Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

wahabi hao wapumbavu washari na ndio chanzo cha fanatics.
 
Najaribu kufikiria mtu anakuja nyumbani kwangu kuniomba hifadhi. Nikishamhifadhi ananitaka nibadilishe lifestyle yangu iwe kama yake. Yaani kwa vile yeye hatumii kinywaji basi ananitaka niondoe vinywaji vyote nyumbani kwangu.
 

Muingereza aache kula Nguruwe zake ati kwasababu Allah hataki?!

Sheria Law inafaa kwa Watu wasio na Elimu ya kutambua.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waislam baadhi wanauaibisha uislam wote, wanaonekana ni dini ya hovyo tu sasa
 
Hawanaga akili hao ndio maana wenye akili wanawaangalia tu.
 
Soon watapakiwa kwenye ndege
 
Hao ni Hizb ul Tahrir Kiongozi wao yuko Jela kwa kutuma Fedha kwenye Vikundi vya Kigaidi Duniani.
Kama nimekuelewa yani sheria zao ni ngumu kwa hiyo wataenda kusipokuwepo na hizo sheria kwa makafikri kama wao wanavyowaita ili waishi kwa amani na uhuru
Hii inachekesha
 
Ni watu wasio na akili (vichaa wa uingereza) ndio wameandamana.
Hao ndiyo wenye akili.

Hakuna sheria ambazo ni bora zaidi ya sharia duniani.

Kama unabisha anza tulinganishe sheria na sharia moja moja. Ujionee ubora wa sharia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…