Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

Kama mti mkavu umetendewa hivi je mti mbichi wataufanyaje?.

Hii nchi wale walioendelea kumshangilia Magufuli wakati akifanya udhalimu wake wa kuvurugavuruga mifumo, kutojali katiba ya nchi nao walichangia pakubwa kuwaembolden ambao wangemfuata, maana wao sasa wanafanya mara mbili yake!. Hii ni kwa sababu ya precedence aliyoiweka ya ubandidu juu ya ubandidu.
 
hana mke? Hana watoto? Hana kanisa? Huko ndiko waseme hawamuoni mtu wao
 
Ukiukaji wa Katiba haina maana Katiba yenyewe ndio Mbovu. Nauliza:-
Kwa nini pale Viongozi wanapokiuka Katiba ya nchi, sisi husema sababu ni hii Katiba Mbovu? Tunahofia nini..
Katiba imetoa mamlaka makubwa kwa watawla . Γ€HUU NDIYO OBOVU WAKE
 
Huenda alitoa hayo maelezo akiwa chini ya shinikizo, hiyo nayo ni possibility
 
Labda tujiulize kabla ya kumaliza muda wake, Makamu wa Rais anaondolewaje madarakani kama amefanya makosa na amegoma kujiuzulu?
tukiweka kando mambo ya kushtakiwa bungeni,

chama chake cha siasa kinaweza mvua uanachama hivyo anapoteza sifa za kugombea ,anapoteza kiti na si makamu tu hata rais mwenyewe uanachama wakimuondoa anapoteza kiti

kuhusu ni sawa au si sawa ni mjadala
 
Unawezaje kumvua uanachama Rais aliyepigiwa kura (assuming free and fair) ili umuondoe madarakani bilateral kuweka wazi sababu za kufanya hivyo au kumpa nafasi ya kujitetea au kukata rufaa)?
 
Unawezaje kumvua uanachama Rais aliyepigiwa kura (assuming free and fair) ili umuondoe madarakani bilateral kuweka wazi sababu za kufanya hivyo au kumpa nafasi ya kujitetea au kukata rufaa)?
kama sote tutakubaliana kwa pamoja kwamba katiba yetu ina changamoto, basi si rahisi sana kuona shida tuliyo nayo kwa ufasaha zaidi. Na kwakua wengi wanahitaji katiba mpya inakua jambo jema sana kuona kwa waziwazi balaa lililopo kwenye katiba iliyopo.

Chama hakimfukuzi Rais au Makamu wa rais kwenye viti vyao vya kiserikali, chama kinaweza mfuta uanachama watu tajwa kwa taratibu zilizopo kwenye chama chao, wao mpaka hapo wanakua wamemaliza.

Alafu inaingia katiba kwa maboresho iliyopo nayo inamkataa automatic rais au makamu kwenye nafasi zao kwa kigezo cha kupoteza sifa za kugombea (ambapo moja wapo ni kua mwanachama wa siasa).

chama kwa kutambua jambo hilo ikiwa aliyefukuzwa uanachama ni rais basi rais anakua amepoteza kiti na katiba inataka makamu arithi kiti hicho, na ikiwa aliyefukuzwa ni makamu ana poteza kiti cha umakamu na katiba inataka rais akishirikiana na chama chake wateue mtu atakaye kuja rithi kiti hicho kufuatia kura ya bunge ya uinidhishaji.


kimsingi sana wapiga kura sisi tunahitajika kuhalalisha uchaguzi tu. kuna nguvu kubwa imeachwa kwenye vyama kihuni sana.

Kama tungepata katiba ya 1977 na kila nakala baada ya mabadiliko yeyote yaliyofanywa , tungeweza fahamu jambo gani lilibadilika lini. ila kwa sasa tukiangazia side notes za kwenye katiba iliyopo tunaona miaka ya 1984, 1992, 1994 imehusika sana.
 
Unawezaje kumvua uanachama Rais aliyepigiwa kura (assuming free and fair) ili umuondoe madarakani bilateral kuweka wazi sababu za kufanya hivyo au kumpa nafasi ya kujitetea au kukata rufaa)?
Wanasema aliitwa akagoma! Lakini nafikiri makosa makubwa ni kubadili baadhi ya wajumbe kuelekea kumshughulikia na yeye anaweza kusema haamini kama wangetenda haki. Naona ndugu zetu kama wanajifunga na mambo mengi magumu! Unaposhughulika na tatizo inabidi uwe Makini sana usizae tatizo kubwa zaidi. Hekima zitumike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…