Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Kwa muda huo wa saa kumi unusu jioni kutoka mbeya Iyovi ulifika saa ngapi mpaka ukapigwa tochi?
2018 Nilitoka Mbeya saa 10 Unusu jioni, 7 usiku niko Kimara
Faini 25000 Tu Iyovi
 
Itanidi hii crown nihonge naona imeanza kuwa yeboyebo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ... maana watu wanaziongelea vibaya vibaya tu
 
Pamoja na miundombinu ya barabara za Japan kuwa bora, lakini pia Wajapani hutumia sana usafiri wa umma (public transport) ambao uko more advanced na kasi. Ambapo wengi hutumia gari binafsi kwa siku chache katika mwezi.
Kwa bongo hata ukiendesha gari mara 1 kwa wiki lkn liangalie baada ya mwaka haliwezi kulinga na la japan japo yametengenezwa mwaka mmoja
 
Ahsante kwa maelezo mazuri, hapohapo naomba unisaidie kuhusu haya magari, kuna magari ukiangalia bei ya kuagiza mpaka unalimiliki bei ni kubwa sana lkn ukienda showroom za bongo unakuta gari hilo ni jipya( hasa rangi ya silver) na bei yake iko chini sana waweza kukuta tofauti ni kama milioni 7 hadi 10 kulingana na aina ya gari.Yaani hapo kinachonishangaza hayo magari yanaonekana ni mapya tofauti na mitumba toka japan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…