Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kweli dar to A town km zake
wastani wa umbali kati ya Dar es salaam na Arusha kwa barabara ni km 630. kwa masaa manne manake kila saa mwamba alikuwa anakata km 157.5...
 
Gari za serikali 90% zinakufa sababu service haizingatiwi.

Idara niliyopo zilinunuliwa gari 2010 zikaanza kukosa nguvu 2012, 2013 zikafa jumla.
Ina maana serikali ina hela ya kununua gari ila haina hela ya service? Is that possible serikali ilipie Prado 100 in cash ila ishindwe kulipia service ya mil.3 kila mwezi?
 
Ina maana serikali ina hela ya kununua gari ila haina hela ya service? Is that possible serikali ilipie Prado 100 in cash ila ishindwe kulipia service ya mil.3 kila mwezi?
Hela inatoka ila unatujua wabongo mkuu. Mpe ndugu yako au kijana akakufanyie service utanipa majibu. Hata filter anaweza asibadili.
 
wastani wa umbali kati ya Dar es salaam na Arusha kwa barabara ni km 630. kwa masaa manne manake kila saa mwamba alikuwa anakata km 157.5...
Hio 157.5 km yenyewe ili uikave ndani ya lisaa unahitaji matuta yasiwepo kabisa wala destructions nyingine kama foleni.

Kama tungekuwa na barabara ya aina hio basi mbona masaa hayo yangewezekana. Ukilaza mshale ni kibati tu husimami wala kupunguza mpaka round abt Bagamoyo...next msata...next wami....next segera rou.abt...korogwe...mombo...unalaza mpaka same...nxt himo...unalaza mpk ymca then chuga...ila kwa matuta ya viazi na rasta haiwezekani.
 
Jumlisha wavaa jeans kuegemea gari ilhali ile mifuko ya nyuma husaidia kuchuna rangi sbb ya vile vichuma
 
Ina maana serikali ina hela ya kununua gari ila haina hela ya service? Is that possible serikali ilipie Prado 100 in cash ila ishindwe kulipia service ya mil.3 kila mwezi?
tatizo ni lile lile usimamizi mbovu.

kuna wapuuzi hata kadi za mafuta wanawapora madereva.anakaa nayo yeye.
 
Gari zetu kibongo zinachoka sababu ya Barabara mbovu. Unanunua gari zima Japan ila likikaa mwaka tu bongo lishachakaa. Ila kwa sahizi gari za mjini nyingi ni mpya mpya. DS,DT,DU,DV... Usipofungua mavioo wala kutembea kwene makorongo gari ikavuka yale macover ya chini basi gari inakuwa iko poa sana.
 
Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kw

Watoto wa juzi hamuelewi

Kuna Kipind mimi nilikua natoka Dar-Dodoma karibia km 450 kwa Masaa2 na nusu usiku saivi nashangaa mabasi yanatumia masaa 8+

Maisha yanakwenda kasi sana
Acheni uongo nyie watu ,mi sio mtoto na mi ni dereva mzuri hata hiyo speed labda ule msafara wa rais yaani speed 200 ndio utafika dodoma masaa 2 na nusu,nimeishi dodoma na nimeendesha private car usiku hicho kitu hakiwezekani
 
tatizo ni lile lile usimamizi mbovu.

kuna wapuuzi hata kadi za mafuta wanawapora madereva.anakaa nayo yeye.
Dah, kuna watu wana mambo ya hovyo sana.
Mwenzake na Mark 2 hizi alikuwa Toyota Chaser GR80 bongo zilifahamika kama Chaser Mayai. Wakubwa kipindi kile walitamba nazo Sana mtaani zilikuwa zinakuja na mziki mkubwa.
Hahahah enzi zile za "Mtoto wa Geti kali" zilikuwa na mziki wa Kenwood balaa. Ndani very comfortable
 
Hii hata mie niliwahi kusikia mkuu!
 
i Hio Mark 2 enzi hizo mengi yalikuwa ni manual 5 speed yanachanganya haraka mno halafu kibati 180kph huku ma Landrover speed 120 kwa 160 zile land cruiser mkonge. Hamna namna wangeugusa huo moto wa 1G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…