Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kitendo cha yeye kuwa na Nyumba kinakuonyesha kuwa Waitara ni muongo, anaposema hana nyumba kiasi kwamba kang'ang'ania kwenye nyumba ya mama yake.Kwani Mwanza ni kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitendo cha yeye kuwa na Nyumba kinakuonyesha kuwa Waitara ni muongo, anaposema hana nyumba kiasi kwamba kang'ang'ania kwenye nyumba ya mama yake.Kwani Mwanza ni kwao
Kwanza nyumba ndiyo inaongoza?Hamjui Heche vizuri.
Heche ana nyumba kubwa sana tu Mwanza mitaa ya Nyegezi-Majengo mapya , na nyumba yake imetizamana na ya moja ya moja ya wakurugenzi wa SUMA JKT. Ukiwa hapo stend kuu ya Mwanza, bodaboda yoyote ukimwambia akupeleke kwa HECHE ni faster tu.
Yeye ajitahidi kujikita kwenye hoja za msingi.
Soma mada uielewe.Kwani Waitara na Heche kwao ni Mwanza?
Jimboni kwake ana makazi?
Oya acha basi 😂 ina maana Heche ni mkamaria?Hao wote ni walevi, moja ni mlevi wa kubeti, Kiburi, majivuno, ubishi na mbinafsi sana hakupi ODDS kabisa za mchongo na mwingine ni mlevi sana wa pombe kupindikia, mpenda chini, madharau, short-tempered man, kwa ujumla Wote hawafai kua viongozi. Na nakuhakikishia huru na haki watashindwa hata na ANDAZI tu likiamua kugombea.
makazi ya mama yake, kwa mujibu wa WaitaraMakazi atayakosaje akiwa huko jimboni ikiwa mama yake tu mwenyewe ana nyumba (kwa mujibu wa Waitara).?
Au neno "makazi" wewe unalitafsiri vipi?
Heading imesema hana nyumba TarimeKitendo cha yeye kuwa na Nyumba kinakuonyesha kuwa Waitara ni muongo, anaposema hana nyumba kiasi kwamba kang'ang'ania kwenye nyumba ya mama yake.
Ndiomaana nilikuuliza unafahamu nini juu ya neno "makazi".makazi ya mama yake, kwa mujibu wa Waitara
Nayo imeegea TarimeKisha content ikasemaje?
Kasema hanna nyumba tarimeKitendo cha yeye kuwa na Nyumba kinakuonyesha kuwa Waitara ni muongo, anaposema hana nyumba kiasi kwamba kang'ang'ania kwenye nyumba ya mama yake.
Hivi mnyika amesha oa au Bado tuuu mpaka leoJinga kweli, hata Nyerere hakuwa na nyumba kwao