Waisrael weusi wanasema hii habari sio kweli huku wakiumia, sijui shida nini?.

Waisrael weusi wanasema hii habari sio kweli huku wakiumia, sijui shida nini?.

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
2,083
Reaction score
2,183
20250624_231933.jpg
 
—❗️🇮🇷 Iran's Atomic Energy Agency: 'Iran's nuclear program will resume without interruption and we are ready to restart enrichment — our program will not stop'

@Middle_East_Spectator
Ulitegemea wasemeje kwa mfano?
 
Lazima uwende kwenye udini hakuna unalojua zaidi ya ilo. Na ndiyo iliyokufundisha kuwa muongo na uzushi. Hakuna siku utafikia bila kuchukia dini ya kikristo.
Sawa mkanisa poleni sana Iran alimkimbiza Rising Lion akabaki kwenye mashimo na Pampers .

Microsoft, researchers, military base, Refinery mpas mkanza pewa mafuta na warabu ambao ni madui zenu mnasema hahaha
 
Tunataka tuone damu na maiti kama ushahidi.

Hapo inaonekana ni edited image before US strike, tuonyeshe baada ya US strike pakoje?
 
Back
Top Bottom