Waislamu wasiofika Gaza wana silaha yao kuu. Huu ndio muda wa kuitumia kuhakikisha Israel inashindwa

Waislamu wasiofika Gaza wana silaha yao kuu. Huu ndio muda wa kuitumia kuhakikisha Israel inashindwa

Nonsense to read the rubbish, allah is always a feeble goddess who never fights for his subjects but expects the same to fight for him.

So if you go to war expecting allah to fight for you then know well that you're doomed to a massive defeat.
 
Lile jiwe Jeusi pale macca sijui madina halina uwezo wowote. Inatakiwa liibiwe na kutupwa sik 1. Inatakiwa Israel wakalilipue na lile jiwe jeusi pale.
Wakimaliza waje wailipue na Tanzania ili akili zitukae sawa.
 
Waje wailipue na Tanzania basi,.Kwa kuwa ni Taifa teule.

Ili tuone kama utaendelea na utumwa wa kifikra.
Hawawezi kulipua tanzania maana wao sio magaidi. Ila magaidi yalishirikiana na uganda wakati fulan na imeteka ndugu zetu huko israel wawili.
 
Kuna hali zikitokea katika nchi au mbali ya miji waislamu humuelekea Allah aliyetukuka ili awape msaada. Na hiyo ina dalili kutoka kwa Mtume swalaLlaahu alayhi wassalam mwenyewe.

Baadhi ya matukio hayo ni pale nchi inapopata ukame mpaka watu wemekata tamaa na uhai wao. Watu hutoka nje ya mji katika hali ya kujidhalilisha kwa kuvaa zile nguo zao mbovu na kubebe vyombo vya maji huku wakiviweka juu chini na kuomba kwa unyonge mwingi ili wahurumiwe wapate maji.

Matukio ya aina hiyo yapo mengi.Hata wakati wa corona miaka 3 iliyopita waislamu wa Tanzania walipotishika na vifo vilivyotajwa kutokana na maradhi hayo misikiti mingi ilikumbuka dua maalum iitwayo kunuti na walikuwa wakiileta kila baada ya kipindi cha swala.

Katika muda huu ambapo jeshi la Israel limejichimbia Gaza na kuzima mawasiliano na kuzuia chakula na maji visiwafikie wote waliopo eneo hilo,ni wakati muwafaka wa kuleta kunuti kila baada ya swala au angalau mara mbili kwa siku kuomba nusra kwa wapalestina.

Ni kweli wale wenye moyo wa kuwasaidia hawawezi kufika huko kwa namna mbali mbali,hata hivyo dua zao zinapenya moja kwa moja bila kizuizi cha mdudu yoyote.

Wako waislamu wengi binafsi tayari wanaomba dua nzito kwa ajili ya ndugu zao wapalestina lakini ipo haja ya kuanza dua za pamoja ili kupata matokeo ya haraka.
Mkija kuomba kwa mwenyezi mungu anzeni kuwaombea wale mliowaua bila hatia 1405 harafu ndio muendelee na maombi yenu mengine.......maana hata vitabu vinasema ukimuombea jirani yako mabaya basi kwako yatakutokea mara mbili.........Palestine tu ndio panawaumiza ........je kule rohinghya sio waislamu? Je kule china sio waislamu? Je kule Ukraine sio waislam? Je kule sahel sio waislam?.........mna upendo wa ajabu ajabu kweli .......sasa perekeni nyayo zenu muone.........Iron dome inakata mpaka marinda.......
 
Ilishafanyika mtwara kwenye vuguvugu la gas ìla haikufaa kitu
Ulijuwaje kuwa haikufanya kazi.Nani aliyeamrisha yale mambo ya Mtwara.Nani aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani wakati wa mabucha ya nguruwe.Umeambiwa dua zinajibiwa kwa namna anavyopenda mwenyewe.
 
View attachment 2796107
Huu unyakuzi ulifanyika kimya kimya.Waliokuwa wanajuwa ni wachache na hata walipopiga kelele hawakusikilizwa.Hiyo hali vile vile haikuhitaji hiyo dua.

Hali ya sasa ambapo watu wanauliwa kwa pamoja kwa makombora mazito na kila mmoja ameona na hana ujwezo kufika.Sasa ndio dua inafanya kazi.

Kila dua moja kwa dhati inakuwa ni zaidi ya makombora ya ndege 100 walizozipeleka IDF huko Gaza.

Pole sana mkuu,Israel wamesha simamisha bendera zao ndani ya Gaza.
 
Nani kakuambia anaitwa mwamedi, anaitwa Muhammad sa nyie dua kanisani mbona zinajigonga taifa teule linasaidiwa halina hata pesa huyu mungu wenu wabibilia mbona anaonekana hana uwezo wa kulilinda taifa lake, mpa asaidiwe na Biden, au Sunak na sijui aibu hi wakristo mtaificha wapi [emoji1]

Bora sisi tunao amini Mungu wetu ndio kila kitu haitajii msada, anauwezo wa kila kitu na usidhani vipenzi vya Mungu hawapi mitihani, Nabii Ibrahim, Mussa, Yesu na Nabii Muhammad hao wote walipewa mitihani walipo pigana na madui zao in shaa Allah karibu tutasali Al Aqsa.

Hamasi piga hao wenye lana za Mungu.

Wakati huo wafuasi wa mudi mnaomba waarabu waislamu wawaunge mkono,dini ya ala haina ushirikiano baina yao ni utawala wa shetani uliofitinika.
 
Eti bibilia, hamjui hata bibilia hapo inapoint kitu gani kuna tofauti ya Mtu na nchi [emoji1]

Anayekubariki ni Mtu au Nchi?

Hapo navyo fahamu anambiwa Mtu sio nchi [emoji1]

Ndio hamuoni kila siku mnapata aibu, mnasema Mungu hakuna aliye muona afu mnasema Yesu aliwaokoa [emoji1]

Mnasema Yesu alitumwa kwa kondoo waliopotea. Afu mnasema ni taifa teule, yani Mungu awaite kondoo afu nyie mseme wamebarikiwa [emoji1] Kweli akili Mali.

Kama bibilia ilimuongelea Yakubu ndio Israel, hapo kulikuwa hakuna taifa la Israel, na kama mnasema taifa la Israel limebarikiwa basi Yesu alikuwa kichaa kutokana na bibilia zenu sababu katumwa kwa kondoo walio protea, vipi wawe wamebarikiwa afu waitwe kondoo waliopotea [emoji1] Afu we mwafrica Yesu hakutumwa kwako na wewe ni Myahudi au? Labda ungesema wa Ethopia kidogo ipo harufu si wewe Mtanzania.

Afu kama Yesu ni Mungu mbona anasema katumwa? Au Mungu wakikristo ni dhaifu anatumwa, anasaidiwa kulinda taifa lake na Biden, Macaroni, Sunak na wengine viongozi [emoji1]

Kweli mtu kuwa mkristo lazima uwe na ukosefu wa akili [emoji1]

Mwanzo 12:3 BHN​

Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”

BHN: Biblia Habari Njema

Mkuu uko sawa kweli mbona emoji nyingi kuliko maelezo.
 
Pole sana we ndio rudi ukaisome bibilia hivi Muingereza ndio Malaika wa Mungu wa wakristo? Yeye ndiye aliye wapi Israel nchi si Mungu [emoji1]

Afu taifa lipi hilo Mungu anayeliongelea wakati mpaa 1948 halikuwepo? Kwa hio Tanzania ni taifa la shetani au?

Hivi unajua mana ya Israel wewe kweli ni nani? Israel ni mfata amri za Mungu hadhulumu, je hio Israel yenu iko vile [emoji1]

Taifa la kwanza la kishoga duniani, taifa la kwanza duniani lenye kupokea msada, taifa la kwanza halikuwepo duniani mpaa 1948 huyo Mungu wenu alikuwa wapi kalala mpaa Muingereza ampe nchi ndio ajisifie taifa teule [emoji1]

Nenda kasome bibilia dogo Israel si taifa ni Mtu ambaye anafata amri za Mungu na anazitkeleza, pole sana bibilia inakuchanga ya utumbo unakuwa maini [emoji1]

Kurwani inawatambua wayahudi na mji wao jerusalemu,wewe muislamu wa wapi?
 
Miaka 75 hata 90 si chochote kwa Mwenyezi Mungu.Ushindi wa Palestina unaweza kuwa mwaka huu au hata karne ijayo.Anayeomba dua anakuwa ametekeleza wajibu wake.
Muwe specific sasa kwa kutumia dua wanashinda lini. Haya mambo ya dua ya leo kuwashindisha karne ijayo tena si ndo zile janjajanja za dini? Maana hata asiyeomba dua akijipanga hushinda, iwe kwa muda mrefu ama mfupi. Dua inaoneshaje utofauti sasa hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hali zikitokea katika nchi au mbali ya miji waislamu humuelekea Allah aliyetukuka ili awape msaada. Na hiyo ina dalili kutoka kwa Mtume swalaLlaahu alayhi wassalam mwenyewe.

Baadhi ya matukio hayo ni pale nchi inapopata ukame mpaka watu wemekata tamaa na uhai wao. Watu hutoka nje ya mji katika hali ya kujidhalilisha kwa kuvaa zile nguo zao mbovu na kubebe vyombo vya maji huku wakiviweka juu chini na kuomba kwa unyonge mwingi ili wahurumiwe wapate maji.

Matukio ya aina hiyo yapo mengi.Hata wakati wa corona miaka 3 iliyopita waislamu wa Tanzania walipotishika na vifo vilivyotajwa kutokana na maradhi hayo misikiti mingi ilikumbuka dua maalum iitwayo kunuti na walikuwa wakiileta kila baada ya kipindi cha swala.

Katika muda huu ambapo jeshi la Israel limejichimbia Gaza na kuzima mawasiliano na kuzuia chakula na maji visiwafikie wote waliopo eneo hilo,ni wakati muwafaka wa kuleta kunuti kila baada ya swala au angalau mara mbili kwa siku kuomba nusra kwa wapalestina.

Ni kweli wale wenye moyo wa kuwasaidia hawawezi kufika huko kwa namna mbali mbali,hata hivyo dua zao zinapenya moja kwa moja bila kizuizi cha mdudu yoyote.

Wako waislamu wengi binafsi tayari wanaomba dua nzito kwa ajili ya ndugu zao wapalestina lakini ipo haja ya kuanza dua za pamoja ili kupata matokeo ya haraka.
allah aliwahi kuomba dua mbaya Kwa Mwenyezi Mungu Awaangamize Wayahudi na Wakristo!; Mwenyezi Mungu Akampuuza hadi Leo wanadunda!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ

[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Kuna hali zikitokea katika nchi au mbali ya miji waislamu humuelekea Allah aliyetukuka ili awape msaada. Na hiyo ina dalili kutoka kwa Mtume swalaLlaahu alayhi wassalam mwenyewe.

Baadhi ya matukio hayo ni pale nchi inapopata ukame mpaka watu wemekata tamaa na uhai wao. Watu hutoka nje ya mji katika hali ya kujidhalilisha kwa kuvaa zile nguo zao mbovu na kubebe vyombo vya maji huku wakiviweka juu chini na kuomba kwa unyonge mwingi ili wahurumiwe wapate maji.

Matukio ya aina hiyo yapo mengi.Hata wakati wa corona miaka 3 iliyopita waislamu wa Tanzania walipotishika na vifo vilivyotajwa kutokana na maradhi hayo misikiti mingi ilikumbuka dua maalum iitwayo kunuti na walikuwa wakiileta kila baada ya kipindi cha swala.

Katika muda huu ambapo jeshi la Israel limejichimbia Gaza na kuzima mawasiliano na kuzuia chakula na maji visiwafikie wote waliopo eneo hilo,ni wakati muwafaka wa kuleta kunuti kila baada ya swala au angalau mara mbili kwa siku kuomba nusra kwa wapalestina.

Ni kweli wale wenye moyo wa kuwasaidia hawawezi kufika huko kwa namna mbali mbali,hata hivyo dua zao zinapenya moja kwa moja bila kizuizi cha mdudu yoyote.

Wako waislamu wengi binafsi tayari wanaomba dua nzito kwa ajili ya ndugu zao wapalestina lakini ipo haja ya kuanza dua za pamoja ili kupata matokeo ya haraka.
labda waombe albadili
 
hivi hamuwezi kuomba albadili, au huwa haifanyi kazi kwa watu wa Mungu wa Israel? au ndio kama yule ustaadhi aliyetabiri Afande Sele angekufa, ila hadi leo yupo morogoro anakula bange kama kawa?
 
Back
Top Bottom