Waislamu wasiofika Gaza wana silaha yao kuu. Huu ndio muda wa kuitumia kuhakikisha Israel inashindwa

Kuna hali zikitokea katika nchi au mbali ya miji waislamu humuelekea Allah aliyetukuka ili awape msaada. Na hiyo ina dalili kutoka kwa Mtume swalaLlaahu alayhi wassalam mwenyewe.

Baadhi ya matukio hayo ni pale nchi inapopata ukame mpaka watu wemekata tamaa na uhai wao. Watu hutoka nje ya mji katika hali ya kujidhalilisha kwa kuvaa zile nguo zao mbovu na kubebe vyombo vya maji huku wakiviweka juu chini na kuomba kwa unyonge mwingi ili wahurumiwe wapate maji.

Matukio ya aina hiyo yapo mengi.Hata wakati wa corona miaka 3 iliyopita waislamu wa Tanzania walipotishika na vifo vilivyotajwa kutokana na maradhi hayo misikiti mingi ilikumbuka dua maalum iitwayo kunuti na walikuwa wakiileta kila baada ya kipindi cha swala.

Katika muda huu ambapo jeshi la Israel limejichimbia Gaza na kuzima mawasiliano na kuzuia chakula na maji visiwafikie wote waliopo eneo hilo,ni wakati muwafaka wa kuleta kunuti kila baada ya swala au angalau mara mbili kwa siku kuomba nusra kwa wapalestina.

Ni kweli wale wenye moyo wa kuwasaidia hawawezi kufika huko kwa namna mbali mbali,hata hivyo dua zao zinapenya moja kwa moja bila kizuizi cha mdudu yoyote.

Wako waislamu wengi binafsi tayari wanaomba dua nzito kwa ajili ya ndugu zao wapalestina lakini ipo haja ya kuanza dua za pamoja ili kupata matokeo ya haraka.

Huyo Allah wa wapalestina na Mungu wa waisrael n mmoja au kila mtu ana mungu wake
 
Allah ni huyo huyo kwa dunia yote,sayari na kila uanchokijua.Anaona,anasikia na ana hekima katika mipango na maamuzi yake.
Unaweza ukafikwa na shida ukaomba na bado ukakosa.Haina maana hajakuona na haina maana amekuwacha.Utapata tu chenye kheri kuliko hicho unachokitaka.Ukikosa katika dunia basi utapewa kilicho bora mbele ya safari.
Katika uoni wa kibinadamu unaweza ukaona kama Israel ina nguvu sana na kwamba wapalestina ndio wanamalizika,kumbe kinachotokea hiyo nguvuj inayotumia Israel ndio inajipiga yenyewe.Kama si mwaka huu basi miaka michache watafutika na wanyonge wa leo ndio watakaokuwa watawala wa kesho.
Binadamu tunakuwa na mapenzi yetu na papara.Ukiacha historia za mbali kwenye Qur'an ambazo ndio muhuri wa hekima hizo basi hata ukirudi miaka 500 nyuma utagundua hakuna aliyefanya jeuri akazidi miaka 100 akiwa bado bado yuko juu.
Marekani,Uiengereza,Urusi na Israel wote wamepigika hata miaka 100 hawajafikisha.Hivyo wewe tulia tu.
 
utasemaje allah ni huyohuyo, wakati allah anakubali kuabudiwa na majini, na kuna majinimengine anasema ni mazuri mengine mabaya, wakati Mungu wa Israel kwake majini ni uchafu na mashetani havichangamani. utasemaje ni kitu kimoja? hauoni kama waarabu wamewaingiza chaka?
 
Ala kwa mujibu wa kurwani
IMG_3077.jpg
 
Hivi mbona una akili ndogo hivi,USA ilipata uhuru 1776 leo hii unazungumzia miaka 247 tangu USA ipate uhuru toka kwa Muingereza.

Acha upotoshaji na propaganda za kipuuzi wewe gaidi.
 
utasemaje allah ni huyohuyo, wakati allah anakubali kuabudiwa na majini, na kuna majinimengine anasema ni mazuri mengine mabaya, wakati Mungu wa Israel kwake majini ni uchafu na mashetani havichangamani. utasemaje ni kitu kimoja? hauoni kama waarabu wamewaingiza chaka?

Ukiwa mfuatiriaji mzuri utagundua uislam ni dini ya shetani baba wa uongo.
 
Back
Top Bottom