Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

mambo ya kifala. umeenda ugenini fuata sheria za ugenini. umeona hapafai hama. hawa waislamu wachache wanafanya waislamu wanaojielewa waonekane wote mazwazwama
Wazungu walipokuja Afrika walifuata sheria zetu?
 
😀😀😀😀😀😀 Hawa akili zao wanazijua wenyewe, wakubali kanisa lijengwe Kuwait, Iran, Yemen tuone
 
Nano aliyemwita shia kafir?
Kujikatakata na kumwaga Damu ambayo ni najisi huo sio ukafiri?!
shia-muslim-boys-flagellate-themselves-during-muharram-220nw-14027815j.jpg

man-bleeding-on-ashura-ritual-lebanon-middle-east-asia-A91GGP.jpg
 
Nano aliyemwita shia kafir?

Kiarabu nnakijuwa kuliko unavyodhania. Labda upige goti nikufundishe.

Ningekushangaa sana usingeijua lugha ya kiarabu vizuri. Maana mnaamini hiyo lugha ni ya mtume, pia pepo hutaiona kama haujui lugha hiyo.
 
Ulishawahi kusikia uchaguzi wa Mfalme wa Uingereza?
Mnaambiwa msome elimu dunia mpate kujua mambo hamtaki kusikia mmekalia kusomea elimu feki ambazo zinawapelekea kufanya vitendo viovu tu kama ugaidi nk. Bure kabisa.
 
Mnaambiwa msome elimu dunia mpate kujua mambo hamtaki kusikia mmekalia kusomea elimu feki ambazo zinawapelekea kufanya vitendo viovu tu kama ugaidi nk. Bure kabisa.
Elimu zote uzijuazo, zimeanzishwa na Waislam. hakuna elimu zaidi ya duniani.

Kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom