Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Jiulize kwanza kwanini wapo Uingereza, to begin with. Kurudi kwao haiwezekani. Uingereza ndiyo nchi yao. Wamezaliwa Uingereza na watakufa Uingereza.Sio wahamie, warudi walipotoka. Waislam wengi Uingereza wameyoka Pakistan na Africa.
Kurudishwa kwao inawezekana, Abu Hamza(Mustafa Kamel Mustafa) alikua ni Imam wa msikiti wa Finsbury.Jiulize kwanza kwanini wapo Uingereza, to begin with. Kurudi kwao haiwezekani. Uingereza ndiyo nchi yao. Wamezaliwa Uingereza na watakufa Uingereza.
Sharia ndiyo suluhisho la duniani, siyo Uingereza tu.
Niliwahi kuandika hivi: Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam
Haijalishi waliingia vipi.
Kwani Waingereza waliingiaje nchi zao hao? Au hujuwi?
Sharia ndiyo suluhisho la duniani, siyo Uingereza tu.
Niliwahi kuandika hivi: Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata S
Sharia ndiyo suluhisho la duniani, siyo Uingereza tu.
Niliwahi kuandika hivi: Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam
Haijalishi waliingia vipi.
Kwani Waingereza waliingiaje nchi zao hao? Au hujuw
Umeandika ujingaSharia ndiyo suluhisho la duniani, siyo Uingereza tu.
Niliwahi kuandika hivi: Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam
Haijalishi waliingia vipi.
Kwani Waingereza waliingiaje nchi zao hao? Au hujuwi?
Al mujahiddinView attachment 3134157
British Girls Night Out.❤️
View attachment 3134158
Uislamu unataka kuwafanya hivi👆 Waingereza.😱
Akili kisodaNilikutawala wewe na baba yako
Wamefuata maokotoSasa wamefuata nini huko nchi za kikristu, Si waende Saudi Arabia na Gaza.
TakbiirChakushangaza yote hayo ni makimbizi yaliokimbia upimbi wa sharia nchini mwao kuna mabwege yamekimbia talibani apo kuna mengine yaliwakimbia iss yapo yaliomkimbia ayatollah
Ati Mwingereza aache Demokrasia awe anasikiliza Fatwa ya Shura ya Maayatola?! Ambao ni Mambumbumbu wa Elimu ya Dunia.
Tanzania tumeshakataa hatutaki hivyo vijisheria vya kipumbavu vya karne ya saba na uzuri hata wanaojiita waislam ktk Tanzania asilimia kubwa hawavitaki kabisa na ndio maana ktk Tanzania wengi wa wanaojiita waislam wanakunywa pombe na wengi wa barmaids pia ni haohao.Naunga mkono hoja wapo sahihi kabisa. Uislamu ndio suluhisho pekee kwa mmomonyoko wa maadili wa kutisha uliopo Ulaya na Marekani.
Uislam ni mwema sana.Umeandika ujinga
SawaUislam ni mwema sana.
Mfalme wa Uingereza ni Head of State wa UK Canada Australia New Zealand na visiwa mbali mbali.Hivi huelewi kuwa Uinfereza ni nchi ya Kifalme? Huyo mfalame unamchaguwa wewed kidemokrasia.
Naona unakuja na lugha ya kuudhi. Nini kimekukasirisha?Acha porojo, sharia zimetungwa na punguani Allah na zimesababisha matatizo makubwa duniani.
Umesha shahadia?Sawa
Ulishawahi kusikia uchaguzi wa Mfalme wa Uingereza?Mfalme wa Uingereza ni Head of State wa UK Canada Australia New Zealand na visiwa mbali mbali.
Nchi zote hizo Demokrasia imetawala chaguzi huru haki za Binadamu nk.
Tofauti sana na Falme za Kiislamu ambazo hazina Demokrasia wala Haki za Binadamu.
Ndo nini fafanuaUmesha shahadia?