Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Usitufanye wajinga humu,huwezu kwenda arusha kwa masaa manne labda unatokea kwedukwazu ila sio dar wadanganye watoto
Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kweli dar to A town km zake
 
View attachment 1659067

Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu.

Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya Uingereza.
Hivi hii imekaaje?
Hata tu gari kuendelea kuwa mpya baada ya miaka 28 tangu itengenezwe.
Extrovert , RRONDO na Mshana Jr naomba maarifa yenu na wengine wote ambao sijawataja mwakaribishwa
Zikichakaa service na rangi wanapiga
 
Well said my bro.
Japana waaminifu, watii wa sheria miundombinu mizuri, lakini pia wanatumia zaidi usafiri wa umma, gari zao private ni mala chache chache sana wanazitoa ( kuendesha ). Ni moja ya nchi raia wake wanatii sana sheria , so hata vyombo vya moto wana vitumia sawa sawa na standard..
 
Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kweli dar to A town km zake
Huenda gari ina 360km/h 😃😃😃
 
Mbona zinakuja na Km juu ya laki na bado ni mpya kabisa?

Ila Tanzania akiongoza km 10,000 tu gari haifai?
gari nyingi used kutoka Japan hua na zaidi ya miaka 10 au 15. km laki kwa miaka 15 sio matumizi makubwa ya chombo.
 
Mkuu umaskini na kutunza vitu ni vitu viwili tofauti. Chukulia wewe gari yako unaitunza vizuri sana ila ukiingiza barabarani unakutana na
1. Daladala
2. Bodaboda
3. Binadamu wasiojali Mali za watu(hawa unaweza kuwakuta wamekaa juu ya bonnet wanapiga Stori au unamkuta kaweka kreti lake la matunda au maji anayouza
4. Jua kali, vumbi, matope, madimbwi
5. Maji machafu na sabuni za unga unazooshea

Hivi vyote haviwezi kukukosa lazima gari ichakae bila kupenda
😂😂 Dah nimecheka sana eti creti ya matunda anayouza.
 
Mkuu umaskini na kutunza vitu ni vitu viwili tofauti. Chukulia wewe gari yako unaitunza vizuri sana ila ukiingiza barabarani unakutana na
1. Daladala
2. Bodaboda
3. Binadamu wasiojali Mali za watu(hawa unaweza kuwakuta wamekaa juu ya bonnet wanapiga Stori au unamkuta kaweka kreti lake la matunda au maji anayouza
4. Jua kali, vumbi, matope, madimbwi
5. Maji machafu na sabuni za unga unazooshea

Hivi vyote haviwezi kukukosa lazima gari ichakae bila kupenda
Kwahio point ya msingi ni matunzo right?
 
Bado enzi zile za foleni kubwa ya pantoni, kuna watu hawapangi foleni wanachomeka bila kukupa taarifa, Kuna mtu aligonga gari yangu siku moja kipumbavu Sana,mi nasogeza gari mbele nae huyo ghafla kaingiza nyuma yangu akapiga ubavu wote.
Dah ila alikulipa mkuu?
 
Kuna watu na taasisi hapa Tz wana gari mpya kaziangalie zenye miaka miwili mitatu uone. Nyingi zishavurugwa
watu binafsi atleast wanajitahidi,japo mazingira yanawaangusha kama ulivyoandika hapo juu.

ila humo kwenye taasisi ndio kuna mambo ya hovyo aisee.
 
Back
Top Bottom