwe na kutupwa sik 1. Inatakiwa Israel wakalilipue na lile jiwe jeusi pale.wewe hujui chochote kuhusu biblia ebu kwanza mwambie huyo alah kwamba wafuasi wa mwamedi wanafukiwa na vifusi huko afanye jambo tuone nguvu yake la sivo mwamedi na wafuasi wake wote ni feki
sasa mbona na wao hamas wanafanyiwa ambacho hakikua kimefikiriwa na yeyote mnaandamana dunia nzima?Mfano wa kucheleweshwa majibu ni kama pale baada ya miaka 75 Hamas kuweza kufanya kitu kilichokuwa hakikufikiriwa na yoyote.
Nacho ni kutumia pikipiki na suzuki carry kuvuka mpaka uliojengwa kwa zege.Hilo itakuwa ni majibu ya mababu zoo waliokwishakufa.
Badala ya kuwa mbishi, ongeza nguvu katika kujifunza.Mungu ndio kila kitu, lakini Mungu wenu wakristo kama mnasema Israel ni taifa lake aliongea vipi wakati 1948 kulikuwa hakuna taifa la Israel? Hebu nipe elimu.
Hio bibilia inayo ongelea vile ilichapishwa lini? Sababu 1948 hakuwepo Yesu.
Pole sana we ndio rudi ukaisome bibilia hivi Muingereza ndio Malaika wa Mungu wa wakristo? Yeye ndiye aliye wapi Israel nchi si Mungu 😄wewe hujui chochote kuhusu biblia ebu kwanza mwambie huyo alah kwamba wafuasi wa mwamedi wanafukiwa na vifusi huko afanye jambo tuone nguvu yake la sivo mwamedi na wafuasi wake wote ni feki
we naona ushanganyangikiwa na makombora na vifusi wenzako huko washaanza kuomba poo we bado unang'ang'ana na muingereza mmekumbuka shuka wakati kumeshakuchaPole sana we ndio rudi ukaisome bibilia hivi Muingereza ndio Malaika wa Mungu wa wakristo? Yeye ndiye aliye wapi Israel nchi si Mungu 😄
Afu taifa lipi hilo Mungu anaye lineman lake wakati mpaa 1948 halikuwepo? Kwa hio Tanzania ni taifa la shetani au?
Hivi unajua mana ya Israel wewe kweli ni nani? Israel ni mfata amri za Mungu hadhulumu, je hio Israel yenu iko vile 😄
Taifa la kwanza la kishoga duniani, taifa la kwanza duniani lense kupokea msada, taifa la kwanza halikuwepo duniani mpaa 1948 huyo Mungu wenu alikuwa wapi kalala mpaa Muingereza ampe nchi ndio ajisifie taifa teule 😄
Nenda kasome bibilia dogo Israel si taifa ni Mtu ambaye abafata amri za Mungu na anazitkeleza, pole sa a bibilia inakuchanga ya utumbo unakuwa maini 😄
Ndio hapo sasa ujiulize.Hamas wanaungwa mkono katikati ya Ulaya na Marekani mpaka daraja la Brooklyn imebidi lifungwe kwa muda.Kwa kampeni zenu ungetaraji watu wanaandamana kuwapinga.sasa mbona na wao hamas wanafanyiwa ambacho hakikua kimefikiriwa na yeyote mnaandamana dunia nzima?
wanaoandamana huko marekani si hao hao wafuasi wa mwamedi waliongia ulaya kama wakimbizi.. we unafikiri ni wazungu?Ndio hapo sasa ujiulize.Hamas wanaungwa mkono katikati ya Ulaya na Marekani mpaka daraja la Brooklyn imebidi lifungwe kwa muda.Kwa kampeni zenu ungetaraji watu wanaandamana kuwapinga.