Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Usitufanye wajinga humu,huwezu kwenda arusha kwa masaa manne labda unatokea kwedukwazu ila sio dar wadanganye watoto
Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kweli dar to A town km zake
 
Zikichakaa service na rangi wanapiga
 
Well said my bro.
Japana waaminifu, watii wa sheria miundombinu mizuri, lakini pia wanatumia zaidi usafiri wa umma, gari zao private ni mala chache chache sana wanazitoa ( kuendesha ). Ni moja ya nchi raia wake wanatii sana sheria , so hata vyombo vya moto wana vitumia sawa sawa na standard..
 
Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kweli dar to A town km zake
Huenda gari ina 360km/h 😃😃😃
 
Mbona zinakuja na Km juu ya laki na bado ni mpya kabisa?

Ila Tanzania akiongoza km 10,000 tu gari haifai?
gari nyingi used kutoka Japan hua na zaidi ya miaka 10 au 15. km laki kwa miaka 15 sio matumizi makubwa ya chombo.
 
😂😂 Dah nimecheka sana eti creti ya matunda anayouza.
 
Kwahio point ya msingi ni matunzo right?
 
Bado enzi zile za foleni kubwa ya pantoni, kuna watu hawapangi foleni wanachomeka bila kukupa taarifa, Kuna mtu aligonga gari yangu siku moja kipumbavu Sana,mi nasogeza gari mbele nae huyo ghafla kaingiza nyuma yangu akapiga ubavu wote.
Dah ila alikulipa mkuu?
 
Kuna watu na taasisi hapa Tz wana gari mpya kaziangalie zenye miaka miwili mitatu uone. Nyingi zishavurugwa
watu binafsi atleast wanajitahidi,japo mazingira yanawaangusha kama ulivyoandika hapo juu.

ila humo kwenye taasisi ndio kuna mambo ya hovyo aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…