Waitara atamba, adai Heche hana nyumba Tarime, anaishi kwa mama yake, asema anamsubiri kwa hamu uchaguzi wa 2025

Kwanza nyumba ndiyo inaongoza?
 
Oya acha basi 😂 ina maana Heche ni mkamaria?
 
2025 macho ya huyo mlevi Waitara yatazama ndani kabisa wait and see..))
 
makazi ya mama yake, kwa mujibu wa Waitara
Ndiomaana nilikuuliza unafahamu nini juu ya neno "makazi".

Jengo linaweza kumilikuwa na mtu mwingine ila likawa ni makazi ya mtu mwingine. Kwakuwa Heche hufikia kwa mama yake akiwa huko jimboni yale ndio makazi yake akiwa huko.

TUELEWANE VIZURI SASA:

Kuna ubaya gani Heche kufikia kwenye hiyo nyumba? Msingi wa hoja yenu uko wapi?
 
Huyu jamaa kilaza sana kashashau yeye ni zao la mwendazake huko ccm kwenyewe hawamtaki anauwaza ubunge
 
Kitendo cha yeye kuwa na Nyumba kinakuonyesha kuwa Waitara ni muongo, anaposema hana nyumba kiasi kwamba kang'ang'ania kwenye nyumba ya mama yake.
Kasema hanna nyumba tarime
 
Hilo shoga linalolewa hadi linajikojolea tunalipuuza tu linajua halipati kitu 2025
 
Wewe mwenye nyumba umefanya nini kuinusuru Tanzania isiingie kwenye mikataba ya kijambazi na Tozo mpya za mpaka rangi....
 
Waitara mwenyewe anaishi kwao halafu anamtukana Heche, wote hao Tarime hawana chao tutaenda na mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…