Waisrael weusi wanasema hii habari sio kweli huku wakiumia, sijui shida nini?.

Waisrael weusi wanasema hii habari sio kweli huku wakiumia, sijui shida nini?.

Mayahudi wa kwa mtogole watapita kimya kimya
Afu mimi hua nawashangaa sana inawauma sana Israel akitwangwa, kuliko hata mama zao wakiwa wagonjwa au baba zao.

Makanisa yamejitahidi sana kwa kweli kuwa brainwashed mpaa kuamini Mungu anataifa moja tu sisi wengine tulio baki ni mataifa yamejiotea tu kama uyoga 🤣
 
Back
Top Bottom