Waitara atamba, adai Heche hana nyumba Tarime, anaishi kwa mama yake, asema anamsubiri kwa hamu uchaguzi wa 2025

Waitara atamba, adai Heche hana nyumba Tarime, anaishi kwa mama yake, asema anamsubiri kwa hamu uchaguzi wa 2025

Ndiomaana nilikuuliza unafahamu nini juu ya neno "makazi".

Jengo linaweza kumilikuwa na mtu mwingine ila likawa ni makazi ya mtu mwingine. Kwakuwa Heche hufikia kwa mama yake akiwa huko jimboni yale ndio makazi yake akiwa huko.

TUELEWANE VIZURI SASA:

Kuna ubaya gani Heche kufikia kwenye hiyo nyumba? Msingi wa hoja yenu uko wapi?
Hawana hoja hawa wapuuzi tu
 
Heche aongozwe kwenye list ya watu maarufu ambao hawajajenga, uzi wao upo humu
 
Kweli huyu kadata kwani DP_____World wananyumba Tanzania.
 
Tarime haijawahi kupoa!

Mbunge Waitara, akihojiwa na kituo Cha tv Cha Dar24 ametamba kwamba hawezi kubabaishwa na mwanafunzi wake kisiasa, John Heche, na kwamba atamchakaza kwenye uchaguzi wa 2025.

Waitara ametamba kwamba John Heche hana nyumba Tarime, na kwamba anaishi kwa mama yake, hivyo hana msaada wowote kwa wanatarime. Waitara ameeleza kwamba ni aibu kwa Mila za kikurya kwa kijana wa umri wa Heche kungangania kwenye nyumba ya mama badala ya kujitegemea kwa kujenga ya kwake.

Waitara ambaye alikuwa anaongea kwa uchungu mfanano wa wenye kijacho,amejiapiza kutokimbia Jimbo na kwenda ukonga na anadai Tarime ni nyumbani kwao.

Waitara alielezea kwamba Heche hajaacha maendeleo yoyote Jimboni, zaidi ya umasikini uliotopea

View attachment 2659788
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom